Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
- Thread starter
- #81
<br />Fund raising ya kesi ya Mpendazoe.
<br />
Hii ni dalili kwamba huifahamu jiografia ya jimbo la ukonga. Mpendazoe yuko jimbo la segerea lakini hiyo haituzuii kumfanyia fund raising kama hitaji hilo maadam ni mpiganaji mwenzetu.