..... Unafanya kazi gani wewe...!?

utakaa sana......
hivi kuwa JF 24/7 inawaharibia wengine moods eeh.....
sasa kwa kukujulisha ni kwamba....we are there to stay...8765.81277/366.....na bado taifa linapata kipato tena mpaka kinatosha kuibiwa na mafisadi.......

....sina shida na hilo preta...
Nauliza tu..
 
Watu wengine bana mnavisarani kwani wakikaa 24/7 wewe inakuuma nini??

Na ukijua kazi zao itakusaidia nini???

Na umejuaje kama wanakaa 24/7 kama hauko nao pamoja???

Acha watu wajipe raha zao

...sina hasira bidada....
 
ngoja niandae uzi-"Wana jf wanaume wenye majina tata kama Walinazi,Zubeda_michuzi na Boflo wana matatizo gani?"

wakuu nitupie huo uzi au niache?
 
BAGAH, Erickb52

njooni tutoe kauli ya pamoja, huyu walinazi anataka kuliwa kwa chai ya mchaichai.
 
Last edited by a moderator:
Tukimaliza tumle na bagah.

Hahahahahahahaaa
Hata Bagah naye ntamla kavu kama qali nazi....
Lol nikimaliza naahushushia Juisi ya Azam ya tropical...
Baada ya kumla Bagah..anayefuata kuliwa nani???
hahahahahahaaa Kongosho jiandae....tena wewe ntakukula siku tano..lol
U
Labda uwe wa kuku ila kama wa ng'0mbe lol
 
mie kongosho ya chatu, inameng'enya hadi vyuma.

Ntakumengenya wewe.

Hahahahahahahaaa
Hata Bagah naye ntamla kavu kama qali nazi....
Lol nikimaliza naahushushia Juisi ya Azam ya tropical...
Baada ya kumla Bagah..anayefuata kuliwa nani???
hahahahahahaaa Kongosho jiandae....tena wewe ntakukula siku tano..lol
U
Labda uwe wa kuku ila kama wa ng'0mbe lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom