Nilifikiri unatuletea picha za Segerea kumbe Kariakoo!! Segerea vipi au mnaendelea kutengeneza picha baadae mtuletee kwamba kulikuwa na nyomii ya kufa mtu?
kujaza nyomi sio ishu sana siku hizi kila mgombea anaweza kujaza nyomi kwa njia yake wagombea wengine wataleta wasanii kujaza nyomi Ila chadema inajazwa nyomi watu wanafuata sera pia hotuba mgombea zinaangaliwa zaidi mitandaoni
 
Mwanahabari Huru please take note of this. Tengeneza documentary ya video ya haya yaliyotajwa humu, iweke kwenye screens wakati wa kampeni watu wajikumbshe maumivu waliyoyapata. This will make a lot of sense! Mabango, etc etc kama yalivyotajwa humu.
Kwa majukwaa yale ya vigodoro wataweza wapi kulipia matangazo kwenye TV, Lissu alikuwa anaropoka tu huko kwa mabeberu ila maandalizi zero.
 
Tundu Lissu kabla hajapigwa risasa alikuwa Mbunge wa kuchaguliwa kwa vipindi viwili. Alikuwa akipata fedha za mfuko wa jimbo zaidi ya milioni 40 kila mwezi.

Atueleze alifanya maendeleo gani jimboni kwake kwa kutumia fedha hizo ili tupime uwezo na uaminifu wake katika kutumikia Watanzania. Atueleze pia ametumiaje taaluma yake ya Sheria kusaidia uboreshaji wa haki kwa Watanzania.
 
Aliwaterekezaaa wanainchi wake akajiendea kuinanga inchi ugaibuni balamoja hadi lingineee huku akitafuta huruma ya wagaibuni wamsaidie kupata uraisiii.
 
Akusanyi Kodi pili mlipompiga risasi hakuwezafanya chochote alikuwa kwenye matibabu
 
Aliwaterekezaaa wanainchi wake akajiendea kuinanga inchi ugaibuni balamoja hadi lingineee huku akitafuta huruma ya wagaibuni wamsaidie kupata uraisiii.

Hata sijaona waliobaki na kuendelea na ubunge (wawe CCM ua upinzani) walifanya nini kwa wananchi. Waitara alifanya nini?? Nkamia alifanya nini.

Watu wengine sijui mkoje?! Sasa kama wewe hapo kijijini unaonekana umetoa point eh??

Jua kuwa mbunge hawezi kuhudumia wananchi maelfu na mahitaji yao - hilo ni jukumu la serikali kwa sababu ndio inakusanya mapato!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Magufuli ameua, ameteka watu, anabagua watu kwa misingi ya kisiasa, anawatumia akina Musiba kutukana wastaafu, n.k. Tulimpa urais ayafanye haya,? Ndiyo unataka achaguliwe tena?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Hata sijaona waliobaki na kuendelea na ubunge (wawe CCM ua upinzani) walifanya nini kwa wananchi. Waitara alifanya nini?? Nkamia alifanya nini.

Watu wengine sijui mkoje?! Sasa kama wewe hapo kijijini unaonekana umetoa point eh??

Jua kuwa mbunge hawezi kuhudumia wananchi maelfu na mahitaji yao - hilo ni jukumu la serikali kwa sababu ndio inakusanya mapato!!!
Kwahiyo kwa akili yako kiduchuuu umeona kumbe wabunge hawana kazi ya kufanya juuu ya maendeleo ya watu?
Kwahiyo tuwafute?
Kama wabunge hawana kazii mbona mnataka kutushinikiza tuandamaneee iliwagombea ubungewenu waliokatwa warudishweee??
Hujui maaana ya mbunge wewee
 
Porojo, matusi na jaziba unazielezaje kweli kwa wananchi? Sana sana akienda kwa wananchi akaambie kuwa akichaguliwa atawaletea ushoga.
 
hacha hizo mkuu kwani ndo alikua anakusanya kodi za nchi nzima , kazi ya mbunge ni kuwasilisha kero za wananchi wake na serikari iliyo madarakani nikutekeleza basi , na mfuko wa jimbo hupo kwa sababu mahalum so kama wafikili mfuko wa jimbo ndo ulete maendeleo katika jimbo husika mkuu hapo hujatenda aki kiongozi
 
Back
Top Bottom