Shujaa anapotokea mwisho wa filamu

Wacha kusema uwongo,hakuna aliyekunywa juice,alikunywa sterling tu

8E9U2768.JPG

angalia madokta hapo wanamwonea huruma babamwanaasha maana ajaribu kuwelezea vitu ambavyo haelewi maana kapewa desa halafu hajalielewa anaowaelezea ni wataalamu kumzidi kha!
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM

MKuu Mwanakijiji,

Si unajua shujaa anapenda ujiko hivyo ndugu zake wamempa majiko yote aote wenyewe wako na mali ya umma
 
Kwa hiyo alikuwa anaogopa mabomu huyu shujaa wetu?

Alisema katika nchi nyingine sheria zao ni kali zaidi kwani iwapo daktari atasababisha kifo
cha mgonjwa kwa kugoma, hushitakiwa kwa tuhuma za kuua bila kukusudia.
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM

Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa JK na dhani hii ni kutokana na wewe binafsi kujua ni aina gani ya memba waliopo JF
Unajua fika now days JF imejaa watu bogus wasio weza kufikiria kwa kujitegemea, watu wanao fuata mkumbo tu ilimradi na yeye ka post

Kwangu mimi that is too low............................
Kama kweli unajua jinsi uongozi unavyofanya kazi basi huwezi kufanya ulinganisho wako na films hapa
Naangalia comments za memba mbali mbali kwenye hii sredi.......... ni vichekesho natambua umejijengea credibility kubwa hapa JF na hii imefikia kuna watu wanaamini unachosema wewe ndio fact na sahihi na haukosei na wala hayo unayoyasema sio opinion yako bala ni Fact tupu

Ndio maana nikasema huumizi kichwa kuanzisha uzi tena maana unajua aina ya wachangiaji wako always wako nyuma yako iwe point au pumba, wachangiaji ambao hawataki kuumiza vichwa kufikiri wanachotaka wao ni kuchombeza tu basi.

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

Wewe kumbe humwelewi MMMJ......a very philosophical man.......kama umesoma vizuri uzi huu basi utaona hajamtaja JK popote pale na ni renditions zetu tu ndio zinasema hivyo.......wapo ambao wanadhani inamhusu Mkapa!!....na bado watakuja wanaodhania ni Lowassa
 
Mara ya mwisho rais kuwa na press conf kuelezea tatizo linalokabili nchi ni kifo cha nyerere wakati ule rais mkapa
 
Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa JK na dhani hii ni kutokana na wewe binafsi kujua ni aina gani ya memba waliopo JF
Unajua fika now days JF imejaa watu bogus wasio weza kufikiria kwa kujitegemea, watu wanao fuata mkumbo tu ilimradi na yeye ka post

Kwangu mimi that is too low............................
Kama kweli unajua jinsi uongozi unavyofanya kazi basi huwezi kufanya ulinganisho wako na films hapa
Naangalia comments za memba mbali mbali kwenye hii sredi.......... ni vichekesho
natambua umejijengea credibility kubwa hapa JF na hii imefikia kuna watu wanaamini unachosema wewe ndio fact na sahihi na haukosei na wala hayo unayoyasema sio opinion yako bala ni Fact tupu

Ndio maana nikasema huumizi kichwa kuanzisha uzi tena maana unajua aina ya wachangiaji wako always wako nyuma yako iwe point au pumba, wachangiaji ambao hawataki kuumiza vichwa kufikiri wanachotaka wao ni kuchombeza tu basi.

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

U can build yours as well and use it whetever U like. Otherwise Unaonekana kama kuna kitu kinakuuma vile!
 
Kwa kawaida - na karibu mara zote - shujaa wa kwenye filamu hauawi. Hata apitie matatizo kiasi gani tunajua kuwa mwisho wa siku shujaa wetu ataendelea kuwepo. Ndio maana ya ule msemo wa "sterling hauawi". Lakini kuna kitu kingine ambacho ni kweli pia, shujaa hatokei mwisho wa movie! Hata kama atachelewa kidogo kutokea lakini mara moja tutatambulishwa kuwa huyu ni shujaa wetu na toka mwanzo tutamuona anvyopambana na mgogoro. Fikiria shows kama 24 au filamu kama za Rambo, n.k

Sasa inakuwaje kwenye filamu uangalie hadi mwisho hadi kisa kimekwisha halafu shujaa anatokea? Fikiria kuwa umeangalia movie nzima na matukio yote muhimu yametokea na filamu imeshaandikwa "the end" halafu credits zina roll down halafu shujaa anatokea na kuanza kuelezea jinsi ambavyo angeweza kupambana na maadui au jinsi gani maadui walivyoshindwa! Kwanza itabidi ujiulize kama ni shujaa kweli na kama ni shujaa basi unajiuliza ni shujaa wa kitu gani!

Nilichojifunza ni kuwa shujaa hatokei mwisho wa filamu kupewa sifa!

MMM
huyo huwezi kumwita shujaa... sanasana utamwita kituko!!:A S-frusty2:
 
Kikwete sio shujaa na hatakuja kuwa shujaa kwenye issue ya madaktari!
 
Mlitaka rais awa bypass watendaji wake?

Hamna jipya acheni longo longo, rais ame intervene wakati muafaka.

Lakufanya sasa mtafute mbinu nyingine za kuwashawishi madaktari wagome, labda waseme hawautaki uongozi muhimbili au kama hai make sense kabisa basi safari hii mkazungumze na walimu.
 
Mkuu hii ni post yako ya nne sasa kama sikosei unajaribu na kutumia nguvu nyingi sana kuonyesha JK is nothing on this
Kama unaweza kutumia mifano ya movies kuhalalisha ukosoaji wako kwa
JK na dhani hii ni kutokana na .......

Unaweza kuponda utakavyo kuhusu ushiriki wa
JK kwenye hili lakini huwezi kuondoa ukweli wa ushiriki wa JK kwenye hili

Wapi mtoa mada kamtaja JK??

Kwani JK ni mcheza movie siku hizi......unachekesha kweli.
 
Back
Top Bottom