Jinsi utavyochagua Mbunge kwa tabia yake ya mtaani ndivyo atakavyokuwakilisha bungeni. Waliochaguliwa na 'Shujaa' Wanamwakilisha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito.

Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo gumu la Corona akatuvusha salama.

Shujaa ndio alituchagulia Wabunge kwa mfumo wake unadhani angetamani kuwa na aina gani ya Wabunge kama siyo akina Kibajaj wanaoigopa ripoti ya CAG kama ukoma.

Kibajaj hata umpe miaka 10 hawezi kuchambua ripoti ya CAG akili yake imeshagonga magharibi Wahenga walisema Kambale mkunje angali mbichi.

Kama kuna fursa adhimu ambayo Wabunge wangeipigania ni kuchambua ripoti ya CAG sasa Kwani ingewajenga kwa Uchaguzi wa 2025 lakini ndio hivyo Biblia inasema Wala Rushwa wamepofushwa macho.

Nileteeni Gwajima!
 
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito

Nileteeni Gwajima!
Hii ndio dhambi aliyefanya shujaa wetu,kutuharibia bunge,mabaya aliyofanya yanazidi mazuri Kwa kiasi kikubwa,shujaa wetu alivunja nguvu za bunge vibaya mno,sijui alikuwa anafikiri nini,ila baadae chama chake Kili Kiri kimekosea kumpa madaraka.
 
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito.

Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo gumu la Corona akatuvusha salama.

Shujaa ndio alituchagulia Wabunge kwa mfumo wake unadhani angetamani kuwa na aina gani ya Wabunge kama siyo akina Kibajaj wanaoigopa ripoti ya CAG kama ukoma.

Kibajaj hata umpe miaka 10 hawezi kuchambua ripoti ya CAG akili yake imeshagonga magharibi Wahenga walisema Kambale mkunje angali mbichi.

Kama kuna fursa adhimu ambayo Wabunge wangeipigania ni kuchambua ripoti ya CAG sasa Kwani ingewajenga kwa Uchaguzi wa 2025 lakini ndio hivyo Biblia inasema Wala Rushwa wamepofushwa macho.

Nileteeni Gwajima!
..
 
Hii ndio dhambi aliyefanya shujaa wetu,kutuharibia bunge,mabaya aliyofanya yanazidi mazuri Kwa kiasi kikubwa,shujaa wetu alivunja nguvu za bunge vibaya mno,sijui alikuwa anafikiri nini,ila baadae chama chake Kili Kiri kimekosea kumpa madaraka.
Neno "wetu" nimeliangalia sana kama nilivyofanya kwa neno "shujaa"!Subiri kidogo nipige funda la ulanzi.
 
Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo gumu la Corona akatuvusha salama.
.

Nileteeni Gwajima!
Hii si kweli hakutuvusha kwenye corona salama kwa kuwa kuna ndugu zetu wengi wamekufa kwa sababu ya yeye kukataa miongozo ya WHO ya kujikinga na ugonjwa.

Na kwa kuwa alifanya uzembe wa kutaka tujifukize naye mwenyewe akafa kwa corona hiyohiyo.
 
Kibajaj hata umpe miaka 10 hawezi kuchambua ripoti ya CAG akili yake imeshagonga magharibi Wahenga walisema Kambale mkunje angali mbichi.
Kuna watu hawakusoma kabisa Shule au wameishia darasa la sana, sio kwasababu ni vilaza, wameishia darasa la saba kwasababu ya circumstances ukiwemo umasikini uliotopea, lakini wana akili kuliko Ph.D holders, kibajaji ni one of them Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.
P
 
Back
Top Bottom