nukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    Nukuu: Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
  2. JamiiCheck

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanya kupitia kutengeneza nukuu potoshi za watu maarufu

    Mitandao ya kijamii imejaa nukuu za Wataalamu na watu maarufu mbalimbali kutoka katika nyanja mbalimbali. Watu wanaweza kupotosha taarifa kwa kutengeneza nukuu zisizo za kweli au kuzibadilisha nukuu za watu fulani ili zifanane na mtazamo wao au kusudi lao. Wapotoshaji huzitengeneza na kudai...
  3. Sildenafil Citrate

    Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  4. Master Oogway

    Nukuu ya Hayati Magufuli Kuhusu TRA

    Raisi wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa John Pombe Magufuli mtetezi wa wanyonge aliyasema haya kuhusiana na ulipaji kodi pamoja na vitimbwi vya TRA Maisha yako ni Baraka, Historia yako ni hadhina Kwa Nchi🙏
  5. Roving Journalist

    Ridhiwani Kikwete: Serikali haina bajeti ya kuendeleza taasisi za wenza wa viongozi

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023. RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga ameuliza kama Serikali ina mpango wa kuendeleza Taasisi za wenza wa viongozi wakuu Nchini...
  6. Hamduni

    Nukuu za Viongozi wa Sekretarieti ya CCM mkoani Tanga

    NUKUU ZA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA CCM HANDENI MKOANI TANGA. Baadhi ya #NUKUU Hotuba ya Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia E. Mjema na Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndg. Issa Haji Ussi (GAVU) wakati wakizungumza kwenye ukaguzi wa Jengo la huduma za Mama na Mtoto...
  7. M

    Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

    NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
  8. lwambof07

    Motivational quotes

    Hellow JF Sometimes your lonely,so disappointed,so embarrassed [emoji15],somebody hurt your feeling so badly , somebody let you down , somebody make you angry[emoji35] , somebody don't give you a chance to prove yourself on what your capable of ,somebody don't trust you ,somebody annoy you...
  9. Edwardo Ommy

    Nukuu fikirishi kutoka kwenye kitabu cha ”The Monk who sold his ferrari”

    Nimepata bahati ya kusoma vitabu mbalimbali mutoka ndani pamoja na nje ya nchi ila kwa leo ningependa nikukaribishe kuelewa nukuu muhimu alizotumia mwandishi Robin S. Sharma Hapa zipo nukuu alizotumia kushawishi wasomaji wake kuzidi kuvutiwa na utunzi wake..nami nitazileta jukwaani baadhi ya...
  10. DMmasi

    Nukuu za hapa na pale

    Hellow!! mwana Jamii Unaambiwa hivi Ukiwa ni mkamilifu mkumbushe yule aliyepotea njia naye awe mkamilifu. Tuhimizane kuyaishi mema na kuyakemea mabaya. Kama mvua na jua vinawapata wote walio wema na wabaya. Basi usimwache mkosefu apotee ikishuka adhabu niyetu sote. Jitahidi kuepukana na...
  11. KAKADO

    Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

    Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli...
  12. adriz

    Uzi maalumu wa picha za nukuu na misemo mbalimbali ya kiislamu

    Assalam'aleikum... Karibuni wote katika sehemu rasmi hapa Jf ya kuelimishana na kuzinduana na kupata maarifa kupitia picha za nukuu na picha zinazohusisha dini ya kiislamu . Baada ya pilipilika mabalimbali ni vyema kupata kitu hata kidogo kitachoongeza kitu katika siku yako na pengine jambo...
  13. GENTAMYCINE

    Baada tu ya Kuisikia hii Nukuu ya Rais ya Radio One Leo, kuanzia sasa sina Lawama na Mtu nitamsubiria huyo wa Kumrithi 2030

    "Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
  14. Mwandwanga

    Nukuu muhimu toka kwa Baba wa Taifa Hayati Mwl. J. K. Nyerere

    WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi Waswahili wachache mnaotawala; mnategemea kweli kuwa mtawaongoza Watanzania kwa lazima wakati...
  15. Baraka Mina

    Mubashara: Maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa CCM

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka uwanja wa Karume - Musoma mkoani Mara katika maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi. Kaulimbiu ya maadhimisho haya ni "CCM Imara, Shiriki Uchaguzi Kwa Uadilifu." Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mwenyekiti wa Chama Cha...
  16. Ferruccio Lamborghini

    Hii nukuu imebeba ujumbe gani?

    Hii nukuu ilipatwa kusemwa na mmoja wapo aliyepata kuwa rais was USA miaka ya 1947. Je alikuwa anamanisha Nini? If you can't convince them, confuse them. _ Harry S Truman
  17. Ferruccio Lamborghini

    Hizi nukuu za Steve Jobs zimebeba ujumbe gani?

    Huyu jamaa alikuwa na maana gani kwenye nukui zake hizi? "Stay hungry, stay foolish" "If today were the last day of my life, would I want to do what I'm about to do today?
  18. Political Jurist

    Nukuu za Rais Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Raddy Fiber (fiber optic cable) Mkuranga Pwani

    NUKUU ZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA KIWANDA CHA RADDY FIBER (FIBER OPTIC CABLE) MKURANGA PWANI. "Urasimu katika uwekezaji ni suala ambalo halina nafasi kwenye serikali hii, nilishaweka wazi kuwa nchi yetu inahitaji wawekezaji kuliko sisi tunavyowahitaji, sisi tunawahitaji zaidi...
  19. Ferruccio Lamborghini

    Hii nukuu ya Dalai Lama ina maana gani?

    “The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.” — Dalai Lama XIV
  20. Replica

    Yaliyojiri kesi ya Mbowe leo Novemba 05, 2021: Inspector Mahita Mohamed atoa ushahidi

    Baada ya jana kuahirishwa, Kesi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe inaendelea kuunguruma leo mahakamani. Jana Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi, Sebastian Madembwe alitoa ushahidi wake. Jaji aliahirisha mpaka leo. Kuwa nami. ======= Jaji ameingia Mahakamani Kesi namba 16 ya Mwaka 2021...
Back
Top Bottom