Wanaume kulala chumba kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.

Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.

Wanaume kuishi na kulala chumba kimoja (ghetto) huku wakiwa wamepangaa wamekaa kisela sijui inawezekanaje

Binafsi ni ngumu sana kulala na mtu wa jinsia yangu kitanda kimoja, nikikosa pa kumlaza mgeni bora nilale sebuleni au kama ni chumba kimoja bora nilale tu sakafuni.

Haya mambo ya kulala chumba kimoja kitanda kimoja wanaume kwa wanaume na hilo joto la Dar mtu unalala bila nguo au umevaa kijikaptula tu kwa dunia ya sasa hili ni ngumu sana

Siku ya Kwanza mtalala vizuri au vibaya lakini kadri siku zinavyozidi kwenda kuna mindset mtaanza kuzidevelop kuna saikolojia fulani mtaanza kujengeana mwisho mnaanza kutengeneza hisia za ajabu ajabu.

Hizi tabia wakati mwingine hazitengenezwi kwa mtu kwa na michezo fulani hapana bali ni vile mtu anaanza kukaa na mtu anamuona akilala na kuamka na mazoea mwisho wanajikuta wamo.

Ukiachana na ulevi ambao huchangia tamaa na uchu fulani basi haya mambo ya kulala kitanda kimoja mwanaume kwa mwanaume hupelekea hisia fulani zenye sintofaham

Hili ni tatizo kubwa tu, na case zipo nyingi sana sema tu haya yanaishiaga kuwa siri tu

Sio sahihi kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzako na ndo maana hata gest na hotel haya yanakatazwa.
 
Wakati nasoma chuo ,wanaume 5+ kulala geto Moja ilikuwa kawaida na hakukukuwa na haya mambo ya kishetwani km sikuhizi.
Nashangaa inakuwaje jmn
Malezi malezi malezi....
After 5-10 yrs naona gap kubwa la kukosekana wanaume kwakweli sijui tu Yesu atusaidie!
 
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.

Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.

Wanaume kuishi na kulala chumba kimoja (ghetto) huku wakiwa wamepangaa wamekaa kisela sijui inawezekanaje

Binafsi ni ngumu sana kulala na mtu wa jinsia yangu kitanda kimoja, nikikosa pa kumlaza mgeni bora nilale sebuleni au kama ni chumba kimoja bora nilale tu sakafuni.

Haya mambo ya kulala chumba kimoja kitanda kimoja wanaume kwa wanaume na hilo joto la Dar mtu unalala bila nguo au umevaa kijikaptula tu kwa dunia ya sasa hili ni ngumu sana

Siku ya Kwanza mtalala vizuri au vibaya lakini kadri siku zinavyozidi kwenda kuna mindset mtaanza kuzidevelop kuna saikolojia fulani mtaanza kujengeana mwisho mnaanza kutengeneza hisia za ajabu ajabu.

Hizi tabia wakati mwingine hazitengenezwi kwa mtu kwa na michezo fulani hapana bali ni vile mtu anaanza kukaa na mtu anamuona akilala na kuamka na mazoea mwisho wanajikuta wamo.

Ukiachana na ulevi ambao huchangia tamaa na uchu fulani basi haya mambo ya kulala kitanda kimoja mwanaume kwa mwanaume hupelekea hisia fulani zenye sintofaham

Hili ni tatizo kubwa tu, na case zipo nyingi sana sema tu haya yanaishiaga kuwa siri tu

Sio sahihi kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzako na ndo maana hata gest na hotel haya yanakatazwa.
Ukiona unaanza kudevelop hisia ukiwa karibu na jinsia yako, ujue ni aibu tu zimekujaa unashindwa kufunguka lakini ulishaleft group siku nyingi.
 
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.

Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.

Wanaume kuishi na kulala chumba kimoja (ghetto) huku wakiwa wamepangaa wamekaa kisela sijui inawezekanaje

Binafsi ni ngumu sana kulala na mtu wa jinsia yangu kitanda kimoja, nikikosa pa kumlaza mgeni bora nilale sebuleni au kama ni chumba kimoja bora nilale tu sakafuni.

