TBC mna bifu gani na CHADEMA?

wapuuzi kweli hao! I hate them. Na walaaniwe TBCcm

Nyakageni umeongea kitu cha msingi sana kwenye uchangiaji wako. Big up bro... Hawa TBCcm wanaboa si kidogo. I think its right time CHADEMA kuanzisha CDM TV kama sheria za nchi ziko huru kuanzisha chombo cha chama. Kama CCM wana magazeti na hiyo TBC ni yao, CDM tunashindwa nini kuanzisha TBCdm yetu?
 
Unajua TBC pana siri kubwa sana,Kiapo chao cha kazi cha siri ni kwanza kutetea maslahi ya CCM na mengine yafuate.Alikuja Tido Muhando na kuleta Usawa wa Kidemokrasia kwenye Habari akatimuliwa.WALIO BAKI JAMANI,WANATETEA UGALI WAO.Kama hamjui kabla habari kutolea Mhariri lazima aipitie na ahakikishe kama haitawakera Magamba na kama inaulazimu sana kutolewa,wanaipiga scrach za kutosha na Baadae inagoma kutoka live na wanawaomba radhi...
Fuatilia kwa Makini utagundua fake trick nyingi zinazochezwa na TBC,tunayajua sema tunamezea na tunajua Hakuna lenye mwanzo lokakosa mwisho...Subirini hatma yenu,hata kama itachelewa lakini ipi siku tu...
 
Msimlaumu amina,taarifa ile imerushwa kwa basi 2 kwani kitaaluma hawajarusha penye hot newz,basi 2 wamerusha ili isionekane hawajarusha kabisa.shme on them

umeonaeeh!!!!! yan wamenishangaza sn ingekuwa ni ccm ingekuwa habari kuu, afu hata picha walizoonyesha wamepiga sehem ambazo hazina watu wengi afu kibaya zaidi wakachukua maneno ya katikati ya mazungumzo ya nassari hayana hata conection ili asieleweke unajua mm sjaelewa hata alikuwa anaongea nn!!!!!!!! ila waache waendelee nahila zao malipo yao ni tar 1/4
 
unatakiwa ujue sbb za Tido kupigwa chini. huyu mshana ni fal sana. tungoje tuone mwiSho wake. Enzi za Tido michezo na newz ilikuwa ni noma sasa hv mi naona ushudhi tu.
 
Niliacha kuiangalia hii tv tangu Tido atimke zake na mara ya mwisho kabisa niliiangalia baada ya kupigiwa simu na rafiki yangu akinitaka niangalie marudio ya kipande cha sherehe ya harusi yake kilikuwa kinarushwa jumapili moja hivi mwishoni mwa mwaka jana! Ashakum si matusi lakini kwa mtizamo wangu watangazaji wengi pale hawana tofauti sana na marobot!
 
TBC ishakuwa ya magamba so ni wakati wa sisi wanamageuzi kuidai tv yetu inayoendeshwa kwa kodi ze2 alafu ikiwanufaiisha wachache. TBC P.U.M.B.A.F.U sanaaaaaaaaaaa

Pole zao hao TBC ila mwisho wao wakaribia
 
Taarifa ya habari ya TBC1 haikutangaza/kuonyensha uzinduzi wa kampeni za chadema. badala yake wameonyesha mapokezi ya Lipumba; waponda kokoto shinyanga na waziri maige akifungua semina ya wapanda miti kibaha.
je, hii ni halali?
 
Comrade TBC uijuayo wewe alishaondoka nayo Tido Mhando unachokiona pale ni msukule wake tu

wanapangiwa habari za kurusha weredi umeshapotea pale
 
mimi nakushangaa wewe mpaka leo unaangalia taarifa ya habari tbc1

Wafanyakazi wa TBC 1 wana hatari ya kupoteza taaluma zao kwa kuwa hawazitumii. Wanaelekezwa na kuagizwa cha kufanya na muajiri wao kwa manufaa binafsi .HATARI!!!!
 
Taarifa ya habari jana TBC uliangalia? au habari ile ilikuwa ni uzinduzi wa kampeni za CUF? Think before you start a thread!
 
Mchakato majimboni ulimwondoa Tido,
Waliobaki wanapiga ramli kwenye habari, hichi kituo kimegeuka janga kwa taaluma za watu mwangalie Jery Muro, Tido, na The comed now wanaishia shimoni.
 
Back
Top Bottom