Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,063
do youhave brothers?Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?