Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu

Unapo mpenda mdada pasi na kujali anafanya kazi au hafanyi, pasi na kujali ni mzuri au sio mzuri , pasi na kujali ni tegemezi na masikini sana, pasi na kujali anatokea kwenye himaya tajiri ila moyo umemuangukia unaamua kumtongoza kwa moyo mmoja na kwa upendo wa dhahiri na dhati mno.

Shida inaanza pale mwanamke anapotaka kujua unafanya kazi gani ya kukuingizia kipato sijui nyie mna wajibuje.


Kwa upande wangu mwanamke nikimtongoza katika kudate date akisha niuliza tuu nafanya kazi gani najua hapa ni kupigwa vizinga au kukimbiwa kabisa inategemeana na nitakavyo mjibu aina ya kazi ni nayoifanya


Je, nyie mnawajibuje hawa viumbe wakiwauliza mnafanya kazi gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom