CHADEMA mna mpango gani na Dodoma?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,158
22,656
Salaam, Shalom!!

Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.

Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk

Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,

Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?

Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?

Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.

Muda haujawahi kutosha.

NB: Tanga na Dodoma ni majiji pia,mwl Nyerere hakuyaacha nyuma katika harakati za Ukombozi, lisisahaulike Hilo.

Karibuni 🙏
 
Salaam, Shalom!!

Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.

Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk

Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,

Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?

Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?

Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ng'ombe yoyote Nchi hii.

Muda haujawahi kutosha.

Karibuni 🙏
mlikofanya maandamano yaliyodorora na hayakua na tija 🐒

kwa uchovu ule, kibaraka hawez tena kutamani hiyo jogging ambayo haina maana yoyote zaidi ya kuhatarisha afya yake ambayo inaweza kusababisha mambo mengine 🐒
 
Ulijuaje yamedorora au yamefana bila kuyafuatilia?

Jikite kwenye mada.
 
Ulijuaje yamedorora bila kuyafuatilia?

Jikite kwenye mada.
kwani yalikua yanafanyika mafichoni ndio nisijue 🐒

mada ipi sasa wakati msingi wa hoja wa hoja yako ume-base maeneo uloyataja...

nami nakueleza kwamba hapakua na tija wala maana yoyote. Jogging ilikua imedorora kwa hiyo hamna haja kuendelea kufanya kitu ambacho hakina tija wala maana yeyote 🐒

zaidi sana kibaraka hata tamani tena kushiriki hiyo jogging labda iwe ni mita mia2 tu zaidi ya hapo labda atembee akiwa kwenye gari 🐒
 
Salaam, Shalom!!

Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.

Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk

Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,

Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?

Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?

Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.

Muda haujawahi kutosha.

Karibuni 🙏
Dodoma hakuna machali wa CDM ,wanapaogopa kama UKOMA
 
Usituletee nuksi hapa Capital City yetu, upuuzi wa maandamano peleka huko Kwa wavuta bangi na walalamishi wa Arusha na Mbeya.

Mwanza,Dar na Dom in fact Chadema imekataliwa kitambo japo inalazimisha
 
Salaam, Shalom!!

Tumeona maandamano katika majiji ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza.

Nia ya maandamano ni kuamsha umma kudai HAKI zao na kushinikiza Serikali kupunguza Kodi Ili kuondoa mfumuko wa bidhaa, Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote, nk nk

Na mwitikio umeonekana kuwa mzuri,

Swali LANGU ni je, lini CHADEMA itapeleka mwamko huo Dodoma na maneno ya Jirani ambako CCM wanadai ni ngome Yao?

Ni Kweli watu wa huko mfumuko wa Bei za bidhaa na gharama za Maisha hazijawaumiza vya kutosha kuikataa CCM?

Kwa jinsi chama hiki kinavyotesa Watanzania, hakipasi kuwa na ngome yoyote Nchi hii.

Muda haujawahi kutosha.

NB: Tanga na Dodoma ni majiji pia, lisisahaulike Hilo.

Karibuni 🙏
Huko kwingine ilikwenda bahati mbaya lakini shabaha kubwa ilikuwa ni kanda ya kaskazini kule kinapotoka chama!
 
Back
Top Bottom