Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Pengo ni mtu wa subira sana na hana kasi kama ya Kilaini. Mpaka kaamua kuongea hivyo kuna jambo....... Sasa Kwachokoza anawalazimisha wahusika wajibu mambo fulani.

Hii iisue kwa usaidizi wa Kilaini wakati ndio msaidizi wa Pengo wananchi tungejua ukweli zamani sana. Lakini kuna watawala hawakupenda kumwona Kilaini dar

Wewe hasa ndio unamjua Kardinali Pengo. Sio huyu kijamaa anayejiita mwenyekiti wa baraza la walei.
 
Mkuu nimepitia sredi zako, naomba unisaidie kidogo. Je wewe huwezi kumpa benefit of doubt Pengo ukaamini kuwa yawezekana hiyo list ipo na yeye yumo? If you are critical thinker and devoid of any bias ofcourse!!

nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)
 
kanisa katoliki limejengwa juu ya mwamba, haliwezi kutikiswa na milango ya kuzimu kama hii ninayoiona humu jf
unachanganya mambo issue sio kanisa katoliki kujihusisha na mihadarati bali ni bwana pengo!nadhani hata yeye mwenyewe katika madai yake hajasema kanisa limewekwa kwenye hiyo orodha ya madawa ya kulevya,alichosema ni yeye ndio kawekwa kwenye orodha!
 
kuna kitu tunatofautiana,mimi huwa napenda ku deal facts zaidi not he said she said stories,huwa haziishi!polisi wapo kama list ipo tutajua,na rais kama mwanasiasa anaweza kulitumia jukwaa lolote lile kufikisha ujumbe anaokusudia kwa hadhira mradi awe na uhakika atakachokisema kitafika mbali,bahati mbaya sana siku ile pale songea ilikua ni kwenye jukwaa la maaskofu!

Alioutoa rais pale songea haukuwa ujumbe wa kisiasa, ni security issue. Suala la madawa ya kulevya sio ishu ya kitoto ya kuwa addressed in such a pathetic way. Navyofahamu kwa mtu mwenye dhamira ya kutokomeza jambo, kufanya uchunguzi ni jambo la maana zaidi ya kubwabwaja hadharani. Wote tuna akili na tunajua nini serikali ilipaswa kufanya badala ya kusema hadharani.

Na ndio maana narudia mifano hii over and over again: Sakata La Mahita na CUF (majambia ya kugawa misikitini) na Lowassa vs Ufisadi. Hii ni michezo ya CCM na mafisadi. Na ndio maana kwao wanachekeana kama wanavyowachekea kina Jairo hata baada ya kugundulika kuwa kwenye 20,000 waliongeza 1 upande wa kushoto ili iwe 120,000.
 
unachanganya mamboo issue sio kanisa katoliki kujihusisha na mihadarati bali ni bwana pengo!nadhani hata yeye mwenyewe katika madai yake hajasema kanisa limewekwa kwenye hiyo orodha ya madawa ya kulevya,alichosema ni yeye ndio kawekwa kwenye orodha!
Muongozo wa kanisa la katoliki ni tofauti na madhehebu mengine, ni vyema ukaliweka hilo maanani.

Kwa maana Pengo si just Pengo, kwao tuhuma hizo ni kama "tuhuma kwa kanisa"
 
nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)

Ile ya mtoto wa mengi pale eapoti iliishaje mkuu. Just kuweka kumbukumbu vizuri. Tafadhali.
 
Wewe hasa ndio unamjua Kardinali Pengo. Sio huyu kijamaa anayejiita mwenyekiti wa baraza la walei.
Hivi kuna post ambayo nimesema namjua Pengo? Mbona unataka kuniwekea maneno kinywani? Mbona imekuuma sana mimi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Walei? Kama hutaki basi lakini isitake kunisingizia mara nimehusisha gari na madawa ya kulevya mara namjua! Soma post kwa macho mawili usisome ukiwa na makengeza utashindwa kuelewa na kuanza kuwarikia watu bila sababu.
 
nimemjibu mchangiaji mmoja huko nyuma kwamba alwayz mimi napenda kujishughulisha zaidi na facts,dawa za kulavya hata kama zinauziwa chumbani kesi zake zinatajwa na kusikilizwa mahakamani na polisi mara zote kupitia bwana kamanda nzowa(mlokole anadai)wamekuwa kila wanapokuwa na latest kwenye issue ya madawa wakiita press conference kutueleza mafanikio yao kwenye upambanaji wa biashara hiyo haramu,naamini kupatikana kwa taarifa za pengo zenye uhakika kwamba naye yumo yatakua ni mafanikio makubwa na ya kujivunia ya jeshi letu la polisi ambalo tumekua tukilitilia shaka kwa ku deal zaidi na vidagaa kwenye issue ya madawa na kuyaacha ma big fish yakitamba!sina papara nasubiri report ya wataalam wetu katika angle hii
(polisi)

Intelligence ya nchi ingekuwa na watu kama wewe tungekuwa tumeishajiishia siku nyingi. Ukiwa muhariri wa magazeti ya udaku ndio unaweza kuita tetesi 'mafanikio'. Ishu kubwa namna hii haiitwi mafanikio unless umemkamata mtuhumiwa, ukamfikisha mahakamani na akapatikana na hatia na kuhukumiwa. La kama unazungumzia mafanikio ya kisiasa, sawa manake sina hakika kwa hilo. Ila usipende kukonkludi mambo kienyeji
 
suala la biashara ya madawa ya kulevya au kulawiti watoto au kunajisi au jinai yoyote ila kamwe sio swala la kidini ni purely swala la kisheria, so Mwadhama Pengo ametajwa kuhusika na biashara hiyo haramu kwa mujibu wa sheria zetu, haitoshi tu kumtaja au kumtuhumu hapana, vyombo vinavohusika pamoja na waliomtaja wafanye uchunguzi wa kina wapate ushahidi wa kutosha then afikushwe mahakamani kujibu tuhuma hizo akishindwa ahukumiwe kwa mujibu wa sheria zilizopo, yeye kuwa kardinali hana kinga ya kutokufikishwa mahakamani na kamwe kanisa katoliki kalikuwahi kuhubiri watu watumie au waswambaze madawa ya kulevya wala maovu mengine yoyote. Kwa upande wa pili Mwadhama ni kiongozi wa kanisa katoliki Tanzania ambayo ni dhamana kubwa sana, kuhusishwa na madawa ya kulevya sii tuhuma ndogo, anatakiwa adhibitishe beyond doubt kuwa hahusiki, lakini hiyo haitoshi waliomchafua anatakiwa awatafute kwa kushirikiana na vyombo vinavohusika wafikishwe mbele ya sheria ili kumsafisha lakini pia kulisafisha kanisa ambalo kwa karibuni limekuwa kwenye kashfa nyingi sana.Niliwahi kumsikia Rais akisema viongozi wa dini wanajihusisha na madawa ya kulevya, hivi rais huyu aliapa kulinda na kutetea katiba yetu?? kama ndio mbona haitetei kwa kushindwa kuwafikisha watuhumiwa wa madawa kwenye vyombo vya sheria maana anawajua??

bandugu tusome kilichoandikwa kwenye thread bwana pengo hakutajwa na yeyote nai yeye ndio akiwa beach na vijana kajitaja kwamba yumo kwenye hiyo list yake kwanini msimbane yeye kama mna kiu ya kutaka kujua?muulizeni yeye afunguke na kututajia chanzo cha hizo hisia zake,rais wala polisi hawahusiki na hiyo orodha ya bwana pengo,wao wakiwa nayo watatutajia na sisi kazi yetu sasa itakuwa kuwahimiza wamburuze mahakamani haraka ili haki ikatendeke!
 
Ninachoamini mimi binafsi, ni kwamba sasa Pengo ndo anatakiwa atoe msisitizo kuwa hao waliopatikana na ushahidi wafunguliwe mashitaka kama ni kweli he is 100% sure he is clean.

On the other hand, siwezi kushangazwa na uwezekano wa kubambikiwa kesi.
 
Alioutoa rais pale songea haukuwa ujumbe wa kisiasa, ni security issue. Suala la madawa ya kulevya sio ishu ya kitoto ya kuwa addressed in such a pathetic way. Navyofahamu kwa mtu mwenye dhamira ya kutokomeza jambo, kufanya uchunguzi ni jambo la maana zaidi ya kubwabwaja hadharani. Wote tuna akili na tunajua nini serikali ilipaswa kufanya badala ya kusema hadharani.

Na ndio maana narudia mifano hii over and over again: Sakata La Mahita na CUF (majambia ya kugawa misikitini) na Lowassa vs Ufisadi. Hii ni michezo ya CCM na mafisadi. Na ndio maana kwao wanachekeana kama wanavyowachekea kina Jairo hata baada ya kugundulika kuwa kwenye 20,000 waliongeza 1 upande wa kushoto ili iwe 120,000.

lakini unaijua nafasi ya viongozi wa kiroho katika kuzuia uhalifu mzee?
 
Muongozo wa kanisa la katoliki ni tofauti na madhehebu mengine, ni vyema ukaliweka hilo maanani.

Kwa maana Pengo si just Pengo, kwao tuhuma hizo ni kama "tuhuma kwa kanisa"

kwa hiyo unataka kusema nini labda?kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kutokana na 'muongozo' wa kanisa hilo hawezi kujihusisha na uhalifu au pengo tu kwa jinsi unavyomjua hawezi kuhusika na uhalifu?
 
Ile ya mtoto wa mengi pale eapoti iliishaje mkuu. Just kuweka kumbukumbu vizuri. Tafadhali.
sifahamu iliishaje bali ninachokumbuka mzee maengi alipendekeza watu wachuliwe hatua lakini ninachofahamu pia ni kwamba kamanda nzowa ndio mkuu wa kitengo cha kupambana na madawa!kama unafahamu vinginevyo please tufahamishane kamanda!
 
Intelligence ya nchi ingekuwa na watu kama wewe tungekuwa tumeishajiishia siku nyingi. Ukiwa muhariri wa magazeti ya udaku ndio unaweza kuita tetesi 'mafanikio'. Ishu kubwa namna hii haiitwi mafanikio unless umemkamata mtuhumiwa, ukamfikisha mahakamani na akapatikana na hatia na kuhukumiwa. La kama unazungumzia mafanikio ya kisiasa, sawa manake sina hakika kwa hilo. Ila usipende kukonkludi mambo kienyeji

nadhani una tatizo la kusoma maandishi ya kiswahili pengine ni mzuri zaidi kwa kiarabu,bahati mbaya sijui kuandika kwa lugha hiyo,tafuta mtu akusomee nilichoandika..!kwanza ntawezaje kuita mafanikio ya polisi kwa taarifa ambayo hata polisi hawajaitoa bali karopoka mtu mmoja tena akiwa beach sio madhabuhuni na vijana????soma sawa sawa nilichoandika,nimegundua tatizo lingine kwenye huu mjadala wengi hamko huru kuchangia kwa jinsi mnavyoliona hili suala,bali wengi wenu mnajibanza kwenye mwamvuli wa dini zenu!mi sina dini hata moja hapo ndio mana niko huru kutumia akili yangu sio imani yangu katika hili!
 
Mkuu hilo la kusoma ni muhimu manake nashangaa hata mimi huyu Shizukan ananiwekea maneno kinywani? Nasema vingine yeye anakuja na.tafsiri yake nyingine sijui anazitoa wapi? Ameghadhibika ajabu anachanganya mambo sijui hasomi au anasoma kidogo tu na kufanya inference ambayo si ya kweli. Jamani tusome post kwa umakini na kujua mwenzio ameandika nini. Kama hujaelewa uliza akufafanulie siyo kutunga mambo yako na kusema kasema fulani.
 
kwa hiyo unataka kusema nini labda?kiongozi yeyote wa kanisa katoliki kutokana na 'muongozo' wa kanisa hilo hawezi kujihusisha na uhalifu au pengo tu kwa jinsi unavyomjua hawezi kuhusika na uhalifu?
Kama atakuwa amejihusisha, basi cycle hizo lazima zitahusisha pia watu ama shughuli za kanisa kama cover, hence really hard to avoid the church involvement, halafu kama unavojuwa hawa wanaripoti kwa Pope, na kama kuna uchunguzi, maybe tayari kanisa wanawakwao pia.

Catholic church ni kubwa mkuu, ni kama ina serikali yake.

Scandal kama hiyo maybe tayari inafanyiwa kazi ndani kwa ndani kwasababu kama yeye ni allegedly kuwa mmojawapo wa hao madealer wakubwa, basi ina maana huwa ana import drugs na cover inawezekana ikawa watu na church activities.

So the scandal has big implications other than just Pengo kama unavyotaka tuamini.

Hata kama itagundulika kuwa si kweli mara baada ya uchunguzi, still it can be costly to the cause, damaing to the church's reputation and also discouraging to others who wanted to be on the front.

Ndo hapo ile mantiki ya "Kunyamazishwa" inapoingia kwenye equation.
 
Kristu aliyeshinda mauti atakusimamia na utashinda vita dhidi ya wadhalimu wa awamu hii.
 
Wauza poodaaa wanajulikana nilishawahi waweka hapa mods wakasema nilete ushahidi,sasa hapa ushahidi gani? Hao wakubwa wanawatumia vijana kwenda kuleta poodaaa,kuna jamaa yangu kashatoka alileta poodaa ya mkubwa,then msanii 26 Number kashaleta pooda sana za mazungu
 
Back
Top Bottom