TBC mna bifu gani na CHADEMA?

Mchakato majimboni ulimwondoa Tido,
Waliobaki wanapiga ramli kwenye habari, hichi kituo kimegeuka janga kwa taaluma za watu mwangalie Jery Muro, Tido, na The comed now wanaishia shimoni.
 
Like any other state-owned media, TBC is bound by the Constitution to act in favour of the present goverment. Bear in mind that the government is being responsible for the corporation's running costs starting from payment of workers' salaries to day-to-day financial needs and one should not expect TBC to repay this by promoting the anti-government side Magw.anda. Chadema should either learn to come to terms with TBC bias or gather funds from supporters to set up their own TV facility that would promote and praise Chadema 24-7.
 
Hii nchi 2015 ikiwa ye2 m2 wa kwanza kuondoka pale ni marin,zacharia,mshana na amina.
 
TBC wanazani Watanzania bado wamelala,wengi wa wananchi awafatili TBC tena kama mimi ndio sijui ata kama ipo duniani.
 
Toka juzi naona TBC wakati wa taarifa ya habari ikirusha kampeni za mgombea wa Arumeru mashariki kwa kupitia tiketi ya CCM ,naomba kueleweshwa hapo coz i am puzzed jamani.
 
Sio kila mwanachama wa sisiemu ni mtangazaji wa tibisii ila kila mtangazaji wa tibisii ni mwanachama wa sisiemu. Cv mojawapo ya kuajiriwa pale tibisii ni lazima uwe memba wa chama cha magamba.
 
Wala msihofu, TBC na polisi wana mkakati wa kujenga CHADEMA. Kwa kupiga watu mabomu polisi wamesaidia sana kuhamasisha watu ili wakichukie CCM. TBC nao wameungana na polisi kuonesha watu kuwa ccm wanafanya kila hila ili watu wasijue ni jinsi gani wakubwa wanakula nchi. Yote hii inajenga CHADEMA na kubomoa CCM. Kama hawana la kuficha kwa nini wateke TBC? Own goal!
 
Jana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku, TBC walitangaza kukamatwa kwa viongozi wa chama fulani kwa ufunjifu wa amani bila kutaja jina la chama hicho ambacho ni CCM. Lakini Mkuu wa Oparesheni ya Polisi katika uchaguzi wa Arumeru mashariki, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Isaya Mngulu aliwataja kuwa ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndekubali na Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Vijijini, Allan Kingazi. Je, TBC ni Ukweli na uwazi au ukweli na uficho kwa maovu na umafia wa CCM? Nipeni jibu tafadhali.
 
Nuguzangu TBC nijanga lingingine lakitaifa wao pia nigenge lingine lawa huni namajambazi wakubwa,shirika lina ongozwa na pesa zawavuja jasho na sio pesa za CCM,tumechoka Watanzania,nazungumza kwa uchungu na nina maanisha ninacho kisema,WATANZANIA TUMESEMA SANA KWA MDOMO TUMECHOKA SASA IMEFIKA MUDA WAKUONYESHA VITENDO TUMECHOKA.
 
Like any other state-owned media, TBC is bound by the Constitution to act in favour of the present goverment. Bear in mind that the government is being responsible for the corporation's running costs starting from payment of workers' salaries to day-to-day financial needs and one should not expect TBC to repay this by promoting the anti-government side Magw.anda. Chadema should either learn to come to terms with TBC bias or gather funds from supporters to set up their own TV facility that would promote and praise Chadema 24-7.

You either don't know a thing or you simply don't get it. TBC is run by the taxpayers' money, not ccm's. Just like BBC in the UK, it must act impartially for the interest of the people. It is illegal for the government to interfere with TBC's operations, let alone the rulling party.

Well, it important for CDM to mobilize funds and establish their own media houses. This is an important point to take, the idea has been there but nothing is happening to realize it sooner rather than later. The interest of the people should always prevail.
 
Ndo maana Mkapa aliwakebehi hawa waandishi wa habari wa Kitanzania!full ubabaishaji,kujipendekeza na kutojua maadili ya taaluma zao,Tiddo Mhando was a right guy for Tbc,alikua anajua nini cha kufanya kutokana na taaluma yako,sio kupangiwa na kuambiwa la kufanya na watu wasio na taaluma

ndio ndugu yangu unachosema ni kweli kabisa! waliuondoa tiddo kwa maslahi ya ccm eti ameusaidia upinzani kupata viti vingi, ccm hawakuwa na majibu ya maswali ya wananchi ndio maana walijitoa katika mchakato majimboni katika vipindi vyote vinavyorushwa tbc hiki ndio kilichokuwa kipindi bomba kuwahi kurushwa tanzania. big up tiddo!
 
Back
Top Bottom