Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

Dr. Moshi,

What good does it do for Dr. Slaa and others to keep naming names without any incontrovertible proof and without litigation if they believe Dr. Ridhwani and others who have been alleged (of ufisadi) have indeed illegally gained their wealth?

Eventually people will stop taking them seriously if all they do is talk, talk, talk and no action.

He has incontrovertible proof. He doesn't produce it here because it doesn't belong here. He will produce it in court when and if the need arises.

I put it to you that those that he has named earlier believe him when he says he has proof. That is why they don't dare pursue the matter in court.

On what do you base your claim that Dr. Slaa lacks incontrovertible proof? What proof do you have that he doesn't have proof?
 
Evidence zitakuwepo, watu si wanamjua huyu kajiroga mwenyewe...bora angekaa kimya.
mkuu anasema yeye amerithi utajiri toka kwa babu yake duuuu HUYU NA BABA YAKE WAPO SAWASAWA, HAWAIFAHAMU DOWANS!
 
alitueleza yafuatayo;
-yeye sio bilionea,
-ana kashamba kadogo tu ka ekari 1.5 kule Bagamoyo,
-ka gari kamoja kadogo aina ya Toyota Camry tena mtumba,
-vi akaunti vitatu tu kwenye benki za CRDB, Stanbic na NBC,
-wala sijasafiri nje tangu nimalize masomo yangu UK waulizeni Idara ya Uhamiaji kama nadanganya,
-sina maghorofa, sina malori, sina chochote zaidi ya hivyo nilivyovitaja,
-hata mimi huwa nachacha nakosa fedha hadi wakati mwingine hulazimika kwenda kwa baba kuomba msaada (mfano juzi nilikwenda kukopa kabilioni kamoja tu kwa mzee Duh!!!!) kwenye bold ni simulation yangu.

Hapo kwenye red sijaelewa.
Huwa anakopa au anapewa.
Kama anakopa ina maana anao uwezo wa kulipa bilioni moja katika kipindi fulani, hela nyingi hivyo anazitoa wapi? Ina maana anao uwezo wa kutengeneza bilioni moja kwa muda mfupi, si ndo ufisadi wenyewe huo unaosemwa. Hata mawakili "nguli" hawana uwezo wa kutengeneza kiasi kikubwa namna hiyo cha fedha kwa muda mfupi, yeye anatoa wapi?
Baba yake naye anatoa wapi kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa cha kumpatia mwanawe pale inapohitajika tena bila maandalizi yoyote.

Kuhusu hizo akaunti, ni vema akaueleza umma kiasi cha pesa kilichomo kwenye kila akaunti, kutaja tu kuwa anazo akaunti 3 haitoshi kwani kuna watu kibao wana akaunti zaidi ya hizo lakini kiasi cha fedha kilichomo kwenye akaunti zote wakati mwingine hakizidi hata sh. 30,000; na wapo wengine wenye akaunti moja tu na wana vijisenti visivyopungua mamia ya mabilioni.

Kwangu mimi haka ni kafisadi tu.
 
Mbona Slaa anaongea lakini haendi mahakani? Mtikila mnasema kafanya Mahakama ndio kazi yake. Sasa mbona hamueleweki nyie Wana CDM. Ukweli utaonekana ndugu zangu, Ni siku Saba tu wamepewa, kama ushahidi wanao basi wataupeleka mahakani hiyo siku.
 
kwa habari za kiintelejensia mali zake nyingi yupo ushirika na aliyekuwa mweka hazina wa kiGOMA
 
amesahau kujisafisha kwenye ufisadi umiliki wa viwanja vilivyotolewa na halmashauri ya Arumeru
 
alitueleza yafuatayo;
-yeye sio bilionea,
-ana kashamba kadogo tu ka ekari 1.5 kule Bagamoyo,
-ka gari kamoja kadogo aina ya Toyota Camry tena mtumba,
-vi akaunti vitatu tu kwenye benki za CRDB, Stanbic na NBC,
-wala sijasafiri nje tangu nimalize masomo yangu UK waulizeni Idara ya Uhamiaji kama nadanganya,
-sina maghorofa, sina malori, sina chochote zaidi ya hivyo nilivyovitaja,
-hata mimi huwa nachacha nakosa fedha hadi wakati mwingine hulazimika kwenda kwa baba kuomba msaada (mfano juzi nilikwenda kukopa kabilioni kamoja tu kwa mzee Duh!!!!) kwenye bold ni simulation yangu.

