Udom yainyima raha udsm, je kulikua na sababu ya haya yote? Jibu ni ndio.

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
941
1,006
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?

Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.

Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?

Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani

1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.

Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)

changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.

Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.

Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.

NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
 
Ya kweli hayo mwanangu Mao ze Comedy au kujifagilia? Sioni sifa wala ithibati ya UDSM kushindwa na UDOM so to speak. Hata ukiangalia utafiti wa ubora wa vyuo Afrika UDOM yako haimo. Kama tutakuwa wa kweli, UDOM bado haijawa na sifa ya kuweza kupambanishwa na UDSM. Tuache mapenzi. Unachosema kinaweza kuwa na maana kama utakuja na ushahidi wa kutosha na siyo hisia na mawazo yenye kutia kila aina ya shaka. Walijisemea wahenga; Nazi haishindani na jiwe. Ni ushauri tu.
 
kweli we ndo father of all idiot. Leo hii tukisema serengeti ni moja ya maajabu saba ya dunia kesho asubuh unataka wawe wamesha iweka kwenye guiness book of records. That is the matter of time.
 
I am happy to be father of ------ of whom you are the first born. Again, why don't you substantiate your assertion in lieu of dispatching insults. If you are the crop of UDOM and this is the way you can defend your assertion you truly have shown how awkward everything is. Why defending your beloved UDOM by insults and ballyhoos? Methinks the ball is still in your court.
kweli we ndo father of all idiot. Leo hii tukisema serengeti ni moja ya maajabu saba ya dunia kesho asubuh unataka wawe wamesha iweka kwenye guiness book of records. That is the matter of time.
 
Dogo soma acha kutumia masaburi kuchambua mambo!Hiyo UDOM haiwezi hata kulinganishwa na St Augustine achilia mbali UDSM.Hiyo pambanisha na Eckenford
 
Vyuo vingi kikiwemo UDSM vinahofu na UDOM kutokana na dhana ya kuwa UDOM ikitapika wahitimu mtaani wanasababisha population ya watafuta ajira wengi mtaani ndio maana wanajaribu kuiponda ili kutafuta response kwa baadhi ya waajiri wengine waone elimu ya pale hamna kitu.Ubora wa elimu ya mtu ipo kwenye ubongo wake wala sio kutoka kwenye chuo fulani pekee japokuwa vinaweza tegemeana hivi vitu.Waajiri wa sasa wamesharishtukia jambo hili so uamuzi wa kumchagua nani au aachwe nani unaamuliwa na interview.Ndo maana haya mabishano utayakuta kwa wahitimu tu.
 
Madogo someni achaneni na ujinga wa kupambanisha vyuo kwa mdomo.Laiti mngejua kwa sasa maisha yanamtaka mtu smart ili kuWIN hayamtaki elimradi eti kasoma UDOM au UDSM jaribu kuangalia wakina Shigongo,Diamond, Isack ndodi ni wajajanjajanja wa mjini na wanapiga hela mbaya kwa kutumia usmart wa kuielewa jamii ya kibongo sio kw akutumia jina la institute walizopitia.HAMKENI NYIE WAHANGA WA AJIRA KUWEWESEKA KWENU KUNAFANYA HATA WATU WA SIASA WAWATUMIE VIBAYA.
Nb:Mapinduzi ya maisha yako yataletwa na akili yako wala sio chama cha siasa fulani japokuwa kinaweza kukuchongea njia fulani ya urahisi kwa mtindo wa siasa safi ila sio jambo la kutegemea for 100%.
SHAURI YENU.
 
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?

...

Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.

NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kama msi

si ueleze wewe hata moja mbili kama unazijua?

wewe umekuja kutagaza FACEBOOK PAGE YAKO HUMU hakuna jingine na story ndefuuuuuuuuuuuuuu. sitaiangalia
 
Sio muumini sana wa kugombania ubora wa Vyuo kwa sababu kesho naweza kwenda kusoma au kufanya kazi kwenye Chuo hicho hicho ninachokiponda.....Hata hivyo, mimi nimesoma UDSM....Ninao ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma na waliosoma UDOM na wengine wanafanya kazi UDOM. Sijafika UDOM, siijui vizuri sana kiasi cha kulinganisha na UDSM. Hata hivyo naamini kwa dhati kabisa, mtoto wa miaka Mitano (2007-2013) hawezi kwa namna yoyote ile kulinganishwa na Mtu mzima wa miaka 52 (1961-2013) labda sura tu na kwamba wote ni binadamu i.e Vyote ni Vyuo Vikuu.

Tuipe muda UDOM ijipange, izalishe Walimu wake (leo inategemea products za UDSM, SUA,ARU,MUHAS na MZUMBE)... Sidhani kama UDOM ilijengwa ili kushindana na UDSM. ALiyebuni wazo la kujenga UDOM (awe Kikwete au Mtu mwingine) hakulenga kushindanisha UDOM na UDSM...UDOM ilikuja kucomplement mapungufu ya UDSM (Naamini yapo mengi sana) ikiwemo kuchukua idadi ndogo ya wanafunzi. Sidhani kama JK (M UDSM), Dkt Bilal (M UDSM). Prof Kikula, Mlacha, Mwamfupe na wengine wapo pale kushindanisha UDOM na UDSM...kwenye hayo mashindano wao watakuwa upande gani?

Ni akili za watu wenye uelewa mdogo wa "Organizations Behaviour" ndio wanaoweza kujadili kulinganisha mtoto anayekuwa kwa kasi na Mzee mwenye Uzoefu kazini. Tuaiche UDOM ikue, tutakuja kutoa maoni labda baada ya miaka 15 au 20 hivi pale ambapo Chuo kitakuwa na Walimu wa kutosha n.k.................

.MImi huwa sipendi sana haya mambo ya ushabiki wa Vyuo kama wa Simba na Yanga. Unapolinganisha UDOM na UDSM, vyuo vikongwe kama SUA, ARU, MZUMBE, na MUHAS unaviweka kundi gani? Uobra wa Chuo hausaidii chochote kwenye mafanikioa ya mtu binafsi, kama ubongo wako umekuwa reduced kwenye kulinganisha Vyuo na kuchambua kwa kutumia tu "Organizations Behaviours" hata Usome UCLA, Stanford, Harvard, Yale,Bekerley, Massachussets, Southampton, Oslo, Twente au Oxford utabaiki kuwa bogus tu
 
Time will tell..... mi niko udom na ni mwana IT.... Ubora wangu unakuja pale ninapokutana na watu wa IFM and UDSM... bado wako nyuma..... Ukitaka kuprove take examinations , practicals and assigniment za wanafunzi husika... utaona tofauti... Udom wanajitahidi kupandisha sifa ya chuo kwa hali na mali...... Alafu mi nashangaa kuwa udom hakuna malecture wazuri wakati hao hao ndo wanafundisha nzumbe na udsm....
 
Mbali ya majengo KIINIMACHO, hakuna kitu UDOM!

Naita majengo KIINIMACHO kwa sababu ni majengo ambayo ni mabovu sana kiasi kwamba miaka miatano ijayo yatahitaji matengenezo makubwa sana. Mlacha na Kikula wameiingizia nchi hasara kubwa sana.
 
Bado uko mbali sana na ukweli.Pitia ranks za vyuo vikuu utajua kipi ni kipi.Jitahidi kuwa mkweli wa nafsi yako kabla hujawaaminisha wengine wasiwasi wa imani yako.
 
Tatizo letu wabongo ni kujiona wajuzi wa kusema. Vyuo Vikuu vyote vinasimamiwa na TCU. Wao ndio wenye uwezo wa kupima viwango vya ubora kutokana na vigezo walivyoweka. Publications si kipimo pekee cha ubora. Kuna jamaa yangu kanambia kuwa wafanyakazi wa Chuo cha Tiba cha UDOM wanatoa huduma ya afya bure kwa wananchi wa vijiji jirani. Wameshakwenda mashuleni kupima watoto minyoo na kuwapa dawa. Kwa nini wasisifiwe hata kwa hili. MUHAS, UDSM, na wakongwe wengine mnaowasifu wameshawahi kufanya hivi? Mwenye hoja alinganishe UDOM na NELSON MANDELA, ambao wanakaribiana na umri. kulinganisha UDOM na UDSM ni kama kulinganisha technolojia ya Tanzania na Uingereza.
 
Sio muumini sana wa kugombania ubora wa Vyuo kwa sababu kesho naweza kwenda kusoma au kufanya kazi kwenye Chuo hicho hicho ninachokiponda.....Hata hivyo, mimi nimesoma UDSM....Ninao ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma na waliosoma UDOM na wengine wanafanya kazi UDOM. Sijafika UDOM, siijui vizuri sana kiasi cha kulinganisha na UDSM. Hata hivyo naamini kwa dhati kabisa, mtoto wa miaka Mitano (2007-2013) hawezi kwa namna yoyote ile kulinganishwa na Mtu mzima wa miaka 52 (1961-2013) labda sura tu na kwamba wote ni binadamu i.e Vyote ni Vyuo Vikuu.

Tuipe muda UDOM ijipange, izalishe Walimu wake (leo inategemea products za UDSM, SUA,ARU,MUHAS na MZUMBE)... Sidhani kama UDOM ilijengwa ili kushindana na UDSM. ALiyebuni wazo la kujenga UDOM (awe Kikwete au Mtu mwingine) hakulenga kushindanisha UDOM na UDSM...UDOM ilikuja kucomplement mapungufu ya UDSM (Naamini yapo mengi sana) ikiwemo kuchukua idadi ndogo ya wanafunzi. Sidhani kama JK (M UDSM), Dkt Bilal (M UDSM). Prof Kikula, Mlacha, Mwamfupe na wengine wapo pale kushindanisha UDOM na UDSM...kwenye hayo mashindano wao watakuwa upande gani?

