Papaa Kinyani
JF-Expert Member
- Feb 25, 2013
- 1,459
- 697
Wewe unaongea tu sababu una mdomo ambao hulipii kodi, sisi wahadhiri tunajua.
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.
Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?
Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani
1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.
Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)
changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.
Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.
Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?
Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani
1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. Changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. Izo ni organization behavious katika ku face competation. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.
Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)
changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.
Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
Nb:
Kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini?
Kwasababu vyuo vilivyokuwepo vilikua havitofautiani katika sifa na competition kati yao ilikua ndogo. Kama umesoma organization behaviors utakubali hili.
Baada ya kuzaliwa kwa udom malumbano yakaanza,je unajua ni kwanini?
Udom ilikuja na changamoto zifuatazo kwa vyuo vingine ikiwepo mlimani
1.changamoto ya idad ya kupata wanafunz wakutosha kwa vyuo vingine hasa ukitegemea intake ya udom ni kubwa ya kuweza kumeza vyuo kumi na kisijae
so what they did here ili wasikose wanafunz ni kuanza kutengeneza sifa mbovu kuhusu udom ili waendelee kupata intake ileile kwenye vyuo vyao
2. Kufunguliwa kwa udom kulileta changamoto ya uwezekano wa lectures kwenda udom na kuhama baadh ya vyuo, so what measure they took ni kuamua kuikashifu udom na kuongeza maslah kwa ma lecture katika vyuo vyao wasikimbie. Kama una ndugu yako lecture hapo ud au mzumbe wanalifaham ili.
3. changamoto nyingine ni kutaka kuendelea kubaki na sifa ya vyuo vyao kwa kupinga na kuponda the emerged one which is udom
hizo ndo sababu mabishano ya vyuo yameanza pale udom ilipoanza. IZO NI ORGANIZATION BEHAVIOUS KATIKA KU FACE COMPETATION. Kaa darasan uzisome utajua the in and out.
Ni kweli kwamba uzur wa majengo na intake havitumiki ku determine ubora wa elimu ila vinakua ni changamoto kwa vyuo vingine kwamba applicants wanaweza wakavutiwa na vitu hivyo so what to do nikusema kinachozalishwa ni feki ili kuendelea kupata intake ileile kwenye vyuo vyao.
(go and study organization behaviours in dealing with competitions)
changamoto ndogo ndogo zinazoikabili udom haziwez kuondoka kama kikwete hatatoka madarakani kwa kumuweka prof kikula na kuchanganya siasa,dini na elimu.
Mtoto wa miaka 4 kila siku anaendelea kukua na anaendelea kuwa tishio kwa wazee wa miaka 50 na zaid, je huyu mtoto akifikisha miaka 20 tu atakua hakamatiki.
Ukikurupuka ku-comment bila kuzijua organization behaviors utaishia kuandika utumbo.
NB:
kuna kundi linaitwa "udom ndo home" facebook. Kila mnachopost kuweni makini na mnachochangia, kundi limejaa wastaarabu wa chache, weng wanatumia lugha za kiuni.
Time will tell..... mi niko udom na ni mwana IT.... Ubora wangu unakuja pale ninapokutana na watu wa IFM and UDSM... bado wako nyuma..... Ukitaka kuprove take examinations , practicals and assigniment za wanafunzi husika... utaona tofauti... Udom wanajitahidi kupandisha sifa ya chuo kwa hali na mali...... Alafu mi nashangaa kuwa udom hakuna malecture wazuri wakati hao hao ndo wanafundisha nzumbe na udsm....
acheni malumbano yasiyo na msingi, anayetoka sua, udsm, mzumbe, saut, udom, nk , hatma yao ni moja, baada ya kusoma its to hve a job!,
if u conduct a research in different companies,, u will find that workers r nt frm the same university,,
haya mambo ya udsm, sua , udom ni michecheto 2 ya baadhi ya wanafunz wasiojiamini, asilimia 60% ya ujuzi wa mtu hautegemei amesoma wapi na amefundishwa na na nani ila ni jitihada anazoziweka binafsi katika kujifunza,"mwanafunzi wa open university anaye2mia muda mwingi nyumbani kuliko kukaa darasani na kufundishwa na mwalimu anaweza kuwa na uwezo mkubwa kuliko wewe uliye udom, sua na udsm,! ., muda wanao2mia kuandika utumbo wa kupambanisha vyuo na wanafunzi wake,,
wasome so tht they cn improve their expertise"
2jadili jinsi ya kuiboresha elimu tanzania na cyo kupambanisha ubora wa taasisi 2lizonazo!
weweee kilaza. chuo chenu kinazalisha mafisadi wa Tanzania tu. hakuna jipya.Kila uchao mnaanzisha mada ya kuzishindanisha UDOM na UDSM. Status ya UDSM hapa kwetu Tanzania au hata Afrika haiwezilinganishwa na kijichuo chenu "cha kata kwa sasa" UDOM. Tena mkome msitupotezee muda kuangalia upuuzi kama huu. Mi ningewaomba wana UDSM wenzangu tuwapuuzilie mbali hawa watoto waliomaliza majuzi. UDSM ni kubwa mno tena mjisikie aibu kufananisha CHUO KIKUU na taasisi (Institute not Universities) zenu za elimu ya juu kama UDOM. Inakera sana mtu kweli ana degree anakaa kucompare UDSM na taasisi za elimu ya juu hapa Tanzania. Roho inawakereketa sana likitajwa jina la UDSM na sio UDOM tu IFM,CBE,DIT,TIA, IAA na wengineo wote wanajaribu kuonesha wao wanasoma vizuri kuliko UDSM na haya mambo hayakuanza leo nakumbuka hata wakati ninasoma pale MLIMANI 2005 - 2008 maneno kama haya ya vilaza yalikuwepo. Shame on you, UDSM IS TOO BIIIIIIIIIIGGGGGGGG, full stop.