osieee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 222
- 232
Wasaalam, jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua yakionekana waziwazi kwan ,kampeni hazivutii hata kidogo tena na hata idadi ya watu wanaojitokeza kupiga kura ni ndogo sana.
Case study ni katika manispaa ya Musoma ndani ya kata ya Mshikamano ambapo pia jana kulikua na zoezi lq uchaguzi mdogo wa diwani. Lakini kilichotokea ni kwamba idadi ya wapiga kura ilikua ndogo sana yan sana ,hadi ITV wakaipa coverage hii habari kwa kichwa cha MWITIKIO MDOGO WA WAPIGA KURA KATA YA MSHIKAMANO MUSOMA MJINI,
Ikumbukwe kuwa Kata ya mshikamano ni ngome kuu ya Chadema ndan ya mkoa wa Mara na ndio maana hata ofisi za chadema mkoa wa Mara zipo kata hiyohiyo .hivyo chadema wana wafuasi wengi sana katika eneo hili.
Maoni yangu ni kuwa imefikia wakati muafaka sasa Chadema kukubali kushiriki hizi chaguzi bila hayo mahitaji wanayodai kwani kama ipo ipo tu.mbona mara kibao CHADEMA IMESHINDA VITI KIBAO NA TUME HIYO HIYO.
WANANCHI WA MSHIKAMANO NA KATA ZINGINEZO TANZANIA ZINAZOFANYA CHAGUZI HIZI NDOGO WANALIA KWA KUKOSA VIONGOZI MAKINI KUTOKA CHADEMA ......VIVA CHADEMA VIVA TANGANYIKA.