Swali kwa wanaume

Hisia huanzia akilini, dada ako ni kama mama ako unawezaje kumtamani, lazima utakua mwehu, kwanza hivi itasimamaje lazima utakua na mipepo ya ngono tu.
 
Wakuu naona the issue is debatable as some of us tunaona ni okay na wengine wanaona ni weird.Mimi Kama dada najua tayari kuwa siwezi kufanya lolote ikitpkea kuwa ni lazima nilale chumba kimoja na kakangu ila siwezi kujua kakangu na yeye anaweza kulala na Mimi bila kuwa na Mawazo ya kishetani au la ndio maana nataka kusikia kauli za wanaume sababu naming akili na control Yao katika ngono si Kama zetu.
Akili zina tofauti gani hapo dada? Ina maana wanawake huwa hamtamani? Kwani hujawahi kusikia mwanamke kabaka, unasemaje kuhusu hilo, sio tamaa ya ngono? Mimi kwa mtizamo wangu naweza kusema kwamba katika mazingira ya kawaida haipendezi mtu kulala na dada/kaka yake chumba kimoja, na kama hali hii itakuwa ni mazoea(kama ilivyokuwa kwa rafiliyako) wala sitasita kuhisi kwamba watu hao wanatingana kwa sababu nimewahi kushuhudia mahusiano ya namna hii ambapo mtu na dada/kaka yake wanakuwa marafiki wa kimapenzi.
 
Mchumba wa rafiki yangu ana nyumba amejenga dar ambapo ameweka wapangaji lakini chumba kimoja Amempa dadake akae bure.Cha Ajabu ni kwamba Huyu kaka ambae Ni Mchumba wa rafiki yangu kila akija dar anashukia katika nyumba yake na kulala chumba kimoja na dada.Eti anatandika godoro chini na dada analalq kitandani.Swali langu kwa wanaume ni Je hivi unaweza kulala na dada wa tumbo Moja kwa baba na mama bila kupata hisia za ajabu?

Kama we ni mzinzi ndo yatakuwa mawazo yako.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom