Uongozi mpya CHADEMA Ukonga wapatikana - M. Aweda Ndani

wow, its amazing! JF is making model leaders all over!

hongereni sana wakuu, yor future is brighter. keep it up!

Wanajf wawili wameshinda uongozi chadema jimbo la ukonga. Mikael Aweda-m/kiti, Mwita Maranya-mjumbe kamati ya utendaji.

nina furaha mno,hongereni sana mikael aweda na mwita maranya.Mimi niko machimbo,je nijisajili tawi gani la karibu?

Hongereni sana ila mjifunze maadili ya uongozi kabla ya kujifanya mna uchungu na hii nchi. Hii nchi ina wenyewe na yeyote anayekuja ni wa kupita tu.
Usitudanganye hapa hii nchi ni ya waTAnganyika na haina mwenyewe. Huyo anayejidai ni mwenyewe asubiri 2015 kisu kimpitia. Eti nchi ina mwenyewe. MWENYEWE my foot!!

• Thanks
Reactions: FJM
safi sana makamanda wetu tujipange vizuri tuwaelimishe watu wa Dar wawe kama wa hapa arusha wakuu..

we mfu..kale futari!
Wewe akili yako ilivyokuwa imejaa mafuta ya taa unadhani wote wanaopingana na sera za CDM wote ni Waislam, mimi ni Pagan ata hiyo futari sijui ni nini.
Endelea Ku-download akili yako ikiwa full ndio uje na hoja humu JF, JF, sio sehemu ya porojo Swekee we!

wameshinda katika uchaguzi upi? au wameokotana na kugawana vyeo! muundo wa chama huanzia matawi, chadema ukonga hakuna matawi kuna bendera juu ya miti?

wameshinda katika uchaguzi upi? au wameokotana na kugawana vyeo! muundo wa chama huanzia matawi, chadema ukonga hakuna matawi kuna bendera juu ya miti?

Mkuu chadema hakuna kugawana vyeo,ni kutumikia wananchi. Jimbo la ukonga lina kata nane,kati ya hizo sita zina viongozi wa kuchaguliwa. Kata zilizo na uongozi wa kuchaguliwa ni ukonga, pugu, kivule, kitunda, chanika na majohe. Bendera za chadema zinapepea hata kwenye miti kutokana na mapenzi ya wananchi kwa chama chetu. Tunaomba uwasihi na wenzako wasiwe wanashusha bendera zetu na kuzichana.

Mkuu Mwita Maranya hongera. Angalia sasa usije parurana Aweda kwenye Ubunge. Ila najua wewe upande huo una mtaji wa kutosha. Hongera songeni mbele 2015 haiko mbali.

Mkuu Mwita Maranya hongera. Angalia sasa usije parurana Aweda kwenye Ubunge. Ila najua wewe upande huo una mtaji wa kutosha. Hongera songeni mbele 2015 haiko mbali.

Ahsante sana mkuu. Sasahivi tunazungumza lugha moja tu ya kujenga chama hayo mengine tuyaache kwanza.

safi sana makamanda wetu tujipange vizuri tuwaelimishe watu wa Dar wawe kama wa hapa arusha wakuu..

Pamoja sana mkuu. Kwa wenzetu miji mikuu ya kibiashara ndio ngome ya mabadiliko lakini kwa hapa kwetu hali inaonekana kuwa tofauti. Angalia kampala besigye anavyotamba ama nairobi raila anavyotyamba. Kazi tuliyonayo sote ni kuwaelimisha kikamilifu wakazi wa dar ili waongoze mapambano ya kuleta mageuzi na kuondokana na mchawi wetu wa maendeleo.

nina furaha mno,hongereni sana mikael aweda na mwita maranya.Mimi niko machimbo,je nijisajili tawi gani la karibu?

Karibu sana mkuu,kama uko machimbo unaweza kuulizia ofisi yetu ya moshi bar ama kivule. Ukikwama kabisa huko karibu ofisi ya jimbo iliyopo mzambarauni kwa maelekezo zaidi.

Hongera but hii post inaconfirm kwamba jf ni wafuasi wa cdm?au nyinyi memba tu ndiyo mnamlengo wa cdm?maana watu wanailaumu jf kuwa ni tawi la jf,naomba tubaki kuwa wa kosoaji wa serikali na vyama vya siasa na tusibadili malengo.people power.

Back
Top Bottom