Shujaa anapotokea mwisho wa filamu

True once again. Ni ideas gani za kisiasa ambazo zimekuvutia sana wewe na kwanini? Au labda idea za watu gani ambazo zimejenga sana mwelekeo wako wa kifikra?

Mwanakijiji nafikiri thread yako imekuwa captured na Kiranga, umemkubalia hoja yake bila ubishi. Je huoni kwamba ukisoma contribution yake na ya kwako zinakinzana, ulipokuwa unasema shujaa huanza na filamu na kulaumu anapotokea mwishoni ulikuwa unamaanisha nini? Hujajibu ila naona kama umekubali thread yako kuwa very low kama ilivyokwishasemwa na mchangiaji mmojawapo humu!
 
You are missing the point kwa nini nimemkubalia Kiranga.
 
Ushujaa Jk hauwezi, hata kwenye ngoma yeye anacheza nje ya uwanja kila siku. Tumeshuhudia issue ya Richmond, Dowans, Umeme, Posho za Wabunge, na mengine mengi, yeye anacheza nje ya uwanja.
 
Back
Top Bottom