Haya mambo ya kulala chumba kimoja kitanda kimoja wanaume kwa wanaume na hilo joto la Dar mtu unalala bila nguo au umevaa kijikaptula tu kwa dunia ya sasa hili ni ngumu sana

Siku ya Kwanza mtalala vizuri au vibaya lakini kadri siku zinavyozidi kwenda kuna mindset mtaanza kuzidevelop kuna saikolojia fulani mtaanza kujengeana mwisho mnaanza kutengeneza hisia za ajabu ajabu.

Hizi tabia wakati mwingine hazitengenezwi kwa mtu kwa na michezo fulani hapana bali ni vile mtu anaanza kukaa na mtu anamuona akilala na kuamka na mazoea mwisho wanajikuta wamo.

Ukiachana na ulevi ambao huchangia tamaa na uchu fulani basi haya mambo ya kulala kitanda kimoja mwanaume kwa mwanaume hupelekea hisia fulani zenye sintofaham

Hili ni tatizo kubwa tu, na case zipo nyingi sana sema tu haya yanaishiaga kuwa siri tu

Sio sahihi kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzako na ndo maana hata gest na hotel haya yanakatazwa.

Ungeanza kusema hii ilikutokea ww

acha kuficha ficha watu n waelewa
 
Hamna lolote Sema unakua ulikua shoga bikra! sasa kwa mwanaume mwenzio utakua umevutiwa nn
 
Mashoga huwa mnatafuta visingizio sana. Wengi wetu tumekua kwenye extended families.

Tumelala pamoja kuanzia utoto mpaka ukubwani. Tumeishi ghetto sekondari hadi chuo.

Tumeishi ghetto kwa miaka kwenye harakati za kutafuta maisha na bado hatujawahi hata kuwaza hizo hisia za kishenzi.

Hebu kubalini tu kuwa mmeamua wenyewe kwa utashi wenu kuwa mashoga. Msisingizie hormones sijui kulala pamoja, n.k.
 
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.

Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.

Wanaume kuishi na kulala chumba kimoja (ghetto) huku wakiwa wamepangaa wamekaa kisela sijui inawezekanaje

Binafsi ni ngumu sana kulala na mtu wa jinsia yangu kitanda kimoja, nikikosa pa kumlaza mgeni bora nilale sebuleni au kama ni chumba kimoja bora nilale tu sakafuni.

Haya mambo ya kulala chumba kimoja kitanda kimoja wanaume kwa wanaume na hilo joto la Dar mtu unalala bila nguo au umevaa kijikaptula tu kwa dunia ya sasa hili ni ngumu sana

Siku ya Kwanza mtalala vizuri au vibaya lakini kadri siku zinavyozidi kwenda kuna mindset mtaanza kuzidevelop kuna saikolojia fulani mtaanza kujengeana mwisho mnaanza kutengeneza hisia za ajabu ajabu.

Hizi tabia wakati mwingine hazitengenezwi kwa mtu kwa na michezo fulani hapana bali ni vile mtu anaanza kukaa na mtu anamuona akilala na kuamka na mazoea mwisho wanajikuta wamo.

Ukiachana na ulevi ambao huchangia tamaa na uchu fulani basi haya mambo ya kulala kitanda kimoja mwanaume kwa mwanaume hupelekea hisia fulani zenye sintofaham

Hili ni tatizo kubwa tu, na case zipo nyingi sana sema tu haya yanaishiaga kuwa siri tu

Sio sahihi kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzako na ndo maana hata gest na hotel haya yanakatazwa.
tupe kisa chako mkuu. kama ushakuliwa au kumla mwenzio, maana unazunguuka
 
Mtoa mada kumbe mwenzetu ukikaa na wanaume una develop hisia za ajabu ajabu?

Ila nakupongeza maana umejua weakness yako so hauruhusu kulala na vidume.

Ila wanaume kamili tunakushangaa, sisi home mpaka chuo magheton wana tuko watano fresh wala amna hisia hizo za ajabu.

Shule za bweni kupiga mtungo ilkua kawaida hata chuo unambeba mwana semista nzima hakuna ujinga huo

Kizazi cha sasa vijana mmekua laini sana mpaka mnapata hisia mkiwa na wanaume wenzenu
 
Back
Top Bottom