Kijana Riz1,
Sijawahi kupitia VIP lounge...nadhani IMMIGRATION hawapo kule......najua una DIPLOMATIC passport pia...hujanishauri kuhusu hili kwa kuwa miezi kadhaa nyuma tulizuiwa ili msafara wako upite kuwahi ndege kwenda Dubai
 
Kwa kuwa "hapa mjini watu wanaishi kimjini mjini na si kila kitu unachomwona nacho mtu ukadhani ni chake", mi nadhani mali hizo zinazosemekana kuwa za rz1 huenda zikawa ni za Abdalah Sambi Rais wa Comoro, ambaye alimtoa mtoto wake kama zawadi aolewe na Rz1 baada ya Sambi "kusaidiwa" na baba yake Rz1 kuwang'oa waasi wa Anjuani, Mwaroni na Ngazija.
 
Riziwani ameanza kuweweseka kama Baba na Babu zake wa Chama Cha Magamba!

Ni yaleyale ya LIST OF SHAME. Tunakumbuka baada ya list of shame kutoka wengi walitishia kwenda Mahakamani lakini mwisho wa siku walifyata mkia kwasababu data zilizomwagwa pale Mwembeyanga zilikuwa ni ukweli mtupu!

Namshauri Riz Kiwete awahi tu Mahakamani huko ndipo zitajulikana MBICHI NA MBIVU. Kutoa siku 7 haitabadilisha chochote.
 
kweli ni bora Mtu akose mali apewe akili. Kwahiyo yy(R1) hafanyi kazi anategemea kuazima mabenzi ya Mafisadi akijua lazima watampa kwani si ameshika mpini baba yuko IKULU! LKN na Vile viwanja vya BULKA Arusha vinaingia kwenye cha Bagamoyo
 
Anajua mahakamani nisehemu ya ukweli na uwazi na kwenye vyombo vya habari ni porojo na blabla! Kimsingi washauri wake wamempotosha kupita kiwango na kuzidi kuhatarisha ustawi wa Mkweere magogoni. Angenyamaza tu asulubiwe kimyakimya kuliko kusulubiwa huku akilia hadharani!!!
 
akampe siku 7 babake mzazi pumbavu huyu tena hana adabu kabisa tutammwagia uchafu wake wa UDSM asipoendelea kujiheshimu aache ujinga!!!
 
Quote of the Week:

“Hapa mjini jamani tunaishi kimjini si kila kitu unachomuona nacho mtu ni cha kwake

~~Ridhiwan
Kweli Tanzania ina 'tatizo la ajira' zaidi ya nilivyotarajia, mtoto wa president tena mwenye shahada ya pili ya sheria anaamua kuishi kimjini mjini!!?? Sasa akina Kayumba watakuwaje!!
 
Wafateni wote. Kuna Fred wa Lowassa, kuna vijana wa Daniel Yona, January wa Makamba, Kuna wale wa Sumaye, kuna wale wa Ng'hwandu, kuna akina Beno Malisa,........, orodha ni ndefu. Kosa la Ridhiwani ni kuingia mapema kwenye siasa nini?
 
kweli ni bora Mtu akose mali apewe akili. Kwahiyo yy(R1) hafanyi kazi anategemea kuazima mabenzi ya Mafisadi akijua lazima watampa kwani si ameshika mpini baba yuko IKULU! LKN na Vile viwanja vya BULKA Arusha vinaingia kwenye cha Bagamoyo
hicho cha kupewa as watanzania wengine walao mlo mmoja walivyopewa like Sofia simba, Marmo,wewe na mimi
 
sumaye naye alibisha baada ya kubanwa akajitetea amekopa pesa ppf!na shamba kibaigwa mkapa akamtetea ingawa mwanzo alikana kama yeye!watueleze ndani ya 5yrs wamejengaje pale migombani regent street na msoga majumba ya kifahari?
 
Nakubaliana na wewe mkuu, tuhumu bila evidence, tena kutoka ngazi za juu sio suala zuri. Upande mwingine, kwa hizi system zetu, ushahidi utatoka wapi?
As a layman I know that the criminal law is for the conviction of the poor. It was designed to protect the rich and the powerful. It being the case evedence in this case won't be enough even to prosecute.
 
Back
Top Bottom