Others akimaanisha kuku samaki ng'ombe mchicha mahindi mchele nk,?

Au watu wenzetu kama hivi wanasiasa wanakula vilivyo vya wanyonge, mafukara wanakosa dawa hosp. wanakufa.

Au vile wachawi wanakula watu?
Kuna wengine wanawatoa kafara ndugu na jamaa zao wao waneemeke??

Au vile Kristo Yesu alitufia msalabani sisi tupone?

Ni vipi?
 
Nafkiri anamaanisha ili wengine tuweze kuishi ama wengine waishi ni lazima wengine tufe ama wafe ili ipatikane nafasi ya kizazi kipya kuweza kuishi.

Sababu kama hakutakuwapo na vifo na huku dunia ikiwa na nafasi ile ile ni wazi kabisa hatutatosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana! "Maisha yasingekuwa na mwisho endapo watu wasingelifanya upuuzi." Ndio maana yake.

1. Hii dunia ni kubwa na bado inacheza (Bense) kwa kujiongeza, huwezi kuijaza.

2. Inazo layer's zaidi, mpaka uijaze layer uliyopo utahitaji X 2790 ya watu mliopo. Bado layer's nyingine.

Angalizo: Wahusika wazae kwa maana na mpangilio, sio kuzaa hovyo.
 
Our life is made by death of others-

Wakuu karibuni kwa tafsiri zaidi na dondoo
Mtazamo wangu nahisi alimaanisha kujitoa kwa ajili ya wengine/sacrifice. Mfano Tz now ni nchi huru kutokana na jitihada za watu wengine kabisa ambao waliipigania nchi kipindi hicho.

Wanajeshi wengi wamekufa ili mataifa yao yaweze kuwa ktk hali yaliyonayo leo hii n.k
 
Our life is made by death of others-

<<LEORNARDO DAVINCI>>

Naona Kuna tafsiri nyingi hapo!
Unaweza ukatafsiri sio kwa maana ya kifo chenyewe! I mean kifo Kama changamoto au kushindwa!.. ili ufikie mafanikio fulani ni lazima uwe umeanguka au umepitia changamoto fulani..

Tafsiri nyengine ni kupitia vizazi hii inamatter zaidi mfano ukiangalia gunduzi mbalimbali zilizofanywa zamani sahivi ndo tunanufaika nazo Kama umeme n.k lkn wao washakwenda na maji huko ila sahivi vinatusaidia sana!.

Tafsiri nyengine tuje kwenye ecosystem viumbe vinaishi kwa kutegemeana namaanisha ili Simba aweze kusurvive ni lazima ateketeze uhai wa kiumbe mwengine ili yeye aishi!.. vyakula tunavyokula vingi vinategemea mimea au nyama n.k nafikiri imeeleweka.. "our life is made by the death of others" ikanijia picha ya kitimoto..🤣🤣

Yangu ni hayo.
 
Others akimaanisha kuku samaki ng'ombe mchicha mahindi mchele nk,?

Au watu wenzetu kama hivi wanasiasa wanakula vilivyo vya wanyonge, mafukara wanakosa dawa hosp. wanakufa.

Au vile wachawi wanakula watu?
Kuna wengine wanawayoa kafara ndugu na jamaa zao wao waneemeke??

Au vile Kristo Yesu alitufia msalabani sisi tupone?

Ni vipi?
Ndio maana nakupenda
 
sawa mkuu nmekupata kwa mantiki yako
 
Hapana! "Maisha yasingekuwa na mwisho endapo watu wasingelifanya upuuzi." Ndio maana yake.

1. Hii dunia ni kubwa na bado inacheza (Bense) kwa kujiongeza, huwezi kuijaza.

2. Inazo layer's zaidi, mpaka uijaze layer uliyopo utahitaji X 2790 ya watu mliopo. Bado layer's nyingine.

Angalizo: Wahusika wazae kwa maana na mpangilio, sio kuzaa hovyo.
🤔🤔🤔
 
Mtazamo wangu nahisi alimaanisha kujitoa kwa ajili ya wengine/sacrifice. Mfano Tz now ni nchi huru kutokana na jitihada za watu wengine kabisa ambao waliipigania nchi kipindi hicho.

Wanajeshi wengi wamekufa ili mataifa yao yaweze kuwa ktk hali yaliyonayo leo hii n.k
shukraani hapo nimekupata kwa mantiki yako
 
Naona Kuna tafsiri nyingi hapo!
Unaweza ukatafsiri sio kwa maana ya kifo chenyewe! I mean kifo Kama changamoto au kushindwa!.. ili ufikie mafanikio fulani ni lazima uwe umeanguka au umepitia changamoto fulani..

Tafsiri nyengine ni kupitia vizazi hii inamatter zaidi mfano ukiangalia gunduzi mbalimbali zilizofanywa zamani sahivi ndo tunanufaika nazo Kama umeme n.k lkn wao washakwenda na maji huko ila sahivi vinatusaidia sana!.

Tafsiri nyengine tuje kwenye ecosystem viumbe vinaishi kwa kutegemeana namaanisha ili Simba aweze kusurvive ni lazima ateketeze uhai wa kiumbe mwengine ili yeye aishi!.. vyakula tunavyokula vingi vinategemea mimea au nyama n.k nafikiri imeeleweka.. "our life is made by the death of others" ikanijia picha ya kitimoto..🤣🤣

Yangu ni hayo.
sawa mkuu nmekupata kwa mantiki yako

Ila mkuu inaoneka upo makini sana kwenye chairfire😂😂😂😂
 
Our life is made by death of others-

<<LEORNARDO DAVINCI>>

Wakuu karibuni kwa tafsiri zaidi na dondoo
Alimaanisha kuwa ili mambo yote yaende ni lazima condition iwe either Win or Loose, hakuna sare(survival for the fittest).
 
Back
Top Bottom