Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

mkuu mimi hii serikali siipendi na naipinga kwa mengi mno....
na hapa utaona sitetei serikali bali napinga kiongozi wa dini
kutumia taasisi yake kuchochea vurugu....

siku zote tunapaswa kutetea sheria
ni bora siku zote sheria iheshimiwe..
hata kama ina mapungufu...

Nimekusoma mkuu!
Mwisho wa siku kusingekuwa na malumbano kama hatua zinachukuliwa.
Kama hakuna ushahidi wa wazi basi wafanye kama walivyofanya kwa kina Massawe kwa issue ya ujambazi 2006 na nchi ikatulia
 
Dini zetu kuu ni uzao wa Ibrahim, kupitia watoto wake Isaka na ishmael, ishmael alikuwa mtoto wa mama mdogo, na kwa desturi watoto wa mama mdogo haweshi kulalamika, hata wapewe vyote.

Hapana mimi siko huko kwenye hizo ABARAHAMIC Religions,nilishakuwa kwenye zote mbili kwa nyakati tofauti nikaona wizi mtupu,sasa hivi niko kwenye masonic faith ndugu yangu,ndio maana unaona niko huru kuchangia!
 
siwezi kusema lolote..kwasababu wauza madawa ni binadamu na Pengo ni binadamu, ila napata mashaka kama anaweza kufanya hivyo kwasababu ya kazi yake..najaribu kuwaza chanzo cha jina lake kutajwa kama muuzaji wa dawa ni kipi na askari wetu kwann wasitumie chanzo hicho kuthibitisha au kumsafisha?
 
Bwana masaburi unanitukana bure mi siko upande wowote ila sipendi kuona mtu akijaribu kutaka kuwauzuia polisi kufanya kazi zao ambazo sisi tax payer tunawalipa kuzifanya...tungependa kuona kodi zetu zinatumika vizuri,polisi wakikamilisha kazi zao huwa hawatoi hukumu,mzee pengo ikithibitika ataburuzwa mahakamani,na huko kuna haki,si uliona bwana zombe,wengi tulipenda afungwe au anyongwe akiwemo rais lakini kwa kuwa mahakama zetu ziko huru akapata haki yake...na hakuna aliye juu ya sheria hata pengo au mufti simba.

masabuda sio masaburi! nimekuelewa ila ulimhukumu pengo kwa kulizungumzia hilo jambo ambacho mi niliona sio sahihi mwache abwabwaje atakavyo mbona jk nae anamisemo ya kuwa "uongo ukisemwa semwa sana hua ukweli nimeona hilo nilizungumzie"

mimi serikali yake imeprove failure kwenye mafisadi papa, drug dealers wanabaki kukimbizana na wale walio meza pipi airport! je wanaoingiza makontena na yanapita! wea is the government? vyombo vya dola polisi, tiss, takukuru? yote ni jk ndio anayalea na kuyaendekeza

mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!

tunakazi ya kuweka haki sawa kwa wote, na hapa lazima tuzichape kwanza yaani tupigane vita siku moja ndio tutaheshimiana na kutengeneza system kama rwanda, mambo ya kulindana yamepitwa na wakati

HAKI SAWA KWA WOTE, FULSA SAWA KWA WOTE, MKONDO WA SHERIA SAWA KWA WOTE!
 
Nimekusoma mkuu!
Mwisho wa siku kusingekuwa na malumbano kama hatua zinachukuliwa.
Kama hakuna ushahidi wa wazi basi wafanye kama walivyofanya kwa kina Massawe kwa issue ya ujambazi 2006 na nchi ikatulia

na ushahidi ukipatikana muisupport serikali na jeshi la polisi kiujumla kwa kuto deal na vidagaa tu daily kwenye issue ya madawa!kwamba hata vinara wa madawa linawafikia na kuwaburuza mahakamani bila kujali vyeo wala majoho!
 
One thing ni kuwa mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe! Sishangai kanisa katoliki kutupiwa kila baya!
 
Usijidanganye ukadhani unaongea na mtu mwepesi namna ya kunitaka niamini kuwa nilikosea kwa jinsi nilivyokufikiria mwanzo. Baraza la walei ndio linatumika kuhoji uhalali wa mambo ndani ya kanisa letu ikiwa ni pamoja na kuwadiscipline viongozi wabovu katika vikao. Sasa hebu tuyarejee maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Walei la Parokia

Sasa unaweza kunieleza huu ni utaratibu wa parokia yenu au wa wapi? Acha maneno ya kuungaunga. Tena jisikie mwenye mkosi kwa kujikosanisha na Mungu mapema namna hii mwaka ukiwa haujamaliza 24hrs. Kama wewe ni mkatoliki basi lazima ukiri imani yako kwa kanisa na sio kuleta majungu. Pale dhahiri ulimaanisha kulihusisha gari analotembelea Askofu na fedha za madawa, na ni kwa kuwa hujui linapatikanaje. Kama kanisa limefikia kuwa na wenyeviti wa mabaraza wa namna yako na kauli zako, basi Mungu atusimamie kwani tuanelekea kubaya.

