Chama cha upinzani Tanzania ni CHADEMA tu vingine vipo kimkakati kuudhoofisha upinzani

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,272
2,035
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA.

Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na vyama vilivyobaki ni vyama tanzu na CCM vipo kwa ajili ya kuibuka wakati wa uchaguzi kwa lengo la kupunguza kura za wapiga kura ambao hawakutaka kuichagua CCM bila uwepo wa hivyo vyama kura zao zingeenda CHADEMA. Kulijua hili hakuhitaji uwe na elimu ya sekondari au chuo kikuu kwani hata vichaa wanajua.

Labda tuulizane vyama hivi 22 vinafanya siasa wapi na lini? Je, ofisi na bendera zao mbona hatuzioni kupeperushwa mitaa? Je, mbona viongozi wake hawaonekani mikoani kuwatembelea wanachama wao?

Ushahidi wa vyama hivyo kuwa sio vya upinzani upo wazi kabisa. Hebu jiulize ni sahihi kwa mwenyekiti wa TLP kumnunulia fomu ya kugombea Urais mgombea wa chama anachokipinga?

Je, ni sahihi tanzania bara ACT Wazalendo kiwe chama cha upinzani ili hali kule Zanzibar kiunde serikali ya umoja na CCM?

Watanzania fungukeni vyama 21 vipo kwa ajili ya kupambana na CHADEMA. Kwa faida ya Watanzania vyama 21 vinavyopambana na CHADEMA ni kama vifuatavyo;

1. CCM

2. TLP

3. CUF

4. ACT

5. NCCR

6 UMD

7. NLD

8. UPDP

9. NRA

10. TADEA

11. UDP

12. Demokrasia Makini

13. FORD

14. CHAUSTA

15. DP

16. PPT

17. Jahazi Asilia

18. Sauti ya Umma

19. NDUTA

20. CHUDEWAMA

21.NDPR

22. NPF
 
Huo ndio ukweli wenyewe. Nguvu inayopambana na chadema ni kubwa mno. Usipopingwa na ccm directly, unakutana na watoto wake akina zitto. Chamsingi ni kuwa chadema sasa ionyeshe sera mbadala. Pale ccm inapovuruga wao waseme watafanya nini.
 
Siasa bwana
Hakuna mtu nliyemuamini kama Zitto na Kafulila
Saivi hata Yanga kuliko siasa
 
Huo ndio ukweli wenyewe. Nguvu inayopambana na chadema ni kubwa mno. Usipopingwa na ccm directly, unakutana na watoto wake akina zitto. Chamsingi ni kuwa chadema sasa ionyeshe sera mbadala. Pale ccm inapovuruga wao waseme watafanya nini.
Matawi ya CCM ni mengi sn
 
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA.

Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na vyama vilivyobaki ni vyama tanzu na CCM vipo kwa ajili ya kuibuka wakati wa uchaguzi kwa lengo la kupunguza kura za wapiga kura ambao hawakutaka kuichagua CCM bila uwepo wa hivyo vyama kura zao zingeenda CHADEMA. Kulijua hili hakuhitaji uwe na elimu ya sekondari au chuo kikuu kwani hata vichaa wanajua.

Labda tuulizane vyama hivi 22 vinafanya siasa wapi na lini? Je, ofisi na bendera zao mbona hatuzioni kupeperushwa mitaa? Je, mbona viongozi wake hawaonekani mikoani kuwatembelea wanachama wao?

Ushahidi wa vyama hivyo kuwa sio vya upinzani upo wazi kabisa. Hebu jiulize ni sahihi kwa mwenyekiti wa TLP kumnunulia fomu ya kugombea Urais mgombea wa chama anachokipinga?

Je, ni sahihi tanzania bara ACT Wazalendo kiwe chama cha upinzani ili hali kule Zanzibar kiunde serikali ya umoja na CCM?

Watanzania fungukeni vyama 21 vipo kwa ajili ya kupambana na CHADEMA. Kwa faida ya Watanzania vyama 21 vinavyopambana na CHADEMA ni kama vifuatavyo;

1. CCM

2. TLP

3. CUF

4. ACT

5. NCCR

6 UMD

7. NLD

8. UPDP

9. NRA

10. TADEA

11. UDP

12. Demokrasia Makini

13. FORD

14. CHAUSTA

15. DP

16. PPT

17. Jahazi Asilia

18. Sauti ya Umma

19. NDUTA

20. CHUDEWAMA

21.NDPR

22. NPF
Hata Mbatia aliunga mkono juhudi, leo yuko wapi??! Bado shusha "TANGA"...., CHADEMA kama sio leo basi kesho au kesho kutwa, wataitawala nchi, neno la Mungu halitaanguka kamwe lipi? "KWA MAANA HAKUNA MAMLAKA ITAKAYODUMU MILELE"

Hata Mbatia aliunga mkono juhudi, leo yuko wapi??! Bado shusha "TANGA"...., CHADEMA kama sio leo basi kesho au kesho kutwa, wataitawala nchi, neno la Mungu halitaanguka kamwe lipi? "KWA MAANA HAKUNA MAMLAKA CHINI YA JUA ITAKAYODUMU MILELE"
 
Paschal Mayala haamini kama ccm yaweza kutoka madarakani. Ni muumini wa zile ngonjera kuwa ccm itatawala milele.

Inashangaza kuwa baadhi ya waumini wa ccm wanaamini hivyo pia. Anguko la ccm liko katika urafi,ulevi wa madaraka, tamaa ya Mali na madaraka ambayo imo vichwani mwa viongozi wa ccm serikali
 
Hakuhitaji akili kubwa kujua upinzani Tanzania unaundwa na chama kimoja tu ambacho ni CHADEMA.

Tanzania inajumla ya vyama 22 lakini kati ya hiyo chama pekee cha upinzani wa dhati ni CHADEMA na vyama vilivyobaki ni vyama tanzu na CCM vipo kwa ajili ya kuibuka wakati wa uchaguzi kwa lengo la kupunguza kura za wapiga kura ambao hawakutaka kuichagua CCM bila uwepo wa hivyo vyama kura zao zingeenda CHADEMA. Kulijua hili hakuhitaji uwe na elimu ya sekondari au chuo kikuu kwani hata vichaa wanajua.

Labda tuulizane vyama hivi 22 vinafanya siasa wapi na lini? Je, ofisi na bendera zao mbona hatuzioni kupeperushwa mitaa? Je, mbona viongozi wake hawaonekani mikoani kuwatembelea wanachama wao?

Ushahidi wa vyama hivyo kuwa sio vya upinzani upo wazi kabisa. Hebu jiulize ni sahihi kwa mwenyekiti wa TLP kumnunulia fomu ya kugombea Urais mgombea wa chama anachokipinga?

Je, ni sahihi tanzania bara ACT Wazalendo kiwe chama cha upinzani ili hali kule Zanzibar kiunde serikali ya umoja na CCM?

Watanzania fungukeni vyama 21 vipo kwa ajili ya kupambana na CHADEMA. Kwa faida ya Watanzania vyama 21 vinavyopambana na CHADEMA ni kama vifuatavyo;

1. CCM

2. TLP

3. CUF

4. ACT

5. NCCR

6 UMD

7. NLD

8. UPDP

9. NRA

10. TADEA

11. UDP

12. Demokrasia Makini

13. FORD

14. CHAUSTA

15. DP

16. PPT

17. Jahazi Asilia

18. Sauti ya Umma

19. NDUTA

20. CHUDEWAMA

21.NDPR

22. NPF
kwani ndo unalijua leo mkuu
 
Ungemuuliza lowasa kabla hajafa
 
Back
Top Bottom