Ni akili za watu wenye uelewa mdogo wa "Organizations Behaviour" ndio wanaoweza kujadili kulinganisha mtoto anayekuwa kwa kasi na Mzee mwenye Uzoefu kazini. Tuaiche UDOM ikue, tutakuja kutoa maoni labda baada ya miaka 15 au 20 hivi pale ambapo Chuo kitakuwa na Walimu wa kutosha n.k.................

.MImi huwa sipendi sana haya mambo ya ushabiki wa Vyuo kama wa Simba na Yanga. Unapolinganisha UDOM na UDSM, vyuo vikongwe kama SUA, ARU, MZUMBE, na MUHAS unaviweka kundi gani? Uobra wa Chuo hausaidii chochote kwenye mafanikioa ya mtu binafsi, kama ubongo wako umekuwa reduced kwenye kulinganisha Vyuo na kuchambua kwa kutumia tu "Organizations Behaviours" hata Usome UCLA, Stanford, Harvard, Yale,Bekerley, Massachussets, Southampton, Oslo, Twente au Oxford utabaiki kuwa bogus tu

Asante mkuu ,umenena wajinga na wavivu wa kufikiri ndo wanahangahika na kulinganisha vyuo, mtu ambaye kichwa kimetulia utambua kwa umakini wake na wala sio chuo alichosoma
 
KILA kukicha ni mada za UDOM kukandia UDSM. me nawashauri wana-UDSM wenzangu kuacha kuchangia mada za namna hii ili kudhihirisha uelewa wetu mkubwa.
 
Sio muumini sana wa kugombania ubora wa Vyuo kwa sababu kesho naweza kwenda kusoma au kufanya kazi kwenye Chuo hicho hicho ninachokiponda.....Hata hivyo, mimi nimesoma UDSM....Ninao ndugu, jamaa na marafiki wanaosoma na waliosoma UDOM na wengine wanafanya kazi UDOM. Sijafika UDOM, siijui vizuri sana kiasi cha kulinganisha na UDSM. Hata hivyo naamini kwa dhati kabisa, mtoto wa miaka Mitano (2007-2013) hawezi kwa namna yoyote ile kulinganishwa na Mtu mzima wa miaka 52 (1961-2013) labda sura tu na kwamba wote ni binadamu i.e Vyote ni Vyuo Vikuu.

Tuipe muda UDOM ijipange, izalishe Walimu wake (leo inategemea products za UDSM, SUA,ARU,MUHAS na MZUMBE)... Sidhani kama UDOM ilijengwa ili kushindana na UDSM. ALiyebuni wazo la kujenga UDOM (awe Kikwete au Mtu mwingine) hakulenga kushindanisha UDOM na UDSM...UDOM ilikuja kucomplement mapungufu ya UDSM (Naamini yapo mengi sana) ikiwemo kuchukua idadi ndogo ya wanafunzi. Sidhani kama JK (M UDSM), Dkt Bilal (M UDSM). Prof Kikula, Mlacha, Mwamfupe na wengine wapo pale kushindanisha UDOM na UDSM...kwenye hayo mashindano wao watakuwa upande gani?

Ni akili za watu wenye uelewa mdogo wa "Organizations Behaviour" ndio wanaoweza kujadili kulinganisha mtoto anayekuwa kwa kasi na Mzee mwenye Uzoefu kazini. Tuaiche UDOM ikue, tutakuja kutoa maoni labda baada ya miaka 15 au 20 hivi pale ambapo Chuo kitakuwa na Walimu wa kutosha n.k.................

.MImi huwa sipendi sana haya mambo ya ushabiki wa Vyuo kama wa Simba na Yanga. Unapolinganisha UDOM na UDSM, vyuo vikongwe kama SUA, ARU, MZUMBE, na MUHAS unaviweka kundi gani? Uobra wa Chuo hausaidii chochote kwenye mafanikioa ya mtu binafsi, kama ubongo wako umekuwa reduced kwenye kulinganisha Vyuo na kuchambua kwa kutumia tu "Organizations Behaviours" hata Usome UCLA, Stanford, Harvard, Yale,Bekerley, Massachussets, Southampton, Oslo, Twente au Oxford utabaiki kuwa bogus tu
well said....ila nlivyomsoma huyu jamaa alikua anataka kutangaza kapage kao ka facebook....
 
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?

Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.

Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?

Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani

1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.

Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)

changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.

Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.

Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.

NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
MBONA UNATAKA kunilazimisha kuamini nsichotaka kuamini.....kweli na hiyo ndiyo picha halisi ya UDOM.....kama kundi limejaa vichaa(ambao wote ni wana UDOM) je udom nzima itakuaje???
 
kuna ugumu gan mimi ku like page ya Ud na ku comment kama mwana Ud wakati sio, unafikiri kuna interview kwenye ku-like page
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom