BAGAH
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 4,523
- 1,060
Mi nataka nimle wali nazi Kavu kavu....nikimaliza namwomba. Bagah aniletee maji nikate kiu
ofcoz walinazi unaliwa kavu kavu..tena ukila kiporo...weee...kina harufu nzuri...
Mi nataka nimle wali nazi Kavu kavu....nikimaliza namwomba. Bagah aniletee maji nikate kiu
haya mama,niambie upo street gan nije nikuungishe ugali samak?
Mi nataka nimle wali nazi Kavu kavu....nikimaliza namwomba. Bagah aniletee maji nikate kiu
KONNIE,
nimekusoma hapo juu...ati mnataka kunila?...mnaanzia cha wapi?
tunaanzia penye minofu mingi mwilini pako.
Tunatumaini ni pa kukalia na si pa kubebea chakula.
Tena unaliwa live on stage, ka kipande kanachomwa na kuliwa hapo hapo.
I'm a Man monger.
mie mpishi...hususani Wali Nazi...kama vip pita huku UPAKULIWE!
umbea huo jamani. Kazi ya mtu yakuhusu nini? Ukinote kuwa mtu yupo humu 24/7 ujue na wewe upo humu 24/7....
Anyway.......
Jina lako limenisababisha nipatwe na hamu ya kula wali, tena wali wa nazi....acha nimtume mtoto nazi nianze maandalizi....
mapemaaa!...BT bana..huwa nakukubali...basi tu hujiamini weye!
Mmh nahisi Chako kitakuwa KITAMU bro,( chakula unachopika)
Naandaa wali wa nazi ....
Ukiiva tu nitakuita
.....hawa jamaa wa 3 ni kama mapacha.....
Ivi mnajua kama mnafanana....
..akili
..mawazo
..hata post zenu.
Nahisi hata nyumba mmepanga 1,kazini mko pamoja,mnapanda hiace moja,lunch tym mko pamoja...
Demu.....!?
Naandaa wali wa nazi ....
Ukiiva tu nitakuita
huo ndio mpango mzima...shem leo kaenda shamba sio?
Wr andaa ila nina hamu na Bagah leo...
Jana nilikula Kongosho wacha nitapike lol
sina hamu...hata wali nazi siuamini
Bagah ndo bomba kwanza hata Toi.. nakata mguu wiki nzima...halafu tamu aisee lolhata hii utatapika...wewe endela kula mturo huko...zinazotumia utumbo wa popi...