Uongozi mpya CHADEMA Ukonga wapatikana - M. Aweda Ndani

hongereni sana. tunategemea mabadiliko sasa kwenye eneo lenu la utawala. pamoja ...

Hongereni sana ila mjifunze maadili ya uongozi kabla ya kujifanya mna uchungu na hii nchi. Hii nchi ina wenyewe na yeyote anayekuja ni wa kupita tu.

Wanajf wawili wameshinda uongozi chadema jimbo la ukonga. Mikael Aweda-m/kiti, Mwita Maranya-mjumbe kamati ya utendaji.

hongera maranya, tunategemea mabadiliko jimbo la ukonga, binafsi nakukubali maranya kwa mambo yako!

Wakuu wote niwahahakishie kwamba tumejipanga vizuri kwa ajili ya kutekeleza vizuri majukumu yetu. Bila shaka kwa safu iliyochaguliwa leo, kazi zi,mepata watu.

Mkuu Mwita Manyara title ya thread yako na ukizingatia wewe pia ni mlingwe inaonyesha kama kujisifia fulani hivi. Anyway I could be wrong. Hongera kwa "kung'ara Ukongo" mkuu.

Hongereni sana ila mjifunze maadili ya uongozi kabla ya kujifanya mna uchungu na hii nchi. Hii nchi ina wenyewe na yeyote anayekuja ni wa kupita tu.

Wasio na maadili chadema si mahali pao. Huwezi kuwa na jeuri ya kukemea maovu kama huna maadili. Chadema tuna uthubutu wa kukemea na kusimamia kwa vitendo.

Pigeni mzigo wakuu tuko pamoja muda sio mrefu nitakuwa mkazi wa maeneo hayo....( Pande za Chanika)

Hongereni sana ila mjifunze maadili ya uongozi kabla ya kujifanya mna uchungu na hii nchi. Hii nchi ina wenyewe na yeyote anayekuja ni wa kupita tu.
Mkuu unacheki msimamo wao ni nini. Haya mimi nipo pembeni naangalia

Huyu Aweda ndo yule alokuwa m/kiti pale ubungo na jimbo lile tumebeba, iam i wrong wadau? Basi na ukonga 2015 tunabeba. Big up mr. Aweda

Mkuu Mwita Manyara title ya thread yako na ukizingatia wewe pia ni mlingwe inaonyesha kama kujisifia fulani hivi. Anyway I could be wrong. Hongera kwa "kung'ara Ukongo" mkuu.

mkuu naheshimu mtazamo wako lakini tukubaliane kwamba nimeleta taarifa hapa kwa wadau, sijui kujisifia kunatoka wapi. Ama kung'ara imekukwaza? Tunaomba support yako mkuu tuikomboe hii nchi.

Huyu Aweda ndo yule alokuwa m/kiti pale ubungo na jimbo lile tumebeba, iam i wrong wadau? Basi na ukonga 2015 tunabeba. Big up mr. Aweda

Ndio yeye mkuu karibu nawe ukonga, na wapiganaji wengine tunawakaribisha.

Hongera maranya, nenda kapige mzigo. Make sure unawapa raia wako elimu ya uraia.

Back
Top Bottom