Uhamiaji: Mgeni Aliyeomba Uraia wa Tanzania anaweza kuwa Mbunge au Waziri ila haruhusiwi kuwa Rais

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

Mgeni_Uhamiaji.png

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

My Take
Kama hili la Uraia linasumbua hivi,Swala la Uraia Pacha ndio halitakaa liwezekane.
 
Rais gani huyo? Samia anamjua? CCM wanamjua? Nani alimpa Urais? Nani alimpitisha kugombea Urais?
Ndio maana watu wanataka CCM mtoke madarakani kama mnakiri kutuletea mgeni kuwa Rais basi hamfai kuongoza nchi!

Lakini labda haufahamu kwamba hata hayo yanayoitwa maandamano ya Chadema yemeratibiwa na hao hao CCM kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (Mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako, ccm uwatoe nani aje? chadema ya mbowe na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri nje analipiwa na ccm? au zito kabwe ?
 
lkn labda haufahamu kwamba yanayoitwa maandamanonya chadema yemeratibiwa na hao hao ccm kushirikiana na viongozi wa chadema ambao hata raisi wa ccm alitoa mamilioni ya fedha kumkabidhi mbowe kujengea kanisa kwao na hata akasema (mbowe) kwamba ni ccm wamempa hizo hela za kujengea kanisa.

sasa swali kwako ccm uwatoe nani aje? chadema ya na tundu lisu ambaye hata holliday kusafiri analipiwa na ccm?
Hapa ndio unaona umecheza mind games za hatari.
 
Hayo ndio maelezo Kwa mujibu wa sheria za uhamiaji za Tanzania.

So acheni kunyooshea Mawaziri na watu wengine wenye Asili ya Nchi jirani Vidole.

Ila ni bahati mbaya tumewahi kuwa na Rais anaesemekana kuingia Nchini kutoka Nchi jirani akiwa mtoto. Watanzania tunajuana Kwa tabia za Uungwana.

========

"Uraia wa Tajnisi kwamba mgeni amefika Tanzania ameishi na kwa mujibu wa sheria inasema kwamba awe ameishi kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

"Atapata haki zingine zote isipokuwa hawezi kugombea zile nafasi za juu za uongozi kama Rais. Lakini ubunge anaweza kugombea na anaweza kuwa Waziri. Kwa level ya Urais hawezi kugombea ile nafasi ni kwa ajili ya raia wa Tanzania kwa kuzaliwa tu" Paul John Msele msele, Mrakibu wa jeshi la Uhamiaji.

Clouds

Kwa hiyo kuwa Naibu Waziri Mkuu ni sawa? Kwa sababu amesema kuwa endapo wakiomba uraia, ni vizuri autangazie umma Naibu Waziri Mkuu na hawa wengine wanaotajwa, kama waliwahi kuomba uraia wa Tanzania, waliomba lini na walipewa lini.
 
Wapi alipowataja? Je kama wamezaliwa na Wazazi wao waliomba Uraia?
 
Back
Top Bottom