Money can buy happiness
images%20(4).jpg
images%20(5).jpg
 
Na pia katika maisha yako hautakiwi kuruhusu kila mtu akukosoe ni mwanzo wakudharauliwa na kuchukuliwa poa hata na mfanyakazi wako wa ndani, weka limit ya watu ambao wanatakiwa wakukosoe na si kila mmoja akukosoe na kukubaliana na kila anachokitaka
WRONG. kadiri unavyokosolowa ndio unazidi kuboreka. To the extent that critics lack cha kukosoa.
 
Wasalaam,
Hakika madaraka ni matamu na ccm kamwe haiwezi kukubali uchaguzi huru na wa haki maana wako tayari hata kumwaga damu za watanzania ili kuingia ikulu.
Dalili mbaya zinaonekana Zanzibar inawezekana yakatokea yaliyotokea 2001 ambapo damu za watu zilimwagika kisa uroho wa madaraka wa ccm, hapa bara yalishamkuta Tundu Lissu kwani alishaonekana ni kikwazo kwa rais magufuli, wapo kina Ben saa8, Alphonce mawazo, Azohory na wengine wengi waliokua na mawazo tofauti na malaika Mkuu.
Ova.
Maendeleo yana vyama.
Subira pitia tena huu mtaa.
 
"Wanaume bora sio vigumu kuwapata bali ni vigumu kuwavutia. Hivyo basi kama unataka mwanaume bora jiandae kumvutia, Sio kumvutia kimapenzi La hasha!! binti yangu namaanisha kuwa na tabia na siha njema anayokufunza Mama yako"

"Matokeo ya kuwadharau wanaume bora na kujichanganya na wanaume matapeli ni kwamba utakuja kuchanganyikiwa, hasira, visasi na ghadhabu pale utakapoona wale Wanaume bora uliowadharau wanaoa wanawake ambao anao uliwaona sio wazuri kama wewe"

Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom