Maryam Malya

Senior Member
Nov 29, 2021
115
258
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

mbowe.jpeg

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya Chadema kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame...
Kavae kijora

Mwanamume una vinasaba vya vijora?

Mbowe ana nyumba Dubai na Kwa Madiba sembuse hicho kibanda hapo Machame.
Halafu hela anazo tumia Freeman ni za baba yake. Hajaanza kutumia za kwake.
 
Tatizo la wengi wetu ni kuamini kile unachofahamu kuhusu mtu ndicho asilimia mia moja ya maisha yake. Mbowe is a business man kabla na hata baada ya siasa ataendelea na biashara zake.

Hiyo version moja ya uenyekiti isitufanye tukasahau amekuwa Mbunge na ana vyanzo vingine vya mapato. Na by the way,ni kiongozi gani nchi hii ni fukara? Tungemdharau asingeweka familia pahali pazuri na salama.
 
Jua tu kuwa mbowe syo chawa wa yeyote.

Sasa kama umeshangaa nyumba alojenga mtoto 2023 basi ungekuwepo wakati wa baba yake mambo aloyafanya na kuacha kwa watoto ungefariki.

Mbowe ni royal family tangu hata kabla ya uhuru.

mbowe alipozaliwa alikuwa alipandishwa benz toka hospitalini, benz la mjerumani na syo mjapani.

chadema ni taasiai-kwa ujinga wako na uharo uloandika hapo juu tutegemee ripoti ya CAG itskayotoka ealy next year ioneshe ubadirifu huo.
 
Katika uumbaji wake, hakuna siku hata moja ambayo Mungu alimuumba Mwanadamu Masikini, Nabii Mwamposa (kama bado uko JF kama ulivyokuwa siku za nyuma ) naomba uchangie hapa

Umasikini siyo Karama ambayo Mungu anampa Mwanadamu , hii ni kazi ya Shetani , wala si jambo la kujivunia

FB_IMG_1575390792397.jpg
FB_IMG_1575390806699.jpg

Huyu Bilionea Freeman Mbowe ambaye leo , wenye kuutukuza umasikini mnamshangaa kumiliki Kasri Machame fahamuni kwamba anayo majengo hadi nje ya Nchi , sasa mkionyeshwa hayo nadhani mtazimia kabisa .

Halafu watu wa Mjini wanafahamu kwamba huyu ndiye aliyekuwa Mfadhili wa Yanga , kabla ya hawa akina Manji na GSM , Mbona wakati ule hamkuhoji ?

Screenshot_2023-11-13-15-55-02-1.png

Aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 ya Tanzania alijaribu kupambana na Mbowe kwa kutumia dola na Waganga lakini alishindwa vibaya sana na akapotea hadi leo hajulikani alipo

Screenshot_2023-11-13-15-55-17-1.png

Ujumbe : Usithubutu kushindana na aliyejaaliwa , utapoteza muda wako .

Screenshot_2023-11-12-19-35-48-1.png
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.
ndu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Jitahidi kuficha ufukara wako. Hiyo nyumba nayo ni ya kuita ya kifahari. Pili unatakiwa ujue familia ya Mbowe ilifadhili hadi safari za mwalimu enzi za uhuru. Sasa unachostaajabu hapo ni kipi? Umaskini mzigo mzito.
 
Ameandika Dr. Sisimizi

Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame.

View attachment 2812700

Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kupokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe weekend hii aliwaita baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu (Heche, Lema na Msigwa) kwa ajili ya kushuhudia uzinduzi wa nyumba hiyo mpya ya Mbowe ambayo ameijenga kwa miezi 3 tu.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu wamehoji Mwenyekiti Mbowe amepata wapi hela za kujenga nyumba ya kisasa ya ghorofa kwa miezi 3 tu, tena wakati ambao shughuli za chama zimekwama kuendelea kwa kisingizio kuwa ruzuku imeisha mpaka watakapoingiziwa tena Disemba 2023.

Hoja yao inaonekana ina mashiku kwa sababu, ndani ya CHADEMA wenye mamlaka ya kuidhinisha pesa kutolewa (Signatories) ni watatu tu Mwenyekiti Mbowe, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salim Mwalimu na Mjumbe wa Baraza la Udhamini Mzee Mtei.

Hii inaonesha bado hakuna kuaminiana baina ya Mwenyekiti Mbowe na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu ukiwatoa wale wanaokula nao sahani moja (Lema, Msigwa, Heche, na Salim Mwalimu) na wengi wanachojiuliza inawezekanaje Chama kikose hela ya mafuta ya Chopa halafu Mwenyekiti anazindua nyumba yenye thamani ya Milioni 500.

Ndugu zangu tuendelea kufuatilia kwa karibu, ndani ya CHADEMA kuna Bundi anazengea na muda si mrefu tutaanza kusikia vilio vya kuomboleza kwa sababu najua Tundu Lissu hawezi kukaa na kuyafumbia macho yanayoendelea mule ndani.
Mbowe ni Billionare sema kujitolea kwake Chadema kumemcost sana... check club yake na Mashamba yake vilivyofanywa na mwenda zake, hii yote akipambana nae ili kumtoa kwenye reli wakati Mbowe akijaribu kuwaonyesha Watanzania kuw Fisiemu wanatuubia mchana kweupe..
 
Back
Top Bottom