Shujaa anapotokea mwisho wa filamu

Wewe kumbe humwelewi MMMJ......a very philosophical man.......kama umesoma vizuri uzi huu basi utaona hajamtaja JK popote pale na ni renditions zetu tu ndio zinasema hivyo.......wapo ambao wanadhani inamhusu Mkapa!!....na bado watakuja wanaodhania ni Lowassa

Eti philosophical wabongo bana!

Hata mtoto akisoma anajua lengo lake ilikuwa ni nini.

Hasira za mwanakijiji zinakuja kwakuwa mgomo umeisha yeye alipenda uendelee forever kwakuwa yeye haishi Tanzania na familia yake. Kweli wajinga ndio wali wao.

Kubalini ukweli tu mgomo umeisha tafuteni mengine...
 
MMM ukiona hivyo ujue shujaa ni kilaza, next time usinunue movie zake, shujaa anasubiri watu wafe ndio anakuja na mbinu za kusuluhisha
 
Eti philosophical wabongo bana!

Hata mtoto akisoma anajua lengo lake ilikuwa ni nini.

Hasira za mwanakijiji zinakuja kwakuwa mgomo umeisha yeye alipenda uendelee forever kwakuwa yeye haishi Tanzania na familia yake. Kweli wajinga ndio wali wao.

Kubalini ukweli tu mgomo umeisha tafuteni mengine...

Thank you so very very much
 
Mzee Mwakijiji, ukweli huwa nafurahia sana thread zako ila kwa sasa sijui kwa nini naona kiasi unatoa mifano ambayo sio dhahiri sana. Shujaa katika thread hii najua unamaanisha ni Mkapa, yaani katokea late sana kupinga zile shutuma za mambo ya kifisadi. Mi nafikiri ungekuja na mfano mwingine, kwa sababu mfano wa film sio sahihi sana hapa. Goliathi kwa mfano, alipigwa na jiwe la kombeo tu, tena na mtoto (Daudi) ambaye watu hawakutarajia. Huyo hakuwepo katika orodha ya wanajeshi waliokuwa wakitambuliwa katika jeshi la nchi hiyo, hakuanza na na mwanzo wa picha lakini akaibuka shujaa. tumeona wachezaji wengi tu wa mpira wanatoka benchi zikiwa zimebaki dk 10 ama 15 na wanaibuka mashujaa kwa kuzifungia timu zao. Kubadilisha mtazamo wa watu hakuchukui muda mrefu, ni sekunde tu. Hata kama Mkapa ameamua kupinga leo shutuma ambazo zimekuwa zikimwandama kwa siku nyingi zilizopita, anaweza akaeleweka tu, inatokana tu na hadhira iliyopo mbele yake. Binadamu ni kiumbe wa ajabu, hayupo kama wewe unavyofikiri siku zote mkubwa wangu Mwanakijiji!

Kweli hii ni sanaa, ni fumbo kila mtu anakuja na tafsiri yake!!!!!

Tiba
 
Ha ha ha!huyu shujaa atakuwa JK na movie ya DOCTORS!!

Kama ni yeye, sinema NDIO KWANZA INAANZA! Madokta watajitokeza na kuanza kucheza scene yao, yeye ataingia, pazia kabla halijashushwa, shujaa wa sinema ataonekana. Hawezi kutokea mwisho na kushinda kirahisi. Inabidi awe kama Rambo ama Willy Gamba. Akwepe Risasi! Watu wasisimkwe kwa scenes za sinema! Movie ya madokta kamwe si kama movie za Kihindi!
 
Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa JK na dhani hii ni kutokana na wewe binafsi kujua ni aina gani ya memba waliopo JF
Unajua fika now days JF imejaa watu bogus wasio weza kufikiria kwa kujitegemea, watu wanao fuata mkumbo tu ilimradi na yeye ka post

Kwangu mimi that is too low............................
Kama kweli unajua jinsi uongozi unavyofanya kazi basi huwezi kufanya ulinganisho wako na films hapa
Naangalia comments za memba mbali mbali kwenye hii sredi.......... ni vichekesho natambua umejijengea credibility kubwa hapa JF na hii imefikia kuna watu wanaamini unachosema wewe ndio fact na sahihi na haukosei na wala hayo unayoyasema sio opinion yako bala ni Fact tupu

Ndio maana nikasema huumizi kichwa kuanzisha uzi tena maana unajua aina ya wachangiaji wako always wako nyuma yako iwe point au pumba, wachangiaji ambao hawataki kuumiza vichwa kufikiri wanachotaka wao ni kuchombeza tu basi.

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

Daaaah!!! Duuuh!!! Imebidi kwanza nishangae, maana umeandika kama vile kichwa chako na cha MMM ni kimoja kabisa, kwamba MMM alipokuwa anaandika ulikuwa naye na kabisa alimaanisha ni JK. Nadhani hayo ni makosa/matatizo yako wewe mwenyewe ya kutafsiri ulichosoma.

Mfano mimi niliposoma kwa mara ya kwanza kabisa nilihisi (maana ni hisia tu kbu sijui MMM alimaanisha nani) ni BWM na suala lake la kuwasemea kwa JK wananchi wa Arumeru ya mashariki kuhusu matatizo yao ya ardhi, kwamba anangoja filamu inaishia (imeisha) ndo anakuja kuwahadaa wana Arumeru kwenye kampeni za uchaguzi ilihali yeye alikuwa na nafasi kubwa ya kulishughurikia (kuwa shujaa wakati wa filamu inaendelea) hilo alipokuwa rais.... Lakini wana JF wengi naona wao wameona ni JK na hii ni pamoja na wewe mwenyewe ila MMM hajasema ni JK... ni tafsiri yao tu... hata JK mwenyewe kama anasoma JF au yupo humu JF atatafsiri vyake au hata BWM anaweza naye kutafsiri vyake tu...

Labda kama unajingine kuhusu MMM kwa hili umemwonea maana ktk maelezo yake yote amesema juu ya filamu na shujaa kutokea mwisho wa filamu sasa tafsiri amekuachia wewe.

Na si kweli kuwa sisi wana JF hatuna uwezo wa kujitegemea ktk kufikiri na tunamtegeme MMM hayo ni matusi kwa wan JF wengi na kujiona kuwa wewe pekee ndo mwenye uwezo wa kufikiri vyema hapo uko nje kabisa na huenda huna uwezo wa kujipambanua ulivyo. Kama unataka na wewe watu wakukubali humu JF hujakatazwa nafasi hiyo iko wazi lete threads tuone kukubalika kwako kama ni points zitabebwa na kama ni pumba ni kama kawa....msago wa nguvu....
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM

Halafu anadai hoo movie yote mliyoangalia ilikuwa ni mambo ya siasa tu,hakuna cha wanaharakati wala nini,wanaharakati gani hawazingatii haki ya msingi ya kila mwanadamu kuishi? HIVI yeye angekuwa anazingatia haki ya watanzania kuishi na ukichukulia yeye ndiyo mwenye rungu(sterling) angesubiri mpaka movie iishe ndio atie domo?si ilivyoanza movie tu angejitokeza na kucheza kama sterling kutetea haki ya wananchi wake kuishi!!
 
Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa JK na dhani hii ni kutokana na wewe binafsi kujua ni aina gani ya memba waliopo JF
Unajua fika now days
JF imejaa watu bogus wasio weza kufikiria kwa kujitegemea, watu wanao fuata mkumbo tu ilimradi na yeye ka post

Kwangu mimi that is too low............................
Kama kweli unajua jinsi uongozi unavyofanya kazi basi huwezi kufanya ulinganisho wako na films hapa
Naangalia comments za memba mbali mbali kwenye hii sredi.......... ni vichekesho natambua umejijengea credibility kubwa hapa JF na hii imefikia kuna watu wanaamini unachosema wewe ndio fact na sahihi na haukosei na wala hayo unayoyasema sio opinion yako bala ni Fact tupu

Ndio maana nikasema huumizi kichwa kuanzisha uzi tena maana unajua aina ya wachangiaji wako always wako nyuma yako iwe point au pumba, wachangiaji ambao hawataki kuumiza vichwa kufikiri wanachotaka wao ni kuchombeza tu basi.

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

Duh.. Mkuu kama wote ambao watatoa au kuandika maoni yanayokinzana na yako ni bogus.. basi inawezekana 2/3 ya watanzania ni bogus..
 
kwa Tanzania hizi movie mbona tushaanza kuzizoea,and good enough zimetoka movie mbili kwa mpigo.
Naona wengi mmeisahau hii movie iliyozinduliwa juzi tu, MOVIE IMEISHA WATU WANATOKA UKUMBINI GHAFLA STERINGI TOKA MAREKANI ANAIBUKA...................nazungumzia hii movie titled CUF
 
Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa JK na dhani hii ni kutokana na wewe binafsi kujua ni aina gani ya memba waliopo JF
Unajua fika now days JF imejaa watu bogus wasio weza kufikiria kwa kujitegemea, watu wanao fuata mkumbo tu ilimradi na yeye ka post

Kwangu mimi that is too low............................
Kama kweli unajua jinsi uongozi unavyofanya kazi basi huwezi kufanya ulinganisho wako na films hapa
Naangalia comments za memba mbali mbali kwenye hii sredi.......... ni vichekesho natambua umejijengea credibility kubwa hapa JF na hii imefikia kuna watu wanaamini unachosema wewe ndio fact na sahihi na haukosei na wala hayo unayoyasema sio opinion yako bala ni Fact tupu

Ndio maana nikasema huumizi kichwa kuanzisha uzi tena maana unajua aina ya wachangiaji wako always wako nyuma yako iwe point au pumba, wachangiaji ambao hawataki kuumiza vichwa kufikiri wanachotaka wao ni kuchombeza tu basi.

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

Paulss,
MM yuko very right by 100pc. Wewe ndiyo unataka kuleta pumba na kujaribu kutetea upuuzi! Sina hakika but Ican read between the lines kwamba wewe umejidhihirisha kwamba ni shabiki nambari wahedi wa JK!!!

Nataka nikazie pale kwenye RED. Kwamba wewe unataka kutuaminisha kuwa ushiriki wa JK kwenye sakata la mgomo wa Madaktari amepewa credit na kumwonyesha kuwa ni SHUJAA WA FILAMU KATIKA DAKIKA ZA MWISHO. This has a BIG NO NO NO NO NO and NO again. Where was he all these days? Hundreds of innocent Tanzanians have died because of him being a very lazy President who can not decide right things at a right time? Where was he/ And now you're calling him a starling President???Noooooooooo!

Yaani ameachia ndugu zetu wamekufa kwa kukosa huduma ya madaktari halafu leo anajitokeza na kuanza kulaghai watu na kuwapaka Madaktari mafuta kwa mgongo wa chupa! Hizo roho za Watanzania zilizopotea kwa uzembe wa MAWAZIRI WAKE zitarudishwa na nani?? Halafu jambo la kuudhi na kusikitisha kabisa ni pale JK ANAPOWATETEA KWA JAZBA HAO MAWAZIRI WAKE BOMU WALIOSABIBISHA VIFO KWA UZEMBE WAO!

Maana kwa kauli za JK alizotoa jana ina maana kuwa HAKUNA WAZIRI WA KUJIUZULU WALA KUWAJIBISHWA maana yeye anadai anaweza kuwabadilisha saa yoyote na wakti wowote kwa hiyo uzembe au kushindwa kuwajibika kwa Waziri siyo issue!!Hii siyo kweli hata kidogo. Nafikiri Kiwete amesahau na inabidi aende kwa Mzee Ruksa akajifunze kile alichofanya Mzee ruksa enzi za Mwalimu kwa kujiuzulu kutokana na mauaji ya Watanzania ambao hawakuwa na hatia yaliyofanywa na Jeshi la Polisi. Mzee Ruksa(Ali Hassan Mwinyi) akiwa ndio Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzulu. Waliua Polisi ambao wako chini ya Wizara yake lakini Mzee Ruksa kwa heshima na taadhima aliomba kujiuzulu na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikubali kujiuzulu kwake!!!

