BongoTz
JF-Expert Member
- Nov 3, 2006
- 272
- 3
- Thread starter
- #41
Mwenyewe nashangaa....Yaani hata wale members wa miaka nenda rudi wa hapa ambao nilikuwa nawaheshimu kwa hoja, wameacha kutoa hoja na kutukana yanguoni. Inasikitisha kuona "wana-mageuzi" wa JF wana resort kwenye matusi. Inatia huruma. Wenyewe wanajiita great thinkers . Mtu na heshima yake anashindwa kuheshimu uhuru wa maoni na badala yake anakesha kutukana watu wanaopinga urais wa Dr Slaa....huyo ndio GREAT THINKER.