Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.

Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa na vyama ambavyo havina wanachama. Inapotajwa kwenye hoja kama hizi kwamba inaungana na CCM wanachama wake wanajiuliza hiki chama kiliundwa cha kazi gani kama hakionI changamoto za utendaji wa chama tawala

Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.

Na hii unaiona hadi kwenye uchaguzi wa ACT unaoendelea. Viongozi wote wanaopitishwa mikoani ni wanachama wa CCM na hakuna kumbukumbu kwamba waliwahi kurejesha kadi za ccm
 
Naona mbuzi zinataka kumjaribu Mama, wanamuona mpole sana
Sasa jaribuni muone, wakati wa jiwe mlibakwa kwenye uchaguzi, hakuna hata mbuzi ilisema muandamane
Mama kawapa uhuru kujiachia mnataka mumpande kichwani, tusubire tuone kichapo live
 
Hao wapemba wameingizwa mjini na Zito. Zito hajawahi kuwa mpinzani wa ccm. ACT ilianzishwa na genge la JK na kina Membe ili kuwa backup ya ccm inapozidiwa na cdm. Maalim Seif ndio alienda kuwauza wapemba kwa Zito. Sasa hivi wamepemba wamepofushwa na Zito bila kujua wanapoteza maboya. Wapemba wamefunikwa kitambaa cheisi usoni wa siasa za kimamluki za Zito kwa jina la siasa za kistaabu. Lakini wapemba ndio wanaenda kugeuzwa mazombie wa ccm mazima.
 
Mama kawapa uhuru kujiachia mnataka mumpande kichwani, tusubire tuone kichapo live
polisi-2-jpg.190566
 
Chadema waligombea maandamano ya kudai bandari kids hawakushirikishwa badala ya kuwalaumu act au wanatangaza hadarah
 
Nikitafakari namna ACT Wazalendo wanavyofanya siasa na malengo waliyonayo kisiasa kwa siku za mbeleni naona wanakosa mikakati sahihi.

Sometimes kuna kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo na ukafanikiwa kufikisha ujumbe na kuna kuamua kutoka adharani. ACT siyo chama cha kutoka adharani kikiongozwa na vyama ambavyo havina wanachama. Inapotajwa kwenye hoja kama hizi kwamba inaungana na CCM wanachama wake wanajiuliza hiki chama kiliundwa cha kazi gani kama hakionI changamoto za utendaji wa chama tawala

Tafsiri ya hiki kilichofanywa na ACT ni kwamba CHADEMA wapo peke yao kwenye hoja ya katiba, chadema wapo peke yao kulalamikia ugumu wa maisha. Kwa maana nyingi ni chama kimoja tu kinachokuja na hoja kinzani dhidi ya CCM. Vyama vilivyobaki vinaungana 100% na kila jambo la CCM.

Na hii unaiona hadi kwenye uchaguzi wa ACT unaoendelea. Viongozi wote wanaopitishwa mikoani ni wanachama wa CCM na hakuna kumbukumbu kwamba waliwahi kurejesha kadi za ccm
"Mwenzetu " umesahau
 
Sasa wewe huelewi kuwa hivyo ni vyama tawala?

Hata mimi sifahamu hayo maandamano ya nini na lengo lake nini?
 
Back
Top Bottom