Tabora: Viongozi wa Chadema Wasimamishwa Uongozi kwa Tuhuma za kushirikiana na Hawa Mwaifunga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotolewa leo 22/07/2023 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila.

Waliosimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora Lucas Kiberenge na Elisha Daudi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa jimbo la Tabora Mjini, wengine waliosimamishwa ni viongozi wote wa Kata ya Kakola .

Wote hawa kwa pamoja wanatuhumiwa kumuandalia Mikutano Msaliti aliyetimuliwa Chadema , Hawa Mwaifunga. Huyu Mwaifunga na wenzake 18 , akiwemo Halima Mdee Walivuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za Usaliti. Kwa maana hiyo hawa si wanachama wa Chadema , kumuandalia Mkutano mtu kama Mwaifunga ni kuvunja kanuni za chama .

Hivyo basi kama kiongozi wa Chadema anashirikiana na Wasaliti hawa waliohongwa na Kununuliwa mithili ya mitumba ya Mtaa wa Kongo na yeye atachukuliwa kama Msaliti mpya na ni lazima atimuliwe .

Mimi Erythrocyte natoa onyo kwa viongozi wa Chadema Nchi nzima watakaoshirikiana na COVID 19. Kwamba hawa hata wakikununulia soda kataa , Hii ni kwa sababu USALITI NI LAANA mbaya sana ambayo inaweza hata kubabua kizazi chako cha 4 (yaani vitukuu vyako vinaweza kukumbwa na laana ya Usaliti ulioutenda)

Mungu Ibariki Chadema.
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotolewa leo 22/07/2023 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila .

Waliosimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora Lucas Kiberenge na Elisha Daudi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa jimbo la Tabora Mjini , wengine waliosimamishwa ni viongozi wote wa Kata ya Kakola .

Wote hawa kwa pamoja wanatuhumiwa kumuandalia Mikutano Msaliti aliyetimuliwa Chadema , Hawa Mwaifunga , Huyu Mwaifunga na wenzake 18 , akiwemo Halima Mdee Walivuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za Usaliti , kwa maana hiyo hawa si wanachama wa Chadema , kumuandalia Mkutano mtu kama Mwaifunga ni kuvunja kanuni za chama .

Hivyo basi kama kiongozi wa Chadema anashirikiana na Wasaliti hawa waliohongwa na Kununuliwa mithili ya mitumba ya Mtaa wa Kongo , na yeye atachukuliwa kama Msaliti mpya na ni lazima atimuliwe .

Mimi Erythrocyte natoa onyo kwa viongozi wa Chadema Nchi nzima watakaoshirikiana na COVID 19 , Kwamba hawa hata wakikununulia soda kataa , Hii ni kwa sababu USALITI NI LAANA mbaya sana ambayo inaweza hata kubabua kizazi chako cha 4 (yaani vitukuu vyako vinaweza kukumbwa na laana ya Usaliti ulioutenda)

Mungu Ibariki Chadema .
Haya katibu muenezi wa CDM hapa Jf
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotolewa leo 22/07/2023 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila.

Waliosimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora Lucas Kiberenge na Elisha Daudi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa jimbo la Tabora Mjini, wengine waliosimamishwa ni viongozi wote wa Kata ya Kakola .

Wote hawa kwa pamoja wanatuhumiwa kumuandalia Mikutano Msaliti aliyetimuliwa Chadema , Hawa Mwaifunga. Huyu Mwaifunga na wenzake 18 , akiwemo Halima Mdee Walivuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za Usaliti. Kwa maana hiyo hawa si wanachama wa Chadema , kumuandalia Mkutano mtu kama Mwaifunga ni kuvunja kanuni za chama .

Hivyo basi kama kiongozi wa Chadema anashirikiana na Wasaliti hawa waliohongwa na Kununuliwa mithili ya mitumba ya Mtaa wa Kongo na yeye atachukuliwa kama Msaliti mpya na ni lazima atimuliwe .

Mimi Erythrocyte natoa onyo kwa viongozi wa Chadema Nchi nzima watakaoshirikiana na COVID 19. Kwamba hawa hata wakikununulia soda kataa , Hii ni kwa sababu USALITI NI LAANA mbaya sana ambayo inaweza hata kubabua kizazi chako cha 4 (yaani vitukuu vyako vinaweza kukumbwa na laana ya Usaliti ulioutenda)

Mungu Ibariki Chadema.
Ingekuwa vyema kama ungetuambia walishirikiana vipi na Hawa Mwaifunga.

Amandla...
 
Mungu Ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu Ibariki CHADEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums442997317_236x211.jpg
 
Hujui kusoma ?
Umejuaje? Maana kweli sijui kusoma. Hata kuandika ni shida. Au ni hicho mnachokisema ni kumuandalia mkutano? Kama ni hilo, ningependa kujua walimuandaliaje? Walimkodishia ukumbi? Walimtayarishia chakula? Walimtafutia wasikilizaji? Walikaa nae meza kuu? Walifanya nini haswa? Ukinijibu nitatafuta wa kunisomea.
Natanguliza shukrani kwa kutambua udhaifu wangu.

Amandla...
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyotolewa leo 22/07/2023 na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila.

Waliosimamishwa ni pamoja na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora Lucas Kiberenge na Elisha Daudi ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya utendaji wa jimbo la Tabora Mjini, wengine waliosimamishwa ni viongozi wote wa Kata ya Kakola .

Wote hawa kwa pamoja wanatuhumiwa kumuandalia Mikutano Msaliti aliyetimuliwa Chadema , Hawa Mwaifunga. Huyu Mwaifunga na wenzake 18 , akiwemo Halima Mdee Walivuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za Usaliti. Kwa maana hiyo hawa si wanachama wa Chadema , kumuandalia Mkutano mtu kama Mwaifunga ni kuvunja kanuni za chama .

Hivyo basi kama kiongozi wa Chadema anashirikiana na Wasaliti hawa waliohongwa na Kununuliwa mithili ya mitumba ya Mtaa wa Kongo na yeye atachukuliwa kama Msaliti mpya na ni lazima atimuliwe .

Mimi Erythrocyte natoa onyo kwa viongozi wa Chadema Nchi nzima watakaoshirikiana na COVID 19. Kwamba hawa hata wakikununulia soda kataa , Hii ni kwa sababu USALITI NI LAANA mbaya sana ambayo inaweza hata kubabua kizazi chako cha 4 (yaani vitukuu vyako vinaweza kukumbwa na laana ya Usaliti ulioutenda)

Mungu Ibariki Chadema.
Viva CHADEMA toeni wasaliti wote, wawekeni kando ili chama kikue na kustawi
 
Punguzeni visirani vya kipumbavu mnajiharibia wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna sehemu wanachekesha hawa kama ile wanayomtaja Mungu. Nikisikia tu, 'Mungu ibariki chadema' kwakweli huwa nashangaa sana!!!
 
Back
Top Bottom