misemo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Misemo iliyobamba na kuacha gumzo, tupia unaokumbuka

    Wakuu, Kuna vimesemo na vijimaneno huwa vinazuka na kubamba na kisha kupotea baada ya muda. Unakumbuka msemo gani uliobamba sana na kusepa na kijiji? Tupia hapa na watoto 2000 wapate vya kusimulia. Si mbaya ukaeelezea kwa kifupi msemo ambao unaona sio maarufu kwa wengi, utuambie ulitokea hapi...
  2. raiswenu

    Misemo ya kikwetu yenye Hekima ndani yake

    Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake 1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa. 2. Kushema Chonja kubundala Huu ni sawa ule msemo mtaka cha uvunguni sharti uiname. 3. Gw'ana nongu akalyaga na kabisile Mtoto mwema huweza kupewa ale...
  3. D

    Kesi ya mke wa bilionea Msuya imenifanya nikumbuke misemo na nahau zifuatazo

    Hii ndiyo misemo unayoweza kuikumbuka dhidi ya ushindi wa mke wa bilionea! 1. Anaye cheka mwishoni hucheka sana 2. Tamaa mbele mauti nyuma 3. Mchuma janga hula na nduguze 4. Heri kumwagwa kuliko kumiminwa 5. Haiwi imekwisha hadi iishe 6. Ghafula bin vuu 7. Ukitaka kuruka agana na nyonga 8. Leo...
  4. I am Groot

    Misemo iliyotrendi 2023: Ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakufurahisha au kukukasirisha?

    Muda umeenda, mwaka unaenda kuisha; ni asilimia 95% mpaka sasa ya mwaka tumeikata tayari. Misemo ni vimbwanga mbalimbali vimeibuka. Je, ni msemo gani uliibuka mwaka huu ukakugusa kwa namna yoyote? ~ "Mama anaupiga mwingi"🥲
  5. BRN

    Uzi maalumu wa Misemo ya Yanga baada ya kufungwa na Simba na kupoteza Ngao ya Hisani

    Tarehe 13/08/2023 timu za mpira wa miguu za Tanzania Bara za Simba na Yanga zilipambana kwenye fainali ya kugombea Ngao ya Hisani. Mechi hiyo ambayo timu ya Yanga ilifungwa goli tatu na kujifanya Simba kutawazwa kuwa Mabingwa wa Ngao hiyo ambayo hufungua msimu wa Ligi Kuu ya msimu 2023/2024...
  6. Deadbody

    Misemo maarufu zaidi ya Yesu

    Yohana 3:16 [16]Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele. Yohana 3:5 [5]Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Luka 6:31 [31]Na...
  7. Last Seen

    Misemo na maneno yaliyobamba zaidi Bongoland 2022

    1. Mlete mzungu 2. Trab na trat 3. No mara waaa 4. Mwamba huyu hapa 5. Wanathiiimba 6. Ndoige 7. Niite mbwa nmekaa pale 8. Kumwagilia moyo 9. Kupaka maini rangi 10. Unaupiga mwingi 11. Afutatu Tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka 2022, hii ni baadhi ya misemo na .aneno yaliobamba zaidi...
  8. Nyuki Mdogo

    Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

    Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela. Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂 Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
  9. Google Diggers

    Tukumbushane maneno, misemo ya mtaalamu "Julio" picha yake IPO kama humjui

    'Ukiongea na Mimi hakikisha akili yako imekaa vizuri.' sio maneno yangu Julio Kwa wanaomfahamu ni mtaalamu wa soka na maneno yake makali
  10. N

    Siyo kila misemo ya kurukia,hakuna mbwa albino

    Haijawahi kuthibitishwa kuwepo na mbwa albino So unapokuwepo kwenye papatupapatu zako za kutukana na kudhalilisha watu ambazo ndizo zinakuweka mjini elewa hilo Siyo kila mtu wa kusema niite mbwa nimekaaa pale,wako mbwa wanene wenye kilo 800 ila hamna albino na mbwa wote wana uwezo wa kukaa...
  11. Crocodiletooth

    Tuweke methali au misemo mipya hapa...

    Naona na hii, "Kichwa kikubwa bila Akili ni Adhabu kwa miguu."
  12. Uzalendo wa Kitanzania

    Misemo maarufu kutokea kwa wadau wa mchezo wa soka nchini Tanzania

    Wadau wa michezo hamjamboni nyote? Tufurahi Kidogo kwa kukumbushana misemo/ maneno maarufu yatumiwayo na wadau wa michezo hususani Soka Mimi nianze kama ifuatavyo Hamna Mchezaji hapo! Hapo tumepigwa! Unamuwekaje Kapombe Sub! Huyo kocha hamalizi msimu! Sasa endelea Tukuumbuke kushirikiana...
  13. MAKA Jr

    Misingi mihemuko

    "Misingi iliyojengwa kwa mihemuko hupotea kama moshi angani. Watanzania tuanze kuwekeza kwenye misingi imara ambayo haitapotelea angani kama moshi."
  14. M

    20 Wisdom Quotes You Should Know

    1. "A fool will learn nothing from a wise man, but a wise man will learn much from a fool." 2. "Anger slowly. Forgive quickly. Trust cautiously. Love easily." 3. "Wisdom comes to us when it can no longer do any good." 4. "There is no bigger weapon than the brain, yet the time powerful in the...
  15. D

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga! Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia! Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
  16. Kasomi

    Misemo ya Hekima

  17. Ngareroo

    Hii misemo ya Kimarekani ina maana gani?

    Habarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley Snipes,Mike Epps,Tiffany Had dish,Queen Latifah,Octavia Spencer,Will Smith nk. Kuna baadhi ya misemo...
  18. M

    Wahenga walipokuja hasa na hii Misemo nitakayoitaja hapa walikuwa na maana gani Kwetu Waswahili?

    1. Mwosha Huoshwa 2. Mficha Maradhi Kifo humuumbua 3. Malipo ni hapa hapa duniani 4. Mficha Uchi hazai ng'o 5. Siri ni ya Mmoja na si ya Wawili 6. Njia ya Muongo ni fupi sana 7. Lisemwalo lipo kama halipo basi laja Naweza Kuamini kuwa Wahenga si tu walikuwa ni Manabii, lakini pia walikuwa ni...
  19. TANMO

    Misemo na Maneno ya zamani

    Wanajamii tujikumbushe baadhi ya misemo ambayo zamani ilikuwa kwenye chati na sasa haitumiki tena.. Kwa mfano nakumbuka misemo kama kuachwa kwenye mataa, Viatu vya Ndula, lakuchumpa n.k, Pia nakumbuka majina kama Chekibobu. Karibuni.
  20. bahati93

    Lords eyes kama jigga kwa michano

    Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu) Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea...
Back
Top Bottom