Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,006
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.
Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?
Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani
1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.
Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)
changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.
Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.