Mimi sio mkatoliki namba one. Ila katika hali ya kuheshimu kanisa, sipo radhi kuona likichafuliwa na maneno yasiyo na ushahidi. Ni wajibu wa serikali kumkamata Askofu na kumfungulia mashtaka ili kanisa letu libakie kuwa safi. Otherwise ni uzushi na unashusha heshima ya aliyeutamka. Hatuhitaji serikali domokaya wala askofu muuza madawa.

Na bado nitaendelea kusema; Lowassa ameomba kushitakiwa kwa makosa yake anayoshutumiwa kwayo, mbona hashitakiwi? Tutumie akili zetu kama tunazo, kama hatuna tuendelee kujiita wenyeviti wa mabaraza bila aibu kwa kuwa hatujuani, ila Mungu anatujua.
kwa mara nyingine umeonyesha jinsi ambavyo hukunielewa. Nimeunganisha vitu vingi kiasi kwamba ukashindwa kabisa kuelewa na kuanza mashambulizi kwangu bure! Kanisa halijawahi kusema.kuna kuvuana gamba! Kuna watu walisema kwa kuwa mtu anatajwatajwa inabidi ajivue gamba bila ushahidi. Nilikuwa nahusisha na hayo maneno. Kama ulivyosema kuwa kama kuna ushahidi afunguliwe mashtaka na wala siyo kuhukumu mtu kwa kutajwa tajwa. Mkuu soma between lines! Sijahusisha gari la Kadinali na madawa ya kulevy na wala silijui gari lake. Nimeeleza vizuri tu jinsi nilivuooanisha vague na vogue kwenye gari la kifahari!
 
siwezi kusema lolote..kwasababu wauza madawa ni binadamu na Pengo ni binadamu, ila napata mashaka kama anaweza kufanya hivyo kwasababu ya kazi yake..najaribu kuwaza chanzo cha jina lake kutajwa kama muuzaji wa dawa ni kipi na askari wetu kwann wasitumie chanzo hicho kuthibitisha au kumsafisha?

kwani unadhani wamemtaja basi mzee,hamna ni yeye mwenyewe anaweweseka tu na kujitaja mwenyewe oooh mimi nimo kwenye list ya wauza madawa sijui nini bla bla nyiiingi...polisi so far wako kimya,ndio kuna watu wanahoji busara yake iko wapi kama kiongozi mkubwa wa kanisa lenye heshima duniani
 
pengo aache kudanganya wasiomjua na wasiojua taarifa zake.pengo si mwadilifu hata kidogo,ni mdau mkubwa sana wa madawa ya kulevya.ni vyema atulie kwa kuwa hajaumbuliwa.
 
masabuda sio masaburi! nimekuelewa ila ulimhukumu pengo kwa kulizungumzia hilo jambo ambacho mi niliona sio sahihi mwache abwabwaje atakavyo mbona jk nae anamisemo ya kuwa "uongo ukisemwa semwa sana hua ukweli nimeona hilo nilizungumzie"

mimi serikali yake imeprove failure kwenye mafisadi papa, drug dealers wanabaki kukimbizana na wale walio meza pipi airport! je wanaoingiza makontena na yanapita! wea is the government? vyombo vya dola polisi, tiss, takukuru? yote ni jk ndio anayalea na kuyaendekeza

mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!

tunakazi ya kuweka haki sawa kwa wote, na hapa lazima tuzichape kwanza yaani tupigane vita siku moja ndio tutaheshimiana na kutengeneza system kama rwanda, mambo ya kulindana yamepitwa na wakati

HAKI SAWA KWA WOTE, FULSA SAWA KWA WOTE, MKONDO WA SHERIA SAWA KWA WOTE!

Hivi jamani hii thread umeisoma kweli au mnakurupuka tu kuchangia baada ya kusoma comment za wachangiaji?hebu someni kwanza bwana,ni wapi kwa mfano umeiona hii "mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!"

Rais ndio kamtaja bwana pengo au bwana pengo hapa kajitaja mwenyewe na hakuna mwenye uhakika na anachokisema
 
Na yeye jk kasema "Mimi mwenyewe nimewekwa katika orodha ya dawa za kulevya"?

Mnafiki mkubwa huyo anafanya watu wazima watoto! achie ngazi basi ili uchunguzi uwe fair sio! kwani si ndio kawaida tukichunguzwa twaachia nafasi tulizonazo!

kwa hili jk huniambii kitu na nakuchukia mbayaa mno sio kwa sababu ya dini yako bali kwa mambo na sanaa zako! chaguo langu likuwa Ahmed Salim Ahmed that was the best president ever!
 
kila kitu si siasa,hizi issue za kudhalilisha watoto zinzolikabili kanisa dunoa nzima sasa na wakatoliki wenyewe wanalalamika kwambapapa hachukui hatua anaficha madhambi,JE NI HABARI LEO,CCM AU SIRIKALI INAHUSIKA.yule pdre alomnajisi mtoto chuo kikuu kweye gari ni serekali imetunga au habari leo.anachotakiwa pengo kusema ni kuilazmisha serikali ithibitishe.HE WHO ALLEGE MUST PROVE

he who allege must prove.........wanaomtaja pengo kwamba anahusika na madawa ya kulevya wa-prove basi.
Au unataka yeye ndo a-prove kwamba hausiki wakati hajajitaja.
 
kanisa sio cuf,kutumia tricks za kuwaumiza cuf kwa kanisa catholic ni kama serikali kutaka kujimaliza wakati tayari ipo hai.
 
yeye kasema anapakaziwa...na serikali inaweza kesho kukanusha..likaishia hapo..

