Mambo matatu yanayo nichanganya Kwa wanaume wezangu!

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
479
665
Jf wasalaam

Sio Kwa ubaya tupeane Elimu tu. Mihemko na mjibu yasiyo Faa tujaribu kuyaepuka.
Kila mtu atoe mtazamo wake.


*MWANAUME MTU MZIMA:-
Kusherehekea happy birthday party bila hofu yoyote.
Binafisi Huwa nashangaa nadhani mnaweza kuniona mshamba lkn Wacha nikubali mimi ni mshamba.

Huwa Sioni matinki na faida yoyote ya party hii maana imekaa ki kike kike sana na ukitazama Kwa mbalii zaidi unahisi harufu ya inakuja Kwa Kasi sana.

Na hili sikatai vijana wengi sana wamepoteza tigo zao Kwa sababu ya siku yake ya kuzaliwa.unakuta uwezo Hana wa kuandaa party lkn Kwa sababu ya kuiga inabidi apitie mlango wa nyuma kupata hiyo Hela.

Vijana wengi limewakuta hili sambamba na kufata mkumbo wa kutaka kupata Kila aina ya toleo jipya la simu mfano iphone 15 wengi alama zao za vidole zimeenda sana Kwa toleo hili la simu.


**MWANAUME KUPIGA GOTI WAKATI AKIMVISHA PETE MCHUMBA WAKE.

Najua na humu mpo Kwa wingi sana na mmefanya nakuwa wazoefu sana.

Pengine Mimi binafisi nikawa sijawahi ishi na wazungu maana Kwa kabila langu anaepaswa kupiga GOTI katika jambo lolote ni mwanamke ni pale tu mwanaume ataenda kuchumbia for the first time basi hapo atasalimia akiwa amechuchumaa wasukuma watanisaidia Kwa hili.


Sasa wanaume wenzango ninyi ujasiri mnatoa wapi wakupigia magoti mwanamke?
Pete umenunua wewe
Hiyo party umegharimia wewe
Nguo za mchumba wako ni wewe
Inshort Kila kitu umetoboka wewe

Halafu Cha ajabu mbele ya kandamunasi ya watu unapiga goti na unapost mtandaon.!!!! Wakuu je huu ni ungwana kweli kama sio wanaume tunazalilishwa hivihivi?

Naamini kabisa tangia siku hiyo uliyompigia magoti mchumba wako atakushusha thamani Yako Kwa Hali ya juu sana

Guys huo sio upendo asee ni urofa na ufala
Acha ubaki kuwa mwanaume. Hivi vitu mnaviona vidogo vidogo ndo vinawashishia heshima sana Kwa wake Zenu halafu mnaona ndoa hazifai kumbe ulijishusha mwenyew.


*Tatu na mwisho *

MWANAUME KUSUBIRI KUONYESHA MAHABA NA UPENDO SIKU YA VALENTINE DAY.

Kwanza Mimi mke wangu haijui mama yangu haijui Wala bibi yangu haijui kuwa Kuna siku ya wapendanao.

Hii ipo sana daslam huku mikoani kwakweli sio sana kama daslam asee

Unakuta mwanaume kabisa kashona sare ya kitenge na mke wake Tena sare ya kitenge chekundu.

Unajiuliza ni kwamba siku pekee ya kuonyesha mahaba mke wako au rafiki Yako ni siku hii pekee? Mbona mikoani hizi pigo hatuna au ndo ushamba wenyewe?


Screenshot_20240228-114800_1.jpg

View attachment 2919005
View attachment 2919010
 
Tutafute hela wakuu.
kuna mambo maskini huwa wanaogopa kuyafanya kwa kuogopa wanawake watawadharau, anaogopa kudharaulika zaidi maana pesa hana basi asiongeze dhihaka nyingine zinazozuilika, walau ajifanye kijeba kwa mambo hata yasiyo ya msingi.

Bday party ni kawaida mkuu, wote tulizaliwa sio ke wala me, wengi hatufanyi kwasababu ya majukumu na kipato duni, wengine hata kumpa zawadi pisi yako siku yake ya bday huwezi unasema ni utoto lakini deepdown ni kwamba mwamba ni apeche alolo.
 
Aikooooooooo nitasubiri nione akili za yule mtu bila kumpa msimamo wangu , akijifanya kuanza kupiga goti nitalia sana, nitalia tena yeye atahisi niko astonished na engagement wakati mwenzie nasikitika moyoni kwa uchungu nimepata bomu/zwazwa 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Tutafute hela wakuu.
kuna mambo maskini huwa wanaogopa kuyafanya kwa kuogopa wanawake watawadharau, anaogopa kudharaulika zaidi maana pesa hana basi asiongeze dhihaka nyingine zinazozuilika, walau ajifanye kijeba kwa mambo hata yasiyo ya msingi.

Bday party ni kawaida mkuu, wote tulizaliwa sio ke wala me, wengi hatufanyi kwasababu ya majukumu na kipato duni, wengine hata kumpa zawadi pisi yako siku yake ya bday huwezi unasema ni utoto lakini deepdown ni kwamba mwamba ni apeche alolo.
Nimetoa mfano keki unaweza tengenezwa Hadi ya 30k ukasherehekea Sasa mwaka mzima ukoswe hiyo Hela na soda au Champaign? Sio kweli binafsi Huwa nashituka tu naambiwa happy birthday fln ndo nakumbka Hivi Leo ndo siku yangu ya kuzaliwa!

Sasa Kuna wanaume anaweka status kabisa kama demu my Happy birthday is loading Alaahhh Hadi unasituka Hivi huyu kweli anajipanga kwa ajiri ya party hii.

Mi sipingani nao ila Huwa na shangaa Wala Hela sio Kila kitu mkuu Nina kaka yangu ni kiongozi mkubwa tu serkarin na Hela ipo ndefu mtoto wake wakiume alijichanganya kumwambia swala hili eti afanyiwe party aloow alichoambiwa hatakuja ajaribu au afanye na sijawahi ona hata status kaweka akijipongeza nk.

Huu ni kuiga uzungu Wala si kingine tuma picha ya Babu yako akisherehekea hiyo siku nikuonyeshe sufuria ya mbao mkuu
 
Hapo kwny mwanaume kupiga goti halooo...labda nyie mnaovalishana pete vyumbani ila sisi wenye wajomba watata utacharazwa ww mwanamke mbele ya umati na mwanaume atanyanyuliwa na kutupwa nje anaaibisha ukoo...
Ulivyo sema mi nilishuhudia mchungaji akimnyanyua mwanamme aliyekuwa amepiga magoti Tyr Kwa kumvisha Pete mchumba wake akaamulu mwanamke ndo apige magoti avalishwe na akawaambia isijirudie mwanaume kupiga magoti tena
 
Back
Top Bottom