Ridhiwani awapa siku 7 Dr. Slaa na Mtikila kukanusha utajiri wake

wamemshindwa jk wankimbilia kwa mtoto! Mfa maji bwana!
Unapokua katibu mkuu wa chama mimi nadhani ni nafasi kubwa ya kufanya shughuli za kiutendaji za chama chako! Uchaguzi umepita huyu mzee bado yupo kwnye kampeni! Mstueni jamani, mkumbusheni yeye ni katibu mkuu na si mgombea tena! Ajifunze kwa akina Mcain na wengineo!
Kwanza kushangaa mtoto wa rais kukaa kwenye nyumba nzuri, kuendesha gari nzuri, na kuwa na maisha mazuri ni ushamba! Mlitaka watoto wa wahindi ndio wawe hivyo?
Kuweni great thinkers basi kama mnavyojiita!
 
1. Wame mshindwa vipi? Ina maana wewe maovu ya dr.dr.dr. Kikwete Huyajuhi mpaka leo? Hivi Hujuhi kuwa yeye ndiye GAMBA namba MOJA?

2. Nini kazi za CHAMA? Au kwa mtazamo wako kazi CHAMA ni WAKATI WAUCHAGUZI TU?

3. Kwanini asimuige MAKAMBA, MUKAMA na MANGULA?

4. Hivi wewe huoni tatizo? Hivyo Vizuri ni VYANANI? BABA au? Anafanya kazi wapi huyu mtoto wa RAISI ? Alipa KODI huyu?

5. Usijali wacha wao wawe Great Thinkers wewe unaweza ukawa GREAT STIKER! Unaonaje?

Badilika ndugu yangu JIVUE GAMBA wacha mawazo MGANDO
 
Hoja za dr slaa c za kuaminika, ni hoja ambazo zinatakiwa kuzungumzwa wakati wa kampeni! Yaani pale watu wamefadhaika kwahiyo unarusha mawe gizani, hata ikiwa jambo halikuwa na ukweli asilimia 100, lakini hadi likijulikana uchaguzi unakuwa umeshapita! Lakini wakati huu anachofanya dr slaa ni upuuzi, ni kujibomoa yeye na chama chake, amini usiamini, anachofanya yeye c kutokana na maamuzi ya vikao vinavyomtuma aratibu shughuli za chama chake kama mtendaji mkuu wa kila siku. Siamini kama wadau wa chadema katika vikao vya maamuzi ndio wanampa maazimio haya dr slaa ayatekeleze, siamini, na sitoamini! Aidha wamekasimu madaraka kwa yeye aseme na kutenda anachofikiria.
 
Jk alishajivua gamba mda mrefu kwa kuruhusu maamuzi yaliyofanywa dodoma, ameonyesha ujasiri mkubwa, na sidhani kama kuna hatua zaidi ya ile iliyochukuliwa, wale waliotuhumiwa kwa ufisadi wametumikia nchi hii kwa muda mrefu, na wamechaguliwa na watu kama mbunge wako uliyemchagua wewe!
Hata hivyo, jk hahitaji kugombea chochote nchi hii baada ya mda wake kuisha, kwa hiyo angeamua kuwalinda hao wanaoitwa mafisadi sidhani kama ingemkost kivile, kikubwa anachofanya ni kuwasikiliza wanachi waliomchagua na si kundi lingine kama wewe unavyojilazimisha kuamini
 
Nimekuliza maswali manne kule huja yajibu!
Tafadhali naomba majibu ukiwa kama Great ............
 
1. Amejivua vipi hili gamba? Alilivaa lini? na alilivaavaa vipi?

2. Ni maamuzi gani yaliyofanyika Dodoma Tafadhali naomba unifafanulie labda mimi ni mgeni NCHI HII.
 
Jk alishajivua gamba mda mrefu kwa kuruhusu maamuzi yaliyofanywa dodoma, ameonyesha ujasiri mkubwa, na sidhani kama kuna hatua zaidi ya ile iliyochukuliwa, wale waliotuhumiwa kwa ufisadi wametumikia nchi hii kwa muda mrefu, na wamechaguliwa na watu kama mbunge wako uliyemchagua wewe!
Hata hivyo, jk hahitaji kugombea chochote nchi hii baada ya mda wake kuisha, kwa hiyo angeamua kuwalinda hao wanaoitwa mafisadi sidhani kama ingemkost kivile, kikubwa anachofanya ni kuwasikiliza wanachi waliomchagua na si kundi lingine kama wewe unavyojilazimisha kuamini

Naomba kujua UTUMISHI ULIOTUKUKA WA Mheshimiwa ROSTAM.
 
I found this interesting "track called Rizi One. Go to that blog (link below) to hear it!

BONGO STAR LINK: NEW TRACK: RIZI-ONE BY IZZO BIZNESS.

Jk alishajivua gamba mda mrefu kwa kuruhusu maamuzi yaliyofanywa dodoma, ameonyesha ujasiri mkubwa, na sidhani kama kuna hatua zaidi ya ile iliyochukuliwa, wale waliotuhumiwa kwa ufisadi wametumikia nchi hii kwa muda mrefu, na wamechaguliwa na watu kama mbunge wako uliyemchagua wewe!
Hata hivyo, jk hahitaji kugombea chochote nchi hii baada ya mda wake kuisha, kwa hiyo angeamua kuwalinda hao wanaoitwa mafisadi sidhani kama ingemkost kivile, kikubwa anachofanya ni kuwasikiliza wanachi waliomchagua na si kundi lingine kama wewe unavyojilazimisha kuamini
 
Siasa ya Tanzania kama biashara ya ukahaba wakati mwingine. Mliona Chenge alivyo ingia kumuaribia 6 did yake ya uspika?? Ghafla wametoswa machafu ya Ridhwani Kikwete (and so BABA YAKE) yameanza kutoka... Hawa kina Mtikila wanajiuza kama kawa kwa MAPACHA ata huyo Slaa wenu (PhD Theology) nae siajabu kanunuliwa kumpiga vita Kikwete au ana-dili la siri na Mapacha wa Uangamizi. Ukweli ni kwamba wananchi msiwe wepesi sana kuamini makelele ya majukwaani. Kumbukeni hao mnao waamini nao ni wanasiasa, ata Ghandi the Mahatma played these political games kwahiyo msifikiri Slaa is above moral reproach. Ukweli ni kwamba adui wa adui yako ni rafiki yako kwa sasa. Hili sio jambo la ghafla, kuna uwezekano mkubwa sana EL na links zake za usalama waka-leak data za ufisadi wa Riz1 iliwamchafue JK bila kumtaja moja kwa moja kama yeye alivyomtumia Msekwa, Kinana na wengineo kuwapotezea.

I think there is a very big and secret war between JK in search of a legacy v EL, RA, AC. Wote wana upanga wa dola na vyombo vya usalama katika kiwango vinavyotofautiana. JK anadola zaidi lakini hawezi kuwa brutal katika kuwaneutralize, wao wanahela zaidi lakini ina limitations. Wenye hela wanawanunua kina Mtikila, Slaa, media, wenye dola wanazima mambo kichinichini waendelee kula na kuiba. Hawa kundi la mafisadi walitaka waiteke nchi 2015 waibake kabisa, nahisi JK anaona hiyo itakuwa 'too much'. Watu wa pwani wana mambo yao lakini mswahili akishashiba ubwabwa wake kashiba (na kwa mahesabu yake huyu 2015 atakuwa kashiba basi sufuria ioshwe sio kuwapa mbwa tena walambe..)

Kwahiyo mtazamo wangu hapa Slaa either ka leakishiwa information aidha kwa kujua au kutokujua ili amponde JK kwa niaba yake na mafisadi au kama mtikila (ambae kajiuza for sure) nae kahongwa. Haya mambo yapo sana siasa zetu hizi.... Tusijifanye ghafla kuna watu ambao hawana bei Tanzania hii, na kama wapo basi sio wanasiasa.
 
Mjinga sana mswahili huyo, ndio tabu ya kuzoea mipasho, mtoto wa rais mzima baada ya kujiandalia kafyucha kako mapema kama January unaaanza kubishana bishana na kina Mtikila na Slaa, Slaa ni Mfupa uliomtoa jasho babayo we utauweza? Kazi kucheza cheza mipira na kutuma watu wakutongozee wanawake,baada ya kufanya mambo ya maana!ningekua babaako ningekukata mibao, Kudadadeki walai!
 
hi.why are we always discussing about other people?hivi kweli nchi hii imekosa kabisa mada za kujadili apart from fulan fisadi,fulani mwizi wa wake za watu blah blah....c'on vijana wenzangu,tuanze kuibua mada zinazotupa changamoto za kupambana na umasikini wetu n kutuwezesha kuwa independent thinkers.tukilalamika wote na kuongelea matatizo tu nani atatutafutia majibu/suluhisho ya hayo matatizo.ukweli ni huu,wabongo wote wezi tu lakini tunatofautiana kiwango cha wizi.maofisini tunachakachua sana tu na wote ndani ya mioyo yetu tanalitambua hilo.
 
Kinyambiss,

..tangu miaka ya 90 inajulikana Kikwete,Lowassa,na Rostam, ni kitu kimoja.

..sasa leo watu wanapotaka kugeuza "santuri" na kujaribu kuwatenganisha hao watatu lazima wananchi tuchukue tahadhari.

..huu wote ni usanii wa kujaribu kukiokoa chama, lakini kama watu wanataka kutenda haki, na kukata mzizi wa fitina, basi hao watatu[JK,EL,RA] lazima washughulikiwe kwa pamoja.

..Ridhiwani masuala yake ni ya kujitakia mwenyewe. what did he think was going to happen when he started meddling with CCM YL affairs?
 
Nimekuliza maswali manne kule huja yajibu!
Tafadhali naomba majibu ukiwa kama Great ............

Nadhani majibu yako yamo ndani ya post yangu iliyopita, labda unahitaji in numbered ndio uelewe kama umejibiwa! Haya,
1. Kuna kazi za chama wakati wa uchaguzi, na kuna kazi za chama wakati sio wa uchaguzi, drslaa anafanya kazi za chama za wakati wa uchaguzi,, ambapo si wakati wa uchaguzi, nadhani umeelewa hapo,
sasa alitakiwa ajipange na chama chake kujua kwanini pamoja na juhudi zote lakini chama chao hakikushinda uchaguzi, ni kwa namna gani wataweka base kwa zile sehem ambazo hakuna hata ofisi ya chadema, kwa mfano, chadema mwisho wake mbagala, hakuna chadema mkuranga, hakuna chadema rufiji, slaa hajawahi kufika kilwa kichama, wala newala, wala lindi, mafia, pemba, kisarawe, mgeta,matombo,mlali,changarawe,morogoro kusini,mvomero,sswala bagamoyo na bwawani.hata kule kibiti,nantumbo na limaliao hawamjui zitto wala nyika,
mimi nafikiri kuna siasa na harakati, chadema mkiwa wanaharakkati zaidi inadhoofisha weledi wa namna ya kushawishi watu kwa muda mrefu, bali utafanikiwa hivyo kwa muda mfupi,hoja husika inapoisha, unasubili litakalotokkea mbeleni, hizi sio kazi za chama baada ya uchaguzi
2. Rostam aziz pamoja na tuhuma zake, amekeuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano halali tangu 1995, namna gani amekuwa akishinda sio hoja ya kumlaumu jk, sio jukumu lake, jukumu lake kama mwenyekiti wa chama kuhakikisha chama kinabaki salama na kufuata maadili na misingi yake iliyoratibiwa tangu awali, amefanya hivyo na watuhumiwa wameondolewa wenye vikao vya mwisho vya maamuzi. Jk hawezi kuingilia bunge ambao ni muhimili mwngne kabisa kitu ambacho hata wewe unakipigia kelele juu ya rule of law, japokuwa maswahiba zake wanaona yeye kukaa kimya juu ya maamuzi yanayofanywa na mihimili mingine ni kama kuwatosa.
3. Hakuna binaadamu asiyekuwa na makosa, ingekuwa tunapimana kwa kuangaliana makosa basi tusingeweza kuishi pamoja hata kwenye nyumba moja,naamini mazuri ya jk hayazidiwi na mabaya yake, kwanza ni msikivu sana, kwa mfano, ilani ya ccm ya sasa haisemi popote kama kuna utekelezaji wa suala la katiba mpya, lakini amesikkia na anatekeleza.
Mwisho nakuuliza, swali moja, wewe ulishawi kulaumiwa? Na ulichukua hatua gani kwa aliyekulaumu?
 
Mimi nimeshangaa waandishi wa habari hawakumuuliza Riz1 hiyo suti aliyovaa ni ya bei gani. Inafanana sana na suti wanazovaa akina Chenge ambazo inawabidi wazipeleke London kufanyiwa dry cleaning. I am willing to bet anyone here kuwa hiyo suti si chini ya dola elfu moja. Na wanaovaa suti za bei mbaya aina hiyo Dar huwezi kusema wameziazima kwa watoto wenzao wa mjini. Paka Jimmy naomba uweke picha yake hapa watu waione.
 
:A S-baby:RIDHIWANI KUBALI HIZO TUHUMA ZA UFISADI UNAZOPEWA, KWANI WIZI UMEANZA WEWE? WEWE NI PAPA MTOTO NDIO UNAKUWA.
 
Dogo usidhani dr slaa anakurupuka, kiukweli yuko makini na daima hufanya utafiti kabla hajasema jambo.tunajuwa ndio umeanza kuipeperusha bendera ya ufisadi kuwaibia watanzani ni vema ukapunguza speed kwakumrudia muumba wako.
 
Back
Top Bottom