Sasa dadangu ,Ndio maana mlichapisha fomu moja ya kugombea urais ndani ya chama. Kuna mambo unaeza kuyasemea hasa yako na mke wako lkn ww cyo chadema si lolote si chochote.ila dadangu wewe ni mbea san.jukwaa la udaku linakufaa.
Kwa akili zako za mbege mbege ni lazima uwaze umbea wakati wote!
 
Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
 
Huu ni umati wa wananchi waliojitokeza leo kumlaki Mgombea Uraisi wa Jamuhuru ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mhe.Tundu Lissu.

View attachment 1553315
Hivi uanjua ata Hashim Rungwe mikutano yake anafanyia maeneo Kama ya kariakoo, sokoni au stendi kwanini? Cos anajua atapata watu wengi ata wapita njia fresh tu atapata picha kuwa kajaza nyomi!

Picha ya chini kwenye mkutano wake leo hi huko Segerea
Screenshot_20200830-165752.jpeg
 
Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Umenena mkuu, mi mwenyewe Niko kariakoo mpaka mda huu na ndiko nafanyia shughuli zangu, huku yanga wamepita juzi wote tulikusanyika barabarani Happ Msimbazi road kuona mbwembwe zao
 
Bwashee sera na uongozi huanzia ndani ya familia!

Ukifeli kwenye chama huwezi kufaulu ukipewa serikali!

Bwashee nimeshakutahadharisha mbele, huko kwenye chama, ongelea ikiwa hivi vitu vilivyoainishwa kwenye katiba ya chama wanavipata au hawavipati?

Kauli mbiu uliyoiweka hapa haihusu wanachama Bwashee, inagusa wananchi.
 
Hapo kariakoo huwa wanamlaki yeyote yue, hata wewe ukipita ba balo la mitumba watakushangilia, akienda mtu kula takataka watamshangilia, wakienda askari kupiga watu watashangiliwa mwizi akiiwapua anashangiliwa hata aliyekwapuliwa naye hushangiliwa.
Huyu jamaa anatafuta Shari na FFU, kilichompeleka sokoni na matarumbeta Nini?
 
Katika uchaguzi mkuu huu Chadema wanajinadi kwa kaulimbiu ya Uhuru wa watu, Haki za watu na Maendeleo ya watu.

Nauliza tu, hivi vitu vimo ndani ya Chadema?

Kwa mfano wanachadema wako huru ndani ya chama chao?....Je wana haki sawa mfano uteuzi mgombea ubunge jimbo la Segerea haki ilitendeka? Nk...nk

Maendeleo hayana vyama!

..kwa cdm imetokea segerea tu.

..sasa jiulize ccm imepindua maamuzi ya wajumbe ktk majimbo mangapi?
 
Mimi sigombanii uhuru wa wanasiasa ndani ya chama, ninachokitaka ni uhuru wa kila mwananchi mtaani, kusikiliza kile anachokitaka, uhuru wa vyombo vya habari...

Kupinga na kutokukubaliana na yanayotokea bila kuitwa rafiki wa beberu au msaliti, vyombo vya habari kutokupigwa stop au hata kufungiwa kwa mgongo wa kukiuka sheria lukuki zinazovibana hivi vyombo..., watu kupata kesi hizi za kuhujumu uchumi hususan wakiwa wajuaji...

Now huenda hata hawa wakafanya kama hayo yanayofanyika sasa ila kukiwa na upinzani wa kweli wenye nguvu huenda mtawala mmoja akaogopa potential mtawala mwingine ambaye hajazibwa mdomo kuonyesha madudu yake, pia huenda hawa wakarudishia Bunge meno ili liweze kuingata serikali pali inapobidi na sio kuwa washangiliaji wa kila kinachotendeka...., (heri hata enzi za chama kimoja kulikuwa hakuna wajumbe kuwachagulia mtu watu ambae kwa maajabu anapita bila kupingwa)
 
Hahahahahahaha hv ni lini Kkoo kukawa hakuna watu hv Dsm hii kuna sehemu yenye msongamano wa watu kama Kkoo? Tunataka apite Nyerere road tuone hao watu si kupita kkoo siku anakuja watu walikwenda airport kuangalia anaekuja ni Lissu au anakuja LISU kwa maana alishasema zaidi ya mara 2 anakuja lakini hakuja so walikwenda kuona kama anakuja kweli au lah
 
Back
Top Bottom