Naomba ushauri: Rafiki yangu ana tabia ya kutongoza kila binti ninayekuwa naye kwenye mahusiano

airjoo2023

New Member
Dec 11, 2023
2
6
Habari mwanaJF,

Naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano.

Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni.

Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya mambo alikuwa anajua coz ni rafiki yuko karibu na mimi ila nilipokuja kujua kuwa amemtongoza pia kala mzigo, nilijikuta hisia zinaisha kabisa na yule demu nilimpenda ila sijui kama na yeye alinipenda kwa mara ya mwisho alikuja gheto kwangu sikuweza kufanya chochote, niliachana naye pia sikumwambia kitu rafiki ila nilianza kuweka mipaka.

Niliingia tena na mahusiano binti mwingine, hali ilirudi ile ile ila cha ajabu huwa anajifanya kunipa ushauri na kuniambia usimuache huyu demu anakupenda sana ila nilijikuta namuacha kwani nilishindwa kufanya naye sex zaidi ya mara mbili.

Sasa juzi nikiwa na binti niliyenaye kwa sasa, rafiki yangu alinipigia simu akiniomba nimuazime pikipiki, nilimwambia nimeenda kijijini ila haikuwa ni kweli nilikuwa out na mpenzi wangu, sasa nilishangaa nilipooneshwa sms aliyomtumia mpenzi wangu wakati huo nikiwa naye ila kwa kipindi cha nyuma aliniambia kuwa jamaa anamsumbua.

Nilichati naye na nikamuomba 20,000/=, cha ajabu aliniomba nimuazime 30,000/= baada ya kumtumia alituma kwenye namba ya mpenzi wangu, nilijikuta naumia na kujaa hasira sana.

Naomba ushauri maana huyu binti nampenda sana pia nimeshafika kwao nahitaji kumuoa , nifanyeje ili yasinikute yaliyopita? Maana rafiki yangu najua tabia zake ana madem wengi pia huwa ananunua wale dada poa.

Naombeni ushauri maana kila nikikumbuka najaa na hasira.
 
huyo sio rafiki ako nashangaa kwanini unamuita rafiki

Equation x mzabzab Ivan Stepanov Depal Joanah Glenn

njoon mumshauri mtu huku
niliachana naye pia sikumwambia kitu rafiki ila nilianza kuweka mipaka

Sasa juzi nikiwa na binti niliyenaye kwa sasa, rafiki yangu alinipigia simu akiniomba nimuazime pikipiki, nilimwambia nimeenda kijijini ila haikuwa ni kweli nilikuwa out na mpenzi wangu, sasa nilishangaa nilipooneshwa sms aliyomtumia mpenzi wangu wakati huo ila kwa kipindi cha nyuma aliniambia kuwa jamaa anamsumbua

Mie naomba kujua Mipaka aliyoweka baada ya demu wake wa kwanza kuliwa na rafiki yake ni ipi na ipi

Mipaka hiyo iliweka mazingira gani hadi rafiki yake anamiliki namba ya huyu demu mpya

Kama hakuna majibu basi uzi wote huu ni chai....yenye chumvi
 
Habari mwanaJF, naomba ushauri rafiki yangu huwa na tabia ya kutongoza kila binti niliye naye kwenye mahusiano

Ni rafiki ninayefanya naye kazi kituo kimoja pia tulikutana kazi japo pia tunakaa jirani kwenye nyumba za kampuni

Kipindi cha nyuma nilikuwa na demu ambaye alimjua pia baadhi ya mambo alikuwa anajua coz ni rafiki yuko karibu na mimi ila nilipokuja kujua kuwa amemtongoza pia kala mzigo, nilijikuta hisia zinaisha kabisa na yule demu nilimpenda ila sijui kama na yeye alinipenda kwa mara ya mwisho alikuja gheto kwangu sikuweza kufanya chochote, niliachana naye pia sikumwambia kitu rafiki ila nilianza kuweka mipaka

Niliingia tena na mahusiano binti mwingine, hali ilirudi ile ile ila cha ajabu huwa anajifanya kunipa ushauri na kuniambia usimuache huyu demu anakupenda sana ila nilijikuta namuacha kwani nilishindwa kufanya naye sex zaidi ya mara mbili

Sasa juzi nikiwa na binti niliyenaye kwa sasa, rafiki yangu alinipigia simu akiniomba nimuazime pikipiki, nilimwambia nimeenda kijijini ila haikuwa ni kweli nilikuwa out na mpenzi wangu, sasa nilishangaa nilipooneshwa sms aliyomtumia mpenzi wangu wakati huo nikiwa naye ila kwa kipindi cha nyuma aliniambia kuwa jamaa anamsumbua

Nilichati naye na nikamuomba 20,000/=, cha ajabu aliniomba nimuazime 30,000/= baada ya kumtumia alituma kwenye namba ya mpenzi wangu, nilijikuta naumia na kujaa hasira sana.

Naomba ushauri maana huyu binti nampenda sana pia nimeshafika kwao nahitaji kumuoa , nifanyeje ili yasinikute yaliyopita? Maana rafiki yangu najua tabia zake ana madem wengi pia huwa ananunua wale dada poa

Naombeni ushauri maana kila nikikumbuka najaa na hasira...
Tongoza dada yake au ndugu yake yeyote wa kike, hakikisha unampata uone kama atatongoza na huyo.
 
Yani mtu anatumia pesa yako kumhonga dem wako ili amle mzigo halafu unamuita rafiki yako?

Pia hata wewe naona kuna mahala unabugi mzee, haiwezekani madem zako wote wanaliwa na jamaa.

Kabla ua kuanza kum-mind mwana hebu jifanyie tathmini wapi unakosea.

Usipojia unakosea wapi basi mzee madem zako wote wataendelea kuliwa tu na jamaa unaemuita rafiki ako
 
Back
Top Bottom