Swali kwa wanaume

Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?
do youhave brothers?
 
gfsonwin acheni mambo hayo! Inamaanisha wewe hujaona tofauti ya mlivyo sasa na mlivyokuwa mnaoga utotoni? The go take a bath with him now if it will make u understand! Kha kuingia chumbani kwa dadako kama sio forbidden then unapiga hodi mara mia mia. Hivi unazijua nguvu za shetani vizuri? Why is it written, "Ikimbieni zinaa"
babaeleze,hakuna kiumbe dhaifu kama mwanaume,aki switch on kichwa cha chini cha juu huwa kina log off automatically,wenzetu bahati yao wameumbwa na kichwa kimoja ndo mana yanayoongelewa hapa kwao ni incomprehensible.Father n daughter very common,Mother and son very rare,tafakari.
 
Mie sio mwanaume lakini naweza kulala chumba kimoja na kakangu. Hata jua lishuke na mwezi na nyota sio mie wala kakangu ambae anaweza kumtamani mwenzie! Ni laana!

wewe ndiye umenena....kinachotakiwa ni mindset tuu...kama kichwani kuna big NOO asilani siwezi kuzini na ndugu yangu...achilia mbali dada,binamu pia sithubutu....
 
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?

Hii kitu haiwezekani jamanii..binafsi naweza lala na bila kupata hisia zozote. Mtu anaekuwa na hisia ni kuwa ameshaingiliwa na shetani ..linampelekesha..huwezi kuvutiwa na ndugu wa damu kabisa yako hiyo itakuwa ni laana tu.
 
To me it is not right. Nikimtembelea mdogo wangu wa kiume hua ananipisha nilale chumbani kwake yeye analala na rafiki yake (he lives in a 2 bedroom flat). Ikiwa inashindikana sababu huyo rafiki yake kakaribisha mgeni pia basi nafikia guest. Sio kwamba atanitamani, ila just for that privacy sake. Just imagine anaingia chumbani ananiona nikilala with my light night dress, au anaona underwear zangu zikionekana zinachomoka from the bag, or yet again ananiskia nikimpigia mpenzi wangu sim na kumwambia how I miss him etc. It is just not proper (IMO). Kwa nini asifikie kwa mchumba wake?
 
Wakuu naona the issue is debatable as some of us tunaona ni okay na wengine wanaona ni weird.Mimi Kama dada najua tayari kuwa siwezi kufanya lolote ikitpkea kuwa ni lazima nilale chumba kimoja na kakangu ila siwezi kujua kakangu na yeye anaweza kulala na Mimi bila kuwa na Mawazo ya kishetani au la ndio maana nataka kusikia kauli za wanaume sababu naming akili na control Yao katika ngono si Kama zetu.
 
Kama dada Yangu Blood Kabisa Hata Kusimama Haisimami

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
skiliza PetCash nikwambie lazima iwepo tofauti kati ya binadamu na manyani ama wanyama the man is making money, na pia anaangalia ku maximize profit istoshe hafanyi naye analala tu why should you be bothered? hivi kama huwez lala na dada yako utaweza kweli na shemeji yako wa kike rum moja? lazima tujifunze nidhamu bana

Dah! Umeongea kwa uchungu sana.
Suala hapa sio uwezekano wa kulala chumba kimoja au hata kitanda kimoja na dada yangu. Tuangalie circumstances zinazotufanya tulale chumba kimoja. Is it absolutely necessary?
Kama ni lazima kabisa kulala na dada yangu chumba kimoja naweza kulala. Lakini kama sio lazima kwa nini nifanye hivyo?
Siwezi kumtamani dada yangu kimahaba lakini ile heshima ndio tunayolinda. Ni sawa na kulala na Mama mzazi au Mama mkwe chumba kimoja nikiwa mtu mzima tayari je ni sawa ili mradi nisimtamani? Heshima itakuwa wapi hapo? Let us get back to our senses!
Kwa nini liwe jambo la kawaida mtu kulala na dada yake chumba kimoja? Chupi ataanika wapi? Akiwa mwezini je? Asubiri niondoke ajitengeneze? Huyo jamaa siwezi kumtetea kabisa. In short hafai kuwa mchumba wa mtu!
 
Last edited by a moderator:
King'asti asante kwa jibu mpenzi wangu ila napenda kusikia majibu ya kaka zetu.Mimi pia naweza kulala na kakangu na nisihisi kitu ila labda iwe hakuna jinsi maana mimi ningempa hela alale hotel au ningelala kwa rafiki hadi aondoke
Kwani kaka yako kafanya nini aisee?
 
Okay..kwa hiyo ni kwamba inawezekana ikatokea na ukalala naye but iwe katika mazingira ambayo namna nyingine imeshindikana kabisa..that's right..lakini iwe ndo kama kawaida hapana. Sasa huyu bwana hajafanya poa..
 
Wakuu naona the issue is debatable as some of us tunaona ni okay na wengine wanaona ni weird.Mimi Kama dada najua tayari kuwa siwezi kufanya lolote ikitpkea kuwa ni lazima nilale chumba kimoja na kakangu ila siwezi kujua kakangu na yeye anaweza kulala na Mimi bila kuwa na Mawazo ya kishetani au la ndio maana nataka kusikia kauli za wanaume sababu naming akili na control Yao katika ngono si Kama zetu.

Dear, sio swala la ngono tu, kuna suala la privacy pia. Unaweza kuongea na boyfriend wako kwenye sim na sister amekaa hapo, tena ukaenda in tedails about what you miss from him. But nadhani sio rahisi kiivo kuzungumzia hayo hayo mbele ya kaka yako. huo ni mfano mmoja tu. Ni suala la convenience zaidi, far from being suala la ngono tu.
 
Jamani natumia iPhone bado sinaiwezea vizuri inanizingua sana.siwezi kutoa like na pia naweza andikq neno likatokea neon kwa mfano.kwa hiyo mkiona mauzauza nisameheni bure.pia natamani nijibu kila comment ila nashindwa.
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Mmmh. Kisa cha kupanga vyumba vyote hadi cha kwako cha kufikia ni nini!
Utachuma pesa na laana. Sioni busara yoyote kujiweka kwenye mazingira kama hayo.
Suala la kushiriki katika ngono linahitaji utayari kisaikolojia kwa hiyo
nionavyo mimi, ndugu hao hawawezi kuwa na hisia za mapenzi.
 
King'asti asante kwa jibu mpenzi wangu ila napenda kusikia majibu ya kaka zetu.Mimi pia naweza kulala na kakangu na nisihisi kitu ila labda iwe hakuna jinsi maana mimi ningempa hela alale hotel au ningelala kwa rafiki hadi aondoke

Mpendwa queenkami mimi ni mkaka na nakuapia..... Mvua inyeshe jua liwake kojoleo langu haliwezi simama likiwa na matamanio ya kumsokomezea dada yangu wa tumbo moja, wala mama yangu mzazi bila kujalisha nimelala naye kitanda kimoja.

Mungu aendelee kuninusuru na aendelee kunifanya hanisi mbele ya mama, dada na binti zangu.

Amina.

Mwisho wa Posti.
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom