Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

Ukisikia vita ya Madawa Imeanzishwa ujue kuna mzigo mtu kadhurumiwa so utatafutwa kwa udi na Uvumba hadi ijulikane au upatikane...
 
.
Acha ushabiki wa kimapokeo. Hebu lete hilo andiko ku saport hayo unayosema
issue:

16:17-20. Peter’s words brought a word of commendation from the Lord. Peter was blessed because he had come to a correct conclusion about the person of Christ and because great blessing would be brought into his life. The Lord added, however, this was not a conclusion Peter had determined by his own or others’ ability. God, the Father in heaven, had revealed it to him. Peter was living up to his name (it means “rock”) for he was demonstrating himself to be a rock. When the Lord and Peter first met, Jesus had said Simon would be named Cephas (Aram. for “rock”) or Peter (Gr. for “rock”; John 1:41-42).

But his declaration about Messiah’s person led to a declaration of Messiah’s program. Peter (Petros, masc.) was strong like a rock, but Jesus added that on this rock (petra, fem.) He would build His church. Because of this change in Greek words, many conservative scholars believe that Jesus is now building His church on Himself. Others hold that the church is built on Peter and the other apostles as the building’s foundation stones (Eph. 2:20; Rev. 21:14). Still other scholars say that the church is built on Peter’s testimony. It seems best to understand that Jesus was praising Peter for his accurate statement about Him, and was introducing His work of building the church on Himself (1 Cor. 3:11).
 
Imani ya ki-Katoliki tunaamini Yesu alimwachia Peter uongozi wa kanisa na baada ya Peter kuna kiongozi anaechaguliwa ambae tunamwita baba Mtakatifu.
Yesu alimuachia Peter kanisa lini na wapi? Unajuwa ni lini watu walianza kuitwa wakristo?

Hii ndio shida ya kupangiwa cha kusoma kwenye misale ya waumini.
 
Kipind hiki tutasikia mengi ila Nina iman watu wana hasira na hii serikal hasa kwa kukosa misaada kama kipind cha tetemeko , njaa, kukosa ajira,kufukuzwa na kudhalilishwa ovyo watumishi wa serikal, manyanyaso na uonezi kwa wafanyabiashara,nchi kuzid kugawika kwa matamko na matendo ya wana siasa, kuzuia demokrasia, mishahara kutokupandishwa,n.k yote haya naona bado tu wanaongezeka hasira kwa viongoz wa dini. Hii Amani ya hili taifa labda tumechoka nayo kiukwel tusipokuwa na busara hii nchi kitakuja kunuka afu tubakie kujilaumu kwa upuuz wa baadhi ya viongoz
 
Pengo anasema kaiona list ya wauza unga nae yumo, but anadai kabambikiwa ili kumtuliza. hebu mtujuze great thinkers

=======
UPDATE
=======
Usijafishe kwa kuwahutubia vijana, wala kwa kutumia usumba, nenda mwenyewe kajisafishe, wewe na kanisa lako mbele ya Kamanda Sirro.
  • Ueleze utajiri wako uliupata vipi na kwa njia zipi?
  • Kama utajiri wako utamzidi wa RC Makonda unayo kesi ya kujibu.
  • Kama wanataka kukunyamazisha wangekufanya kama walivyofanyiwa Masheikh wa UAMSHO. Wasiwasi wako ndio ugonjwa wako
 
bt hizi taasisi za dini hasa kanisa katoliki limechafuliwa sna na mapadri na maaskofu wasio waaminofu kama kina Pengo wapo wengi sna bt kiukweli kanisa ni safi tuu
 
Peter ndiye Pope wa kwanza mkuu.
hahahaaaaaa seriously???? so your telling me hawa mapope wenu wanafuata mienendo ya peter??........

ROHO MMOJA,BWANA MMOJA,UBATIZO MMOJA,MUNGU MMOJA!..........

ukielewa hapo hakika hutafungua kinywa chako tena only if your SANE!
 
Pengo,kwa ufupi huo ndo mshahara wako baada ya kuisaidia ccm na kuwageuka ma askofu wenzio,na kumsababisha Gwajima mateso yaliyomkuta,kwa kugeuka kwako,kauli za uwakilishi wa kiaskofu km Makanisa,au ukristo kwa ujumla wake.na bado utaadhiriwa mpaka joho hilo likuelemee.papa tu ndo atakusaidia kukuvua lickuangushe.muda ni mwalimu,Gwajima zidisha maombi mpaka wanaomtania Mungu wawe hadharani.ulikua ukitetewa na Policcm ww ili Gwajima asulubiwe ss tulia nawe usulubike !ccm hana mkwe ! .anajali tumbo lake tu.
 
Back
Top Bottom