TBC mna bifu gani na CHADEMA?

Naunga mkono hoja 100%. TBC TOILET paper wale.

Binafsi nina miezi miwili sasa siangalii TBC, wala sio chanzo changu cha habari, nina angalia hapa JF ndio chanzo changu cha habari, viva JF and Godbless JF, walaaniwe wote wanaoitakia mabaya JF.
 
TBC maana yake ...TANZANIA BORING CHANNEL (TBC) yaani hawawzi lolote zaidi ya kukandamiza haki za WTZ ni uhuni,less ueledi,...acheni kushinikizwa fanyeni kazi ya kutangaza haki kwa kuweka mzni sawa kwa kila mlengwa....
 
Gazeti moja Huko kenya lilishawatoa kikatuni wakimlamba miguu KIKWETE!! Wakalalamika eti wakenya wanawaingilia so wawaombe msamaha!! lakini kwa sasa naona ni stahili yao TBC kabisa.Hata siangalii tena TBC coz nlishaona ubaguzi wao mapema sana tu. waache wabaki na wajinga wao
 
Mimi nimeachana nao, magazeti asubuhi wanasoma zanzibar leo, Majira, Uhuru, jambo leo na daily news ******* hao.
 
Back
Top Bottom