utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
Wewe ulimuamini Mahita au uliamini maelezo ya CUF at that time??
Ukweli ni kwamba leo unajidai kwamba una sympathazy na CUF kumbe ulikuwa upande wa Mahita;
Kibao kilipoanza kugeuza kwenu....
Unatakiwa uwe consistent
Wewe ulimuamini nani kati ya CUF na Mahita?