<br />
<br />
Acha kunnesha watu ulivyo punguani. JF haina chama, lakini wanaJF wana vyama.
Hana haja ya kubadili chochote maana hakusema "JF imeshinda", bt kasema "wanaJF wameshinda." sasa hapo kuna shida gani??
Mbona makanisa/misikiti haifungamani na chama chochote lakini waumini wake wana vyama..??
Jaribu kufikiri kabla hujaropoka maana unajidhalilisha.
mheshimiwa punguza makali ya maneno na jazba, tumia muda mwingi kuelimisha si kushambulia kwani watu wengi wanamitazamo tofauti ni vema ukaenda nao polepole