Nikiwa sijafanya mapenzi kwa muda mrefu Kichaa kinapanda

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,168
Nimekua na tatizo hili lakupenda kufanya mapenzi kupita kiasi.Yaan mi hata tulale tunachakatana sawa tu.

shida ni kua nikikaa muda bila kufanya mapenzi kuanzia miezi miwili Nahisi kichwa kinataka kuchanganyikiwa .Ni kama vile GeNye zinapanda kichwani sielewi sieleweki siaminiki sishikiki

mfano:
Nilikua na mipango yangu mizuri ya kumalizia nyumba (chumba) kwa ajili ya wapangaji maana kuna kahela nimekapata sasa bana “ kuna mizigo nilikua nachati nayo iko dar Si ghafla nikajikuta nimepanda gar kuifuata (kumbuka niko mkoani na nauli ni 100k)
Hela zimeisha nimekula nakuchakataa haswaa sasa akili timamu imenirudia,,, najutaaa nimetumia 600k…..Nawaza ningevuta hata umeme tu kwa 400k.

Hii si mara moja ishatokea mara kibao nikishakua na kichupa aisee Hata sh ngap nachoma, kichwa kinakua kama chizi

Nauliza kwa wanaume ni kawaida au mi ni mgonjwa??
 

Attachments

  • 64B1896C-61DC-44CB-AD34-059DA1D5A67D.jpeg
    64B1896C-61DC-44CB-AD34-059DA1D5A67D.jpeg
    39.7 KB · Views: 5
Kumbe ndio maana uwezi kubet maana pesa yote unapeleka kwenye kichwa cha chini
 
Kumbe ndio maana uwezi kubet maana pesa yote unapeleka kwenye kichwa cha chini
hapana kubet siyo mambo yangu nilikua nabet chuo sababu ya kuongeza kipato lakini nilikuja kuliwa 15k na ilikua ndo poket money kwaiyo toka siku hyo sikubet tena
 
Back
Top Bottom