Pupa ya kutaka kushika madaraka, itaiangusha CHADEMA tena

Mpuuzi usitudanganye,Hatudanganyiki na mawazo yako mafupi.Unauhakika hatujajipanga,kwa taarifa yako tumejipanga na kama serikali itakuwa yamfano dunia nzima.Mwambieni kikwete Msimdanganye kama Kaunda alivyodanganywa mpaka dakika za mwisho ndivyo atakavyokuwa Mkwere wenu,mmeishiwa sera mpaka Mnatumia jeshi hata wewe usalama useless nasasa Umoja wa mataifa lazima uwatazame.
Hey, mimi sina chama wewe...lol... I'm just an Independent observer. So acha kuniunganisha na huyo Mkwere wako. Ukweli ni kwamba CHADEMA bado hawajajipanga vizuri. So unaweza ukahuzunika ama ukalia siku nzima, lakini huo ndo' ukweli halisi.
 
kwanza tanzania haihitaji kiongozi amabye hawezi hata kulinda mkataba wake na muumba wa mbingu na ardhi .huyo kiongozi wenu dk kwa jina simtaji kwani natumaini ni waelewa alisoma prim akamaliza akaenda sec ya misheni naamini akaendelea na elimu huku akiitikia wito au kukubali kuwa mtumishi wa mungu na mwisho wa siku mumeyaona wenyewe kweli mtu aliyekuwa ameishiba dini na anaelewa maana ya dhambi na bado akavunja mkataba na aliye juu kuliko sote atashindwa kutugeuka watanzania kweli jamani embu tulichambue hili huo sio ufisadi kuna nini huku ambacho alikikosa kwenye maisha ya kiroho? au ndio huyo hawala oops samahani mke duf mchanganyiko wa haja
 
No, umasikini wa watanzania unachangiwa na watanzania wenyewe kuwa wavivu. Nani anakuzuia kujiajiri mwenyewe kama unashindwa kupata ajira serikalini ama kwenye private sector. Watanzania wanachokijua ni kukaa vijiweni na kupiga porojo siku nzima wakitegemea kuwa serikali itawafanyia kila kitu. Hizo zama za zamani zimepitwa na wakati. There ain't no such thing as a free lunch hapa duniani. Na kuhusu "jiji la Dar es Salaam kunuka kinyesi kila siku," unategemea Kikwete ndo' aje kukusafishia? C'mon! Mbona watu mnaongea pumba sana humu jukwaani. Serikali haiwezi ikawafanyia kila kitu. Wewe unachafua jiji mwenyewe, unategemea matokeo yake yawe nini? Jiji lijisafishe lenyewe????

Siyo kweli. Watanzania wakereketwa siyo wavivu bali wananyonywa na ndio maana wanachokifanya hakionikani. Wavivu ni wale waliozoeshwa rushwa kila uchaguzi na wapo wengi. Baadhi ya hawa wala rushwa wanaoona wasio na ajira kama wavivu - yaani, hawafanikiwi kama wao. "Jiji lingejisafisha lenyewe". Kwani kodi hazilipwi? Kwa nini kusiwekwe utaratibu mzuri kwa kulitunza jiji kuwa safi ikiwa pamoja na kujengwa vyoo vya hadhi na vinavyotunzwa vizuri? Kama hilo halifanyiki ina maana hakuna usimamizi mzuri - hakuna uongozi mzuri!
 
kwanza tanzania haihitaji kiongozi amabye hawezi hata kulinda mkataba wake na muumba wa mbingu na ardhi .huyo kiongozi wenu dk kwa jina simtaji kwani natumaini ni waelewa alisoma prim akamaliza akaenda sec ya misheni naamini akaendelea na elimu huku akiitikia wito au kukubali kuwa mtumishi wa mungu na mwisho wa siku mumeyaona wenyewe kweli mtu aliyekuwa ameishiba dini na anaelewa maana ya dhambi na bado akavunja mkataba na aliye juu kuliko sote atashindwa kutugeuka watanzania kweli jamani embu tulichambue hili huo sio ufisadi kuna nini huku ambacho alikikosa kwenye maisha ya kiroho? au ndio huyo hawala oops samahani mke duf mchanganyiko wa haja

Mawazo yako yana harufu ya udini na si kingine!
 
Mkuu wangu maelezo marefu wakati hujui kinachowasibu ni kujaribu kujaza debe upepo. Tunazungumzia wananchi jinsi wanavyomtazama kiongozi na serikali yake sii swala ya kisayansi au dhana.

Kwanza Healthcare utata upo kwenye gharama yake kubwa na sio sijui Liberal hawaipendi kutokana na vipengele gani..
Pili, umezungumzia stimulus ni kwa sababu haiku create ajira kama walivyotegemea kulingana na ahadi za Obama lakini ukweli ni kwamba Stimulus ilikuwa lazima kuepuka total collapse. Psipo stimulus ajira zingepotea kwa kasi ile aloiacha Bush, hivyo kidogo imeweza kuuweka uchumi ktk hatua ya kati.
Tatu, Independent hawajali kabisa Domocratic wanasimamia nini zaidi ya ahadi walizopewa wao nje ya itikadi. Ni ahadi (sera) ambazo zinakidhi mahitaji yao lakini maadam Obama na Democratic hawakuzipa kipaumbele ndio maana Independent wanampinga. Kati ya maswala mazito ni pamoja na gay rights, Immigration na kubadilisha muundo wa White house unavyofanya kazi.
Nne, Reagan aliface matatizo ya Unemployment ambayo aliyarithi kutokana na uchumi wa nchi hiyo kushuka mwaka 1980 chini ya Carter.. Na ndiyo sababu kubwa aliweza kumwangusha Carter ambaye alikuwa rais wa awamu moja kama itakavyokuwa kwa JK mwaka huu. Na sijui kama unakumbuka vizuri ktk kampeni zake Reagan aliwahi kusema kwamba:- "The government is not the solution to our problems, The government is the problem." akimaanisha utawala wa Carter ambao uchumi ulikuwa ukishuka ghafla.. Pengine nisema tu kwamba kushuka kwa Uchumi wowote ule kunaathiri Ajira, inflation na kadhalika haya ndio matunda ya uchumi mbaya.

Kwa hiyo, siku zote tunasema utavuna ulichopanda. Kama mbinu za kiuchumi zikiwa mbaya matokeo yake unapoteza ajira kwa viwanda na mashirka kufungwa na ndivyo unavyopoteza ajira. Kutokana na urithi ule wa depression ya Carter, wananchi waliona bora Reagan kuliko kubakia na Carter kama ilivyotokea kwa Obama ambaye watu walishamchoka Bush na Republican ktk downfall ya uchumi..

Reagan alichaguliwa tena kwa sababu nyingi sana, kwanza Mandale was a weak candidate, yaani hanunuliki na pili kama unakumbuka Reagan aliendelea kusema kwamba amerithi uchumi mbaya toka kwa Carter hivyo aliomba muda zaidi ili sera zake zifanye kazi. Aliweza kuwashawishi wananchi wakafanya subira na kweli alikuja fanya maajabu kushusha hadi 5.5 au point 7..(a record).

Na Obama huyu anaweza kupata kipindi kingine cha kuongoza ikiwa wananchi wataelewa alichopanda kwani at the end of the road wananchi wanataka kuona ajira kwani ndio matunda ya Utawala bora kwa wananchi. Lakini usinambie ati Ajira inawalazimu wananchi kujishughulisha na chochote pasipo kuwepo mfumo bora unaowawezesha wananchi ku posper.. Aim kubwa ya mbinu za kukuza uchumi ni kupata matunda bora zaidi ambayo Ajira ni mojawapo na maadam JK ameshindwa kuja na mbinu ambayo italeta matunda hayo kutokana na uchovu wa mikakati yake ya kiuchumi ndio maana tunasema hatuwezi vuna ajira.

Wa ughaibuni bwana........Thanks kwa somo
 
Msema kweli hukimbiwa na rafiki zake - Shaban Robert.
Ndio Rais wa TFF ni Leodger Tenga. Yanga pia walikua nae. Urais wa nchi kazi kidogo.
 
Hey, mimi sina chama wewe...lol... I'm just an Independent observer. So acha kuniunganisha na huyo Mkwere wako. Ukweli ni kwamba CHADEMA bado hawajajipanga vizuri. So unaweza ukahuzunika ama ukalia siku nzima, lakini huo ndo' ukweli halisi.

Are you really concerned with that (in red+bold) or are you simply being gleeful that CHADEMA does not measure up to CCM in unsavoury political craft? Real Tanzanians are looking up to a brighter future for the country where real democracy prevails instead of the current farce where CCM has lost all sense of decency and has chosen to survive by suffocating democracy and maintaining a system of petty cronyism.
 
Siku zote Matakataka makubwa hayawezi kumrukia mtu machoni ila vijitaka vidogo ndo vinakiherehere Wewe kweli ni Bongo kilaza!!
 
...

Mizizi na nguvu za CCM ni kubwa mno katika nchi yetu, anayepuuza ukweli huu ni mpuuzi jasiri asiyejua kupambanua baina ya mbivu na mbichi, na bila shaka hataki kwa makusudi kujua ukweli wa mambo ulivyo. .....


HIYO INAYOITWA MIZIZI NA NGUVU ZA CCM MBELE YA PICHA HII HAPA CHINI VINABAKIA KUWA HEKAYA ZA KALE NA ANAYEAMINI VITU HIVYO NDIYE MPUUZI NA JASIRI ASIYEJUA KUSOMA MAMBO YA NYAKATI!
 
Kwa nini kusiwekwe utaratibu mzuri kwa kulitunza jiji kuwa safi ikiwa pamoja na kujengwa vyoo vya hadhi na vinavyotunzwa vizuri? Kama hilo halifanyiki ina maana hakuna usimamizi mzuri - hakuna uongozi mzuri!
Wazo zuri Magobe. Ila labda niseme tu kwamba, Watanzania walio wengi (niseme Waafrika kwa ujumla), bado hatujastarabika vyakutosha. Ukiwawekeea vyoo vyenye hadhi utakuta watu wamepaka vinyesi kuta zote the next day. No, uongozi mzuri upo, ila nchi ndo' imejaa watoto wa mama wengi. That's all.
 
Hey, mimi sina chama wewe...lol... I'm just an Independent observer. So acha kuniunganisha na huyo Mkwere wako. Ukweli ni kwamba CHADEMA bado hawajajipanga vizuri. So unaweza ukahuzunika ama ukalia siku nzima, lakini huo ndo' ukweli halisi.

umetumia kipimo gani kujua kuwa hawajajipanga vizuri? unaropoka tu kama Sarah Palin wa republicans.
 
Wazo zuri Magobe. Ila labda niseme tu kwamba, Watanzania walio wengi (niseme Waafrika kwa ujumla), bado hatujastarabika vyakutosha. Ukiwawekeea vyoo vyenye hadhi utakuta watu wamepaka vinyesi kuta zote. No, uongozi mzuri upo, ila nchi ndo' imejaa watoto wa mama wengi. That's all.

Hii sio excuse ya serikali ya mafisadi wa ccm kutofanya kazi wanayostahili kuifanya
 
Ndege ya Uchumi, how old are you? I mean, kama ningekuwa Dr. Slaa, ningeikataa kura yako. Maana kama unashindwa kuelewa ninachokizungumzia kwenye hiyo paragraph (ambayo inajieleza yenyewe), then you are not fit kuwa mpiga kura.

hujibu hoja ila unakimbilia kuuliza maswali ya ajabu ajabu, wewe ndiye umeshindwa kumwelewa NYU na sasa unakimbilia kutaka kujua age yake? What a crap
 
Wazo zuri Magobe. Ila labda niseme tu kwamba, Watanzania walio wengi (niseme Waafrika kwa ujumla), bado hatujastarabika vyakutosha. Ukiwawekeea vyoo vyenye hadhi utakuta watu wamepaka vinyesi kuta zote the next day. No, uongozi mzuri upo, ila nchi ndo' imejaa watoto wa mama wengi. That's all.
Mkuu wangu hivi hata siku moja umewahi kujiuliza kwa nini watu wanapaka kinyesi ktk kuta?..Iweje kweli mtu uweke Choo cha kisasa lakini hakuna maji wala karatasi za kuchambia na mara nyingi hata Flush hazifanyi kazi.

Sasa nilidhani wewe utafikiria kwanza adha wanayoipata wananchi waliokwenda choo cha MnaziMmoja akashusha mzigo, kisha baada yaa...anajikuta hakuna maji wala karatasi ya kuchambia -Tarariraaaa!

Wewe ulostaarabika utafanya nini?
Mimi nadhani ukitupa jibu hapo litasaidia sana kwa wale wanaolipa gharama ya kutumia choo kisha wanakuta haya maajabu ya utamaduni wa kuiga hali Maintanance sio utamaduni wetu.
 
Mkuu, kama hujui jambo, uliza usaidiwe lol. Utata wa Healthcare haupo kwenye gharama.In fact, polls nyingi zinaonyesha kuwa wananchi wengi wanadai kuwa healthcare reform haikuenda mbali vyakutosha (didn't go far enough). And so please allow me to educate you on this issue kidogo: Ah, score ya CBO (Congressional Budget Office) juu ya Healthcare ilikuwa kama ifuatavyo: overall cost projection for ten years ilikuwa $940 billion (but it will reduce the deficit by $130 billion over the same period). And most of all, it will cut the deficit by $1.2 trillion over the second ten year period (pretty cool stuff, huh lol!). So ukiangalia hizo projections, utaona kuwa gharama sio kubwa sana kama ambavyo "tea party supportes" wamekufanya uamini.
Mkuu hapa unazungumzia Mtazamo wa Democratic na projection yao ambayo inapingwa na Republican. Hivyo kuandika kupunguza deficit haina maana yoyote ikiwa wananchi hawakubaliani na mahesabu hayo kwani Republican wanachosema Healthcare itaongeza gharama za kufanya biashara..

Mimi na wewe hatuzungumzi Politics hapa iwe Democratic wako sawa au Republican, Obama au Clinton au McCain...tunachojadili hapa ni maoni ya wananchi wapigakura kwa nini wanaipinga Healthcare na kipi kinachoendelea hivyo Obama anakosa support ya wapigakura.

Nachokwambia mimi ni kwamba wananchi wanaona gharama kubwa toka mfukoni mwao kwa ule msemo usemao cha bure ghali, kumbuka tu hawa sii wajamaa hivyo Healthcare inakuja na gharama zake toka mfukoni mwa raia. Kwanza kila mtu anatakiwa kuwa na health insurance hivyo kila mmoja wao analazimika (Mandatory) kununua healthcare toka mashirika ya Insurance iwe kiwango cha chini tuseme Usd200/m x Population hizo zinaondoka kila mwezi mfukoni uwe unaumwa au huumwi. Bahati uwe na kazi ya kudumu na shirika linalipia..

Sasa kumbuka tu Marekani kuna watu wenye insurance tayari leo hii wanashindwa kulipia Insurance kila mwezi bado ikiwa sii lazima (sii sheria)...Wanaoshindwa kulipia Insurance premium kila mwezi ni kama jinsi Bongo wapo watu wanashindwa kulipia maji au Umeme kila mwezi kutokana na hali ya maisha.. Hivyo kuwepo kwa healthcare as a RIGHT ya mwananchi lakini right hiyo inawalazimu kutoka mfukoni mwao na wakishindwa kuna fine hapo ndipo watu wanasita ku support healthcare hii.
No, don't twist my words. Nilichosema ni kwamba "Stimulus package aliyoipitisha mara tu baada ya kushika madaraka, haikuenda mbali kama ambayo liberal economists wengi walivyotarajia." In other words, stimulus haikuwa big and bold enough to inspire confidence. And nobody amesema kwamba stimulus haikusaidia kuepusha total collapse ya financial institutions.
Mkuu wangu hapa nimejaribu tu kukwambia jinsi wananchi wanavyoiona Stimulus na sii jinsi wachumi wananvyoitazama. Kumbuka tunachozungumzia ni kwa nini Obama yupo ktk msukosuko wa kisiasa kutoka kwa wapigakura na wewe ukaja na majibu yako kama ndizo sababu. Nami nikakujibu kwamba wananchi hawatazami maswala hayo kwa jicho uloliweka, isipokuwa Stimulus kama alivyo wapromise wananchi ni kwamba ingezaa kazi zaidi..sasa swala kubwa halkikuwa kutoka kwa hizo fedha bali ni wapi serikali ya Obama ime invest fedha hizo na wakategemea kazi lakini hazikuzalishwa kwa kiwango kile. Wamarekani hawajali hiyo Stimulus how big and bold kuweza kurudisha matumaini yao ikiwa hakuna Ajira..increase in job opportunities ndio pekee inatudisha confidence ya watu..
Mkuu, unajua kweli unachokizungumzia hapa lol!!? Geez, you never cease to disappoint me!! Ah, vitu vyote ulivyovitaji hapo juu ni core issues za liberals. Independents wanajali zaidi kuhusu economy na deficit reduction. Ndo' maana Ross Perot alilamba kura nyingi sana za Independents mwaka 1992/1993 kwasababu centerpiece ya kampeni yake ilikuwa based juu ya deficit reduction.
Haswa najua nilichoandika kwani neno independent pekee linasimama peke yake. Yaani hawa support sera ZOTE za kushoto wala Kulia isipokuwa wanayo maswala muhimu kama vipaumbele vyao na yeyote atakaye yasimamia basi ndiye watampa kura zao. Yes, Gay rights na Immigration rights ni Liberalism kwa mtazamo wa kukubaliwa. Obama anatazama Gays right kama ni swala la states na sio Kitaifa kinyume cha mtazamo wa Liberal na anapinga ndoa ya wanaume, kitu ambacho hakimfanyi yeye kuwa Republican..

Hivyo, Independent sii lazima wasikubaliane na kila kitu cha Democratic ili uwe independent..unaweza kuunga moja au hata mengi lakini ukapinga mengineyo ambayo kwako ni muhimu hivyo usikichague chama hicho au mgombea fulani..Wapo watu tanzania leo hii wameamua kuwa Independent kwa sababu tu CCM imeshindwa kuwathibiti Mafisadi na kama JK ataweza kuwashawishi upya pengine wanaweza kurudi.
Yeah, hata Obama amerithi matatizo ya high unemployment toka kwa Bush. No, Reagan hakusema hayo maneno ktk kampeni zake. Maneno hayo aliyasema kwenye inaugural address yake [January 20, 1981]
Does it matter?..Au ndio ktk kusahihishana ili mradi tu ujumbe ufike. Well, nadhani umeelewa kwamba serikali inaweza kuwa problem..na ndicho tunachosema sisi kwamba serikali ya CCM ndio Problem haiwezi kuwa solution ya matatizo yetu.
 
Mkuu wangu hivi hata siku moja umewahi kujiuliza kwa nini watu wanapaka kinyesi ktk kuta?..Iweje kweli mtu uweke Choo cha kisasa lakini hakuna maji wala karatasi za kuchambia na mara nyingi hata Flush hazifanyi kazi.
Choo cha kisasa maana yake ni kwamba kina maji, karatasi za kuchambia pamoja na flush zinazofanya kazi. So kama watu wameharibu hivyo vitu, then hilo sio tatizo la Kikwete na serikali yake. Hilo ni tatizo la wananchi wenyewe.

Sasa nilidhani wewe utafikiria kwanza adha wanayoipata wananchi waliokwenda choo cha MnaziMmoja akashusha mzigo, kisha baada yaa...anajikuta hakuna maji wala karatasi ya kuchambia -Tarariraaaa!.

Wewe ulostaarabika utafanya nini?
Well, najaribu kuielemisha jamii (through articles and stuff)--itambue kuwa tabia ya kulaumu viongozi wa juu wa serikali hali wananchi wenyewe wanafaya vitu vya kijingakijinga (kama kuiba mafuta ya transformer, kuiba mabomba ya maji, kupaka kinyesi kwenye vyoo vya umma, kukojoakojoa ovyo uchochoroni, na kukaa vijiweni na kupiga porojo badala ya kujiajiiri); haitatupeleka kokote hata kama utaweka malaika waitawale Tanzania.

P.S. But I respect your right to be wrong.
 
Choo cha kisasa maana yake ni kwamba kina maji, karatasi za kuchambia pamoja na flush zinazofanya kazi. So kama watu wameharibu hivyo vitu, then hilo sio tatizo la Kikwete na serikali yake. Hilo ni tatizo la wananchi wenyewe.

Bongotz,

Hivi vyoo havikuwepo to begin with....

Well, najaribu kuielemisha jamii (through articles and stuff)--itambue kuwa tabia ya kulaumu viongozi wa juu wa serikali hali wananchi wenyewe wanafaya vitu vya kijingakijinga (kama kuiba mafuta ya transformer, kuiba mabomba ya maji, kupaka kinyesi kwenye vyoo vya umma, kukojoakojoa ovyo uchochoroni, na kukaa vijiweni na kupiga porojo badala ya kujiajiiri); haitatupeleka kokote hata kama utaweka malaika waitawale Tanzania.

P.S. But I respect your right to be wrong.

Umesahau kuwa kazi mojawapo ya serikali ni kuhakikisha kuwa sheria na taratibu za jamii zinafuatwa. hii ni kazi ya serikali na katika hili serikali haiwezi kukwepa jukumu lake.

Ama sivyo, hatuhitaji basi kuwa na serikali. Wewe kwa mtizamo wako unadhani kuwa kazi ya serikali ni nini?
 
Back
Top Bottom