TBC mna bifu gani na CHADEMA?

Uzinduzi wa kampeni Arumeru Mashariki umehudhuriwa na MAELFU ya watu sio MAMIA. TBC gets your acts together.

Kwa upande mwingine naona kama TBC na polisi wana njama za kichinichini za kuuwa CCM. Vyombo hivi viwili vinatumia nguvu nyingi kuwafanya wananchi wakichukie CCM. e.g kupiga watu mabomu, kuuwa, TBC kupindisha habari na wakati mwingine kutotoa habari kabisa. Yote sawa, maana ni msingi mzuri wa chuki. 2015!
 
Ukitaka kufurahia habari za Kampeni Arumeru usiangalie TBC tafuta TV channel nyingine. TBC is no longer a national TV but CCM Tv na wanamisled sana na mara nyingi hawaelezi hali halisi haswa inapokuwa CHADEMA wana ng'aa mahali. ukitaka kujua nisemayo ni kweli subiri uzinduzi wa CCM utakavyotangazwa kwa mbwembwe na coverage itakavyokuwa kubwa. Hivi ile TV ya CHADEMA imefikia wapi?
 
Bifu tu hilo hawatufai hao... Kulikuwa na thousands ya wanaarumeru nikiwamo mimi.
 
Huyu viti maalumu ni kada wa Magamba na huwa anamganda sana gamba mmoja ambaye ni wakili ili amsaidie aweze kuteuliwa viti maalumu walemavu kwa muda mrefu sasa. Namjua sana!
 
Wakuu mimi kuna dada mmoja anafanya kazi TBC niko nae close uwa anasisitiza ile station inaendeshwa na state house na watu wa t.i.s.s,anasema hata wao binafsi yao ni wachache sana wanaosupport magamba,ila wanakuwa hawana jinsi kwa kua kila kitu cha kufanya wanaambiwa wafanye kutokana na maelekezo ya ikulu,c.c.m au usalama,huyo dada(sitamtaja kumlinda) yeye binafsi ni mshabiki mkubwa wa c.d.m,ndio maana hata Tiddo hakuongezewa mkataba kwa kua halikiuka matakwa ya mambumbu wanaojiita wakubwa na halikua hataki kuburuzwa,alitaka chombo cha umma kienendeshwe kama chombo cha umma cha habari kwa watanzania wote na si kama chombo cha watu wachache au chama fulani,huyu mkurugenzi aliyekuwepo sasa ni mlamba miguu kuliko kiasi,na viongozi wetu mbumbu ndicho kitu wanachopenda hiko!ushauri ni kua hiki chombo kipotezeeni tu,ni bora kuangalia itv au star tv,na sio huu uchafu!
 
Wakuu mimi kuna dada mmoja anafanya kazi TBC niko nae close uwa anasisitiza ile station inaendeshwa na state house na watu wa t.i.s.s,anasema hata wao binafsi yao ni wachache sana wanaosupport magamba,ila wanakuwa hawana jinsi kwa kua kila kitu cha kufanya wanaambiwa wafanye kutokana na maelekezo ya ikulu,c.c.m au usalama,huyo dada(sitamtaja kumlinda) yeye binafsi ni mshabiki mkubwa wa c.d.m,ndio maana hata Tiddo hakuongezewa mkataba kwa kua halikiuka matakwa ya mambumbu wanaojiita wakubwa na halikua hataki kuburuzwa,alitaka chombo cha umma kienendeshwe kama chombo cha umma cha habari kwa watanzania wote na si kama chombo cha watu wachache au chama fulani,huyu mkurugenzi aliyekuwepo sasa ni mlamba miguu kuliko kiasi,na viongozi wetu mbumbu ndicho kitu wanachopenda hiko!ushauri ni kua hiki chombo kipotezeeni tu,ni bora kuangalia itv au star tv,na sio huu uchafu!

wanajamvi naitafuta ITV tangu saa moja na nusu siipati.... Kuna yoyote anipata? Kama kuna hitilafu yoyote naomba tujulishane wakuu.
 
Mimi TBC kwa kweli huwa si angalii kabisa, it is my last channel options. Ingawa kuna rafiki zangu wanafanya kazi pale, kwa kweli nawaonea huruma.
 
katika kutangaza uzinduzi wa kampeni za chadema mtangazaji wa tbc (amina moleli) anamalizia taarifa yake kwa kusema "uzinduzi huo ulihudhuriwa na mamia ya wakazi wa jiji arusha" hii maana yake nini. Ina maana si wakazi wa arumeru waliohudhuria uzinduzi wa kampeni za chadema bali ni wakazi wa jiji la arusha??tbc mna bifu gani na chadema?
aisee na mimi nimeliona na imenishangaza sana ila siku zote mvua haizuiliwi kwa mikono.yahaani issue kubwa namna hii inakuwa habari namba tano!!alafu kitu kingine nilichojifunza hawakutaka kuonyesha population iliyokuwepo uwanjani!!kwanza wamemuonyesha zitto kabwe,then mbowe alafu mgombea mwenyewe kwa ufupi na wakaonyesha population kwa ufupi zaidi tusubiri siku ya magamba kama habari nzima haijatawaliwa na kina nape!!!hii si haki kwa chombo cha umma kama hiki
 
Watu walikuwepo wengi,wengine wanatoka sehemu mbalimbali za mji km mimi na wengine km akina mr 2.Na haimaanishi kuwa CCM hawatakuwa na watu wa nje ya Arumeru .Tofauti ni kwamba CCM watawaleta na kuwalipa Tena Wengi.Kwa vile Tayari mitaani wazee wameanza sema hawamtaki kijana wa Uingereza,wengine mmarekani.Tena katoga sikio+ tatoo. Wazee wanasema asijekuwa wame m- Cameron.Na CDM nao wametoboa.So usihofu udhaifu wa TBC. huwa hizi media za serikali sometimes watangazaji wana hofu ya kpoteza ajira+uhai au pia kukosa promo km za akina Halima Kihemba, na Mkamia. Mbaya huwa wanakutwa studio km Mistri wakiwa wanatangaza proganda kwa chama na serikali iliyokwisha angushwa.:thinking::thinking:
 
Mida ya saa 2ucku ITV ilikuwa giza ndo manda nli2ne TBC iloniboa.nlitazama coz a leave no obtion
 
TBC imegeuzwa kuwa CHOMBO cha MAFISADI!,.Ndg zangu ni vema tukafahamu kuwa tabia kuu ya Mafisadi ni UPORAJI.Watapora mamlaka ya Umma,watapora maliasili zetu na chochote kile chenye maslahi kwao.TBC si chombo cha Umma tena!,tumeshaporwa siku nyingi,kibaya zaidi tunaendelea kulipa mishahara ya wafanyakazi wake.TUPINGE MAMBO HAYA KWA NGUVU ZOTE,...Ufalme siku zote unapatikana kwa NGUVU na wenye nguvu UUTEKA.
 
At least sasa tunaipata ,ikisumbua km Tien ipo hewan tunakula mziki. Masako nampenda kwani ndie mwandish pekee anayeweza kwa kiasi fulani kuwauliza magamba mind provocative questions.Waandishi wengine wantatia kichefuchefu linapokuja suala la kuwa interview magamba...Ukitaka jua tazama TBC asubuhi au ukipata muda mcheki Kibonde akiwa wana CCM.Km hutotapika utapata kipinduindu...kwanza nacheka, halafu anauliza leading questions, halafu km wameendaa watu wengine.Hakuna ya kuchomekea ghafla , hakuna swali la kunfanya kiongozi agune an akijisahau arushe ngumi, ila km ana jibu basi awakoge watazamaji.
Nawaonea huruma CCM kwani kujenga mazingira km haya na ya kukata umeme wanajidhalilisha, wanawanyima wana CCM wanaopenda tazama na kusikiliza chadema wakiwa chumbani washindwe.Jamabo litakalowafanya waende ktk mikutano wenyewe na huko watashwishika kubadili imani.
 
Hata watangazaji wa TBC wana uwezo duni sana.Kidogo huyu jamaa aliyetoka star Gabriel kidogo anaonekana, ana sauti ambayo ni controlled, katulia, hajichekeshi, hovyo,ana maswali mazuri ingawa haweze kwenda mbali kiasi cha kuwafanya watu wafanye homework yao kabla ya kuja ktk shoo, marine zaidi ya kuwa muigizaji na mpiga mikwara hana la zaidi, wengine ...mh hh.
 
Back
Top Bottom