Kwa system ya utawala na ungozi wa JK na team yake mimi sishangai sana Lakini may be ni uchokozi Pengo kakaa kimya kashindwa na anataka Serikali ikanunshe au itaje. Na hapo hata kama wakisema pengo sio muhuiska itabidi tuwajue wahusika wanatuia dini ni kina nani.
Inawezekana na yeye Pengo anataka kujua feedback toka version ya amina chifupa itoke serikali imefikia wapi na imefanya nini zaidi ya mafumbo mafumbo.

In short Pengo kaibua mjadala uliokuwa umesinzia lakini unaaangamiza vijana
 
Nilidhani gari la kifahari ni Vogue sio Vague
Mkuu hiyo ilikuwa inajibu post ya mtu ambaye awali alisema post yangu ni vague (haieleweki) nami nikajibu Gari la Kifahari? Nikiwa na maana ya kumtania kuwa alikuwa akimaanisha gari ya kifahari Vogue! Anatokea mtu mwingine anasema nimeunganisha gari ya kifahari anayotumia Muhashamu na madawa ya kulevya! Narudia tena sijawahi kuiona gari ya Muhashamu Polycarp Kadinali Pengo na sijui anatumia gari y kifahari ama la. Na kama ni ya kifahari siijui ni make gani!
 
Hivi jamani hii thread umeisoma kweli au mnakurupuka tu kuchangia baada ya kusoma comment za wachangiaji?hebu someni kwanza bwana,ni wapi kwa mfano umeiona hii "mimi ningefurahi sana kusikia pengo kakamatwa kafikishwa kwenye vyombo husika na sio kumsema kwa mafumbo utafikiri ww mwanamke kumbe rais wa nchi!"

Rais ndio kamtaja bwana pengo au bwana pengo hapa kajitaja mwenyewe na hakuna mwenye uhakika na anachokisema

Duh kaka! rudia kusoma hapo tena namaanisha jk sio ww lol! kwenye red inaonesha ww ndio uelewi mada! hakuna sehemu rais alipomtaja pengo yeye kasema kwa mafumbo ndio point yangu hapo juu jamani, rudi kwenye mchango wangu wa mwanzo kaka, nimesema jk alisema hizi tuhuma kwa mara ya kwanza kwenye baraza la maaskofu! vuta kumbukumbu na kanisa likaja juu kwa nini azungumzie issue kwao indirectly alikuwa akiwasema wao na ndio kwa usanii wa jk akaja kusema kwenye baraza la idd kuwa baadhi ya mashekh na watoto wao wanaingiza madawa kupitia mgongo wa dini? hope umenielewa usikurupuke kaka lo?
 
Mnafiki mkubwa huyo anafanya watu wazima watoto! achie ngazi basi ili uchunguzi uwe fair sio! kwani si ndio kawaida tukichunguzwa twaachia nafasi tulizonazo!

kwa hili jk huniambii kitu na nakuchukia mbayaa mno sio kwa sababu ya dini yako bali kwa mambo na sanaa zako! chaguo langu likuwa Ahmed Salim Ahmed that was the best president ever!

mzee unajua unazidi kuchanganya taarifa licha ya jitihada za hali ya juu kukurudisha kwenye mstari,jk anahusika vipi hapa,issue iliyopo mezani ni kwamba BWANA PENGO anadai jina lake limo kwenye orodha ya wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine na dawa za kulevya,chanzo ni yeye mwenyewe sio polisi wala jk,kwanini unamuingiza jk wakati alijitaja ni yeye mwenyewe hakutajwa na jk na wala polisi hawajatumbia kwamba kuna list ya wauza madawa wamemkabidhi rais,jk ana mapungufu mengi tu lakini kwa sasa tunaijadili kauli ya pengo kujitaja,tunasema kwanini anaweweseka kama hausiki na mahakama zetu ziko huru,si angefanya subira kwanza tuone akitajwa then sisi ndio tushinikize apelekwe mahakamani kwenye haki?
 
kanisa sio cuf,kutumia tricks za kuwaumiza cuf kwa kanisa catholic ni kama serikali kutaka kujimaliza wakati tayari ipo hai.

heee! cuf tena............imetokea wapi?wadau issue iliyopo mezani ni pengo kudai jina lake limo kwenye list ambayo polisi hawajaitoa ya wanojihusisha na madawa!polisi wala serikali hawajawahi kutoa list ya aina hiyo,tumhoji pengo kwanini anahisi ametajwa?
 
Back
Top Bottom