..... Unafanya kazi gani wewe...!?

tunaanzia penye minofu mingi mwilini pako.

Tunatumaini ni pa kukalia na si pa kubebea chakula.

Tena unaliwa live on stage, ka kipande kanachomwa na kuliwa hapo hapo.

KONNIE,
nimekusoma hapo juu...ati mnataka kunila?...mnaanzia cha wapi?
 
tunaanzia penye minofu mingi mwilini pako.

Tunatumaini ni pa kukalia na si pa kubebea chakula.

Tena unaliwa live on stage, ka kipande kanachomwa na kuliwa hapo hapo.

ghaaaaaaa!...hahahaha....walah mtakufa wote...midomo wazi...haramu iyo...hailiwi.!
 
BAGAH, Erickb52

njooni tutoe kauli ya pamoja, huyu walinazi anataka kuliwa kwa chai ya mchaichai.

.....hawa jamaa wa 3 ni kama mapacha.....
Ivi mnajua kama mnafanana....
..akili
..mawazo
..hata post zenu.

Nahisi hata nyumba mmepanga 1,kazini mko pamoja,mnapanda hiace moja,lunch tym mko pamoja...

Demu.....!?
 
Last edited by a moderator:
umbea huo jamani. Kazi ya mtu yakuhusu nini? Ukinote kuwa mtu yupo humu 24/7 ujue na wewe upo humu 24/7....

Anyway.......

Jina lako limenisababisha nipatwe na hamu ya kula wali, tena wali wa nazi....acha nimtume mtoto nazi nianze maandalizi....
 
mapemaaa!...BT bana..huwa nakukubali...basi tu hujiamini weye!
 
.....hawa jamaa wa 3 ni kama mapacha.....
Ivi mnajua kama mnafanana....
..akili
..mawazo
..hata post zenu.

Nahisi hata nyumba mmepanga 1,kazini mko pamoja,mnapanda hiace moja,lunch tym mko pamoja...

Demu.....!?

Teh teh Wali Nazi kuanzia jumatatu ntakuwa naonekana mara chache coz Kongosho ananinyanyasa na kadesktop kake...
Bagah nae nikimwomba kamchina kake kila saa kalogin JF so hadi nijipange kivyangu ndo ntakuwa hewani km kawa 24/7
 
Wr andaa ila nina hamu na Bagah leo...
Jana nilikula Kongosho wacha nitapike lol
sina hamu...hata wali nazi siuamini

hata hii utatapika...wewe endela kula mturo huko...zinazotumia utumbo wa popi...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom