Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
Wewe kumbe humwelewi MMMJ......a very philosophical man.......kama umesoma vizuri uzi huu basi utaona hajamtaja JK popote pale na ni renditions zetu tu ndio zinasema hivyo.......wapo ambao wanadhani inamhusu Mkapa!!....na bado watakuja wanaodhania ni Lowassa
Eti philosophical wabongo bana!
Hata mtoto akisoma anajua lengo lake ilikuwa ni nini.
Hasira za mwanakijiji zinakuja kwakuwa mgomo umeisha yeye alipenda uendelee forever kwakuwa yeye haishi Tanzania na familia yake. Kweli wajinga ndio wali wao.
Kubalini ukweli tu mgomo umeisha tafuteni mengine...