Jiulize hizo kata zote zilizochukuliwa na CHADEMA zilikuwa chini ya chama gani!!? pia angalia katika maeneo hayo rate ya ushindani ilikuaje!?? je ni aibu zaidi kwa nani, ccm iliyopo madarakani miaka 50 inapokwa kata 5 na chama kimoja cha upinzani ambachokina miaka 20 tu. ccm pamoja na ghilba na vurugu walizozipanga, wakazifadhili na kutekeleza bado CHADEMA wamefanikiwa kupoka kata zote hizo 5. mjinga huenda mbele hatua moja na kurudi nyuma hatua mbili na kujipongeza. hesabu kata zilizokuwa chini ya ccm kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi then utajua nani kashinda, ingawa inahitaji akili pia kulitambua hilo

hivi,kati ya CCM waliopoteza viti vyao vya udiwani na CHADEMA walioongeza viti vyao vya udiwani ni nani mshindi hapo!
Hamkosi sababu andaeni mapema za kutoa 2015[/QU
Leo Ritz kawaanzishieni uzi mtashinda na kukesha hapa, unapofurahia faida angalia na hasara pia, CHADEMA imeongeza idadi ya kata kwa kuchukua zilizokuwa chini ya ccm, ni ushindi kwa CHADEMA na ni loss kwa ccm, ila ni lazima ccm mshangilie kuwa rafu, vitisho, vipigo kwa wananchi na rushwa zenu zimewasaidia, ukweli unasimamaa!!!
Na ndo inazidi kusimama zaidi
Shule ya kata haikukufundisha hesabu au wewe ni wa Visiwa vya Zimbabwe?
Kutoka viti viwili mpaka vitano ni ongezeko la asilimia 60.
3/5 x 100 = 60%
CCM, walikuwa na viti 27 wamenyang'anywa vitatu na hilo ni anguko kwa asilimia 11.1
3/27 x 100 = 11.1%
Bado huelewi?
Hadi dakika hii matokeo yanaonyesha kwamba katika Kata 29, CHADEMA wameshinda katika kata 5 and TLP (1) na CCM kushinda katika kata zilizobaki.
Kwa muono wa karibu unaweza ukadhani kwamba CHADEMA wamepoteza sana katika uchaguzi huu. Hata hivyo ukiyachunguza matokeo haya kwa ukaribu utaona kwamba CHADEMA wamepata mafanikio makubwa na CCM wametelemka.
Tukumbuke kwamba CHADEMA walikuwa na kata mbili za kuzilinda katika uchaguzi huu ambazo ni Rombo na Mvomero. Kata hizi wamefanikiwa kuzilinda na kuongeza zingine tatu, ambazo ni Mlangila (Ludewa), Ipole na Daraja Mbili (zote hizi zilikuwa za CCM). Kwa hiyo wamelinda kata zao na kuzipokonya zingine tatu kutoka mikononi mwa CCM.
Na yote hii ni ndani ya miezi 24 tu tangu uchaguzi mkuu ufanyike. Kwa hiyo kimehesabu CCM wameshuka kwa 11.1% na CHADEMA wamepanda kwa 60%! So, CDM keep up the momentum!
Asante Kitila Mkumbo!
Mkuu hilo ndio lilikuwa lengo la Chadema.
CDM bado sana.Tunafungulia mziki mnene...ole wenu mtupige mabomu.
Hadi dakika hii matokeo yanaonyesha kwamba katika Kata 29, CHADEMA wameshinda katika kata 5 and TLP (1) na CCM kushinda katika kata zilizobaki.
Kwa muono wa karibu unaweza ukadhani kwamba CHADEMA wamepoteza sana katika uchaguzi huu. Hata hivyo ukiyachunguza matokeo haya kwa ukaribu utaona kwamba CHADEMA wamepata mafanikio makubwa na CCM wametelemka.
Tukumbuke kwamba CHADEMA walikuwa na kata mbili za kuzilinda katika uchaguzi huu ambazo ni Rombo na Mvomero. Kata hizi wamefanikiwa kuzilinda na kuongeza zingine tatu, ambazo ni Mlangila (Ludewa), Ipole na Daraja Mbili (zote hizi zilikuwa za CCM). Kwa hiyo wamelinda kata zao na kuzipokonya zingine tatu kutoka mikononi mwa CCM.
Na yote hii ni ndani ya miezi 24 tu tangu uchaguzi mkuu ufanyike. Kwa hiyo kimehesabu CCM wameshuka kwa 11.1% na CHADEMA wamepanda kwa 60%! So, CDM keep up the momentum!
na lengo la ccm lilikuwa ni nini!??, kupoteza kata zaidi ya hizo??