tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
sawa umesikika!
Aibu sana. Tambo zote walizokuja nazo wakati wa kampeni eti ndo wameambulia kata 5 tu?? Wafungue bendi ya muziki tu tujue ni burudani mwanzo mwisho. Wamebaki kufungua matawi USA na UK wakati vijijini wanachezea kichapo. AIBU SANA

Niweke rekodi sahihi M4C ilizinduliwa Morogoro, ikaenda Iringa, ikapigwa mabomu ikasimama. Mtibwa na malangali Ludewa chadema imeshinda. Ritz acha kuleta longolongo.
Lazima utamsikia Dr Slaa akilalamika kuwa Usalama wa Taifa wameingilia uchaguzi na kuiba kura.
Wanabodi,
Tumeona harakati za Chadema na M4C zikiendelea karibia nchini kote katika mikoa mpaka wilaya na vijiji kuwahamasisha Watanzania waiunge mkono Chadema.
Tukiangalia matokeo ya udiwani katika kata 26 Chadema wamepata kata 5 ni aibu kupata ushindi mwembamba kiasi hicho pamoja na harakati zote za M4C Chadema wanatakiwa wajitathimini upya kutokana na matokeo haya na kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Ushindi mkubwa wa Chadema katika udiwani ni wa kata ya daraja mbili Arusha ni aibu kujivunia kwa chama chenye miaka 20 kuwa na nguvu sehemu moja ya nchi kaskazini tu.
Jiulize hizo kata zote zilizochukuliwa na CHADEMA zilikuwa chini ya chama gani!!? pia angalia katika maeneo hayo rate ya ushindani ilikuaje!?? je ni aibu zaidi kwa nani, ccm iliyopo madarakani miaka 50 inapokwa kata 5 na chama kimoja cha upinzani ambachokina miaka 20 tu. ccm pamoja na ghilba na vurugu walizozipanga, wakazifadhili na kutekeleza bado CHADEMA wamefanikiwa kupoka kata zote hizo 5. mjinga huenda mbele hatua moja na kurudi nyuma hatua mbili na kujipongeza. hesabu kata zilizokuwa chini ya ccm kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi then utajua nani kashinda, ingawa inahitaji akili pia kulitambua hilo
Aibu sana. Tambo zote walizokuja nazo wakati wa kampeni eti ndo wameambulia kata 5 tu?? Wafungue bendi ya muziki tu tujue ni burudani mwanzo mwisho. Wamebaki kufungua matawi USA na UK wakati vijijini wanachezea kichapo. AIBU SANA
Niweke rekodi sahihi M4C ilizinduliwa Morogoro, ikaenda Iringa, ikapigwa mabomu ikasimama. Mtibwa na malangali Ludewa chadema imeshinda. Ritz acha kuleta longolongo.
Ukisikia upimbi ndo huu. Wewe huangalii hasara ya kupoteza kata tatu zilizokuwa zinamilikiwa na CCM pamoja na gharama kubwa ya kuwanunulia pombe, nyama, kofia na pesa nyingi za wavuja jasho kwenye kale kautaratibu ketu ka kampeni.
Lakini pia husngalii jinsi ulinganifu wa kura ulivopanda kwa Chadema kwa kila kata. Tumia asilimia kuona tofauti ya kura uone kuwa japo kuwa Chadema kapata tano lakini CCM kapoteza tatu kwa chadema.
Akili nyingine bwana uji mtupu.