Hivi Nyerere na Kiwete nani mwenye hekima na busara za kuongoza kuliko mwenzie? Jibu ni Nyerere! Sasa basi kama Nyerere aliridhia kujiuzulu kwa Mwinyi, Kiwete ameshindwa nini kukubali barua ya kujiuzulu ya Dk. Haji Mponda aliyompelekea kuwa ajiuzulu????Hii inadhihirisha tu udhaifu mwingine wa Rais wako Kiwete ambaye aghalabu huwa hawezi kuchukua maamuzi magumu na kwa wakti mwafaka.

Alishasema kuwa ni mwoga wa kuchukua maamuzi magumu kwasababu ANAOGOPA HASIRA ZA WABUNGE NA MAWAZIRI WA CHAMA CHAKE. Lakini pia inatuonyesha kuwa Mawaziri wengi aliowateua Kiwete ni aidha wana uswahiba na undugu naye au kwasababu ya fadhila fulani fulani ambazo aidha wamewahi kumpa yeye au ndugu na jamaa zake.

Wapo Mawaziri kama Omari Nundu na Shukru Kawambwa inaaminika wana uhusiano wa karibu wa ushemeji na vitu kama hivo. Kwa hiyo bana JK hawezi kusifiwa kwa lolote katika sakata hili la Madaktari. Amekumbuka shuka wakti tayari kumeshakucha. Kiwete hovyoooooooooooooo!
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM

nimependa hiyo bold nyekundu
 
Avanti nadhani ushujaa wa BWM si ktk kujisafisha kwake bali mimi naona ni ktk kutaka kuwaaminisha eti yuko tayari kuwasemea wananchi wa Arumeru Mashariki kwa JK kwa shida zao za kukosa ardhi kbu zimemilikiwa na matajiri wakubwa na wanachi wakakosa ardhi na wanahangaika.... Na kbu MMM hajataka kusema huyu shujaa ni JK, au BWM au EL, au yeyote... mimi nataka kumsemea BWM.

Hivi yeye si ndo alikuwa rais wa nchi hii yetu for ten (10) years na haya yote matatizo ya ardhi yakitokea si alikuwa kiongozi hadi akamaliza wakati wake ndo ajifanye anauwezo wa kutusemea wanachi kwa JK na hasa hadi angojee kuzindua kampeni za uchaguzi!!!!!!??????? Kwani hata kabla alikuwa wapi kutusemea na akaja sasa kwenye kampeni kusema tumetatua namna hii??

Hivi bado sisi wananchi ni wa kudanganyika kiasi hicho kuwa ataenda kutusemea kwa JK kwani naye JK ina maana hayajui matatizo yetu wanachi??? Bado hajui kwanini wananchi watanzania ni masikini?? Hivi BWM ni hadi lini ajifanye ana huruma wakati tunajua kuwa ni rais aliyeleta sera za ukandamizaji za ubinafsishaji za kupora ardhi na madini yetu na kuwakabidhi wageni kwa bei za kutupwa?? Na pengine naye amejiuzia kiwira kwa bei ya kutupwa??? Leo ndo huyu awe shujaa wakati amemaliza wakati wake wa uongozi...

Wakati umefika viongozi wetu waache kutuchokoza kwanachi kwa kutueleza mambo yanayoumiza moyoni. Tuliambiwa tumwache mzee apumzike... Lakini yeye mwenyewe hataki kuachwa apumzike anafanya vitu vya uchokozi na kujifanya yeye ni wa CCM tu wakati ni mstaafu wa urais ambaye ni wa watanzania wote.

Viongozi wasutufanye sisi majuha na hatujui nini kina endelea. Hatutaki ahadi zisizotekelezeka tunataka waje na utendaji halisi...angalia kule Busanda ahadi za umeme... angalia Igunga... Tarime...n.k kumetolewa ahadi nyingi wakati wa by elections Je wametekeleza>>>>????? MMM mimi nimechagua huyo shujaa aliyejifanya kutokea mwisho wa filamu awe BWM, wengine mnaweza msemea JK mbapo pia ni sawa tuuuu!!! au hata wengine...

Nafahamu uchungu ulionao ambao husababishwa na kutokuona aibu pamoja udanganyifu wa wanasiasa. Wanasiasa wetu siku zote huamini sisi waajiri wao ni mazuzu na wao ndio wenye busara na akili nyingi. Mwangilie BWM na Anben/Tanpower!! yeye anaamini sisi wananchi tumeshasahau kabisa!
 
Eti philosophical wabongo bana!

Hata mtoto akisoma anajua lengo lake ilikuwa ni nini.

Hasira za mwanakijiji zinakuja kwakuwa mgomo umeisha yeye alipenda uendelee forever kwakuwa yeye haishi Tanzania na familia yake. Kweli wajinga ndio wali wao.

Kubalini ukweli tu mgomo umeisha tafuteni mengine...

kwani kuisha mgomo ndo mwisho wa watu kujadili issues za huo mgomo.kwa nini usiione kama hii ni aftermaths za huo mgomo.real poor reasoning
 
Labda movie haijesha. Tungoje part II.

Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa
wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa
mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo
wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia,
shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea
lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka
mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au
filamu kama za Rambo, n.k Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi
mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa
umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu
imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa
anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui
au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni
shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!
Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!
MMM
 
Halafu anadai hoo movie yote mliyoangalia ilikuwa ni mambo ya siasa tu,hakuna cha wanaharakati wala nini,wanaharakati gani hawazingatii haki ya msingi ya kila mwanadamu kuishi? HIVI yeye angekuwa anazingatia haki ya watanzania kuishi na ukichukulia yeye ndiyo mwenye rungu(sterling) angesubiri mpaka movie iishe ndio atie domo?si ilivyoanza movie tu angejitokeza na kucheza kama sterling kutetea haki ya wananchi wake kuishi!!
MWENZENU NIMEMSAMEHE jk BURE, NILISHAGUNDUA HAJIWEZI TUMSAMEHE WAKUU!
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM
Salaam MMK,
Ni sawa mara nyingi shujaa uwa hatokei mwisho lakini si mara zote mambo uwa hivyo, kwani kama itatokea wahusika wote walioanza mapambano wakawa wameshindwa basi mtu yeyote yule akijitokeza then akaweza kutatua shida iliyokuwepo before basi huyu tutamuhisabu kama STERLING wetu, bila kujari nguvu,muda alivyotumia kumaliza shida zetu.
 
kwakweli sijawahi kusikia filamu ya namna hiyo, lakini kwa tz inawezekana, ILA KWA MARA YA KWANZA NIMESIKIA KWA MASIKIO YANGU NA NIMEONA KWA MACHO YANGU MSANII AKIIMBA WIMBO USIOELEWEKA, NIMESHINDWA KUJUA KAMA NI HIP HOP, RNB, BONGOFLEVA, BOLINGO, REGE, TAARABU, AU NGONJERA, NI WIMBO AMBAO HAUNA KANUNI YEYOYE YA NYIMBO AU USHAIRI UNAOFAHAMIKA, WIMBO ULIOKOSA BITI HUKU MSANII WA WIMBO HUO AKIJICHEKESHA MARA KWA MARA NA WAIMBAJI WENGINE WANAOMSINDIKIZA NA KIBWAGIZO CHA KUZOMEA NA KUSHANGILIA..''WAAAMBIEEEE, WAELEZE HAO................'' aisee inasikitisha,

na hawa hapa chini ndo walikuwa waitikiaji wakubwa wa kibwagizo cha wimbo wa msanii huyo.
Salaam MMK,
Ni sawa mara nyingi shujaa uwa hatokei mwisho lakini si mara zote mambo uwa hivyo, kwani kama itatokea wahusika wote walioanza mapambano wakawa wameshindwa basi mtu yeyote yule akijitokeza then akaweza kutatua shida iliyokuwepo before basi huyu tutamuhisabu kama STERLING wetu, bila kujari nguvu,muda alivyotumia kumaliza shida zetu.
Ndiyo maana hata hivi leo MWL.NYERERE wanamuhisabu kama ni STERLING wa nchi.Kutokana na maneno yako, basi hata yeye hastahiki kuitwa STERLING kwani hata yeye hakuwepo mwanzoni mwafilamu.

Ndiyo maana hata hivi leo MWL.NYERERE wanamuhisabu kama ni STERLING wa nchi.Kutokana na maneno yako, basi hata yeye hastahiki kuitwa STERLING kwani hata yeye hakuwepo mwanzoni mwafilamu.